Je,kuna njia ya asili ya kupunguza ''dushelele'' kubwa?

Je,kuna njia ya asili ya kupunguza ''dushelele'' kubwa?

The_Emperor

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
871
Reaction score
125
Jamani wadau,nahitaji kujua ni jinsi gani naweza kupunguza dushelele yangu maana imekuwa kubwa, ikisimama ni 8inches na cm kadhaa!Angalizo:Njia iwe ya asili!
 
Mkuu wenzako wanatafuta hata dawa za wachina ili wanenepeshe wewe unataka kupunguza?
 
Mkuu wenzako wanatafuta hata dawa za wachina ili wanenepeshe wewe unataka kupunguza?

Tena mimi huwa nawashangaa sana wanaotaka kuongeza,wakati kuna watu wangependa za kwao zipungue!
 
wataalamu wa kupunguza hawapo humu ndani?Mnajua kuongeza tu!
 
Mkuu uumbaji wa MUNGU kwa mwanadamu huwa hauna tatizo lolote,unachotafuta kwasasa ni matatizo ya wazi.Huenda ukajutia uamuzi wako utakapokuwa na matatizo. Kwasasa kwani una tatizo gani au ndy unayatafuta?
 
we mikato yako inatakiwa iwe ya mademu wenye k kubwa,nyie mmeumbwa kwa ajili yao hivyo ukitaka kupunguza utawakatili sana,sasa wao wataridhishwa na nani,uwe na huruma mzee,au kila unayemjaribu anatoka ndukiii?
 
Jamani wadau,nahitaji kujua ni jinsi gani naweza kupunguza dushelele yangu maana imekuwa kubwa, ikisimama ni 8inches na cm kadhaa!Angalizo:Njia iwe ya asili!

Promo Only:

Wenye Madude kama hayo wanafurahia tu huwa hawapigi makelele.
 
Back
Top Bottom