Je kuna sheria ianayombana mwanaume kulea mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa?

Joined
Aug 6, 2013
Posts
39
Reaction score
6
Naomba msaada wana Jf,maana nimejaribu kupitia sheria ya ndoa (law of marriage Act RE:2002) na law of the child 2009 na pia nimejaribu kuptia UDHR na sijapata kaifungu wala ibara inayoonesha kama mwanaume anakuwa bound kulea maana alifanyiwa dada yangu nashindwa kumsaidia alidanganywa na mwanaume kapewa mimba kumbe mwanaume ana mke na mtoto msaada tafadhari.
 
Mbona kunakigungu kinachombana biological father of the child kulea mtotp kwenye law of the child act. Nenda mahakama ya watoto pale mahakama ya kisutu. Utapewa maelekezo hatua za kufwata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…