sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Nadhani sio peke yangu nimeshuhudia hivi vitu maana vishazoeleka sasa.
Hii hali hutokea sana pale Kaka anapokua na pesa nyingi na kuoa au anapoanza kuzikamata baada ya kuoa.
Unakuta ndugu, kaka, dada na wadogo zake mwanaume wa aina hii huanza kuleta upinzani pale wanapoona ndugu au familia ya mke wake wanasaidiwa.
Misaada anayoweza kutoa kaka inaweza kuwa kusomesha ndugu au wadogo zake mke wake, kukarabati nyumba ya wazazi wa mke, kuwajengea nyumba, kusaidia ndugu wa mke mitaji, kupata kazi, n.k
Sasa hapa ndo zinapoanza figisu za kaka kuanza kutetwa na ndugu zake.
Je, hii ni sawa?