Wadau wa sheria
Naomba kujuzwa sheria za Tanzania kama zipo ambazo zinanilinda katika vipengele vifuatavyo
a)Kama mtu/watu wanafuatilia mienendo yangu kupitia namba yangu simu.Hapa naamnisha mtu ananifuatilia kujua nipo wapi au eneo gani.
b)Kama mtu/watu wanafuatilia maongezi yangu ya simu.
Mkazo zaidi ni kwa hiyo ya kwanza.Naomba msaada wenu.