wakuu naombeni msaada,kama kichwa cha habari kinavyojieleza..kuna jamaa angu kakosa chuo je anaeza kuapply tena?nimeingia kwny site ya tcu nimeona slot ya registration ipo on...je afanye nin huyu ndugu yangu?:target:
Walitoaga majina ya waliokosa 1st round wakaambiwa waaply second round na 3rd round kwa watu wa dip. Alikuwa wap cku izo zote.. Aende tcu kwa maelezo zaidi.