Je kuna pharmacy zinazouza ARV Kwa hapa Dar?

Je kuna pharmacy zinazouza ARV Kwa hapa Dar?

Joined
Sep 27, 2015
Posts
20
Reaction score
7
Nauliza kuna maduka ya dawa wanakouza izo dawa au ni hadi uende ospitali na vituo za afya za gavment ??
 
Haziuzwi huko utapata ctx za kupunguza magonjwa nyemelezi.
 
Back
Top Bottom