Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clomiphene ila sina side effects mbaya kwenye organs nyingine. Fuata ushauri wa Dr kabla ya kutumia dawa yeyote. Imagine unakunywa dawa then figo zinafail.Vinaitwaje au kupatikana wapi mkuu
Clomiphene ila sina side effects mbaya kwenye organs nyingine. Fuata ushauri wa Dr kabla ya kutumia dawa yeyote. Imagine unakunywa dawa then figo zinafail.
Good! Mwenzako anaonekana ni ignorant kabisa kwenye hili jambo.. and she is a woman!! Mwanamke anatakiwa ajue mwili wake unafanya vip kazi.Hapana siyo yai linakamata mbengu sita. Yai hukamata mbengu moja tu. Mtu akitumia dawa za kuboost fertility. Ovaries ndo zinaweza kufyatua mayai mengi na kila yai litakamatwa na mbengu moja.
SafiHakuna namna yeyote ya kuongeza uwezekano wa kupata mapacha wanaofanana (Identical twins).. ila unaweza ongeza uwezekano wa kupata mapacha wasio fanana (fraternal twins) kwa kutumia vidonge fulani vya uzazi.
Wengi hupenda mapacha sababu ya ufanano wao, sasa kuna raha gani kuwa na mapacha wasiofanana? Na kwanini usiwazae kwa interval ili kuokoa gharama na nguvu za kuhudumia watoto wa2 kwa pamoja?
-Achana nayo hayo, iache nature ifanye kazi yake. Kitakacho tokea piga goti na ushukuru Mungu.