Acheni kunyonya damu za watanzania mashetani nyieNi miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao.
Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za vikao juu.
Leo Mbowe anashangaa wabunge wanapewa pesa nyingi wakati watumishi wa umma wanalipwa kidogo.
Je kuna rekodi zozote akikataa mshahara mnono, posho na kuendesha shangingi?
Kinachotokea kwa chadema na viongoz wao ni kujiona kuwa wao ni malaika na hawana upungufu wowote. Chadema wameadhirika kisaikolojia. Hawajui wanaongea nn.Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao.
Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za vikao juu.
Leo Mbowe anashangaa wabunge wanapewa pesa nyingi wakati watumishi wa umma wanalipwa kidogo.
Je kuna rekodi zozote akikataa mshahara mnono, posho na kuendesha shangingi?
Hakuna.Je kuna rekodi zozote akikataa mshahara mnono, posho na kuendesha shangingi?