Je,kuna possibility ya kuapply chuo via cas kwa aliekosa chuo?

Je,kuna possibility ya kuapply chuo via cas kwa aliekosa chuo?

donMramba

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
42
wakuu naombeni msaada,kama kichwa cha habari kinavyojieleza..kuna jamaa angu kakosa chuo je anaeza kuapply tena?nimeingia kwny site ya tcu nimeona slot ya registration ipo on...je afanye nin huyu ndugu yangu?:target:
 
Walitoaga majina ya waliokosa 1st round wakaambiwa waaply second round na 3rd round kwa watu wa dip. Alikuwa wap cku izo zote.. Aende tcu kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom