Mnyakyusa congo
Member
- Aug 6, 2013
- 39
- 6
Naomba msaada wana Jf,maana nimejaribu kupitia sheria ya ndoa (law of marriage Act RE:2002) na law of the child 2009 na pia nimejaribu kuptia UDHR na sijapata kaifungu wala ibara inayoonesha kama mwanaume anakuwa bound kulea maana alifanyiwa dada yangu nashindwa kumsaidia alidanganywa na mwanaume kapewa mimba kumbe mwanaume ana mke na mtoto msaada tafadhari.