Je kuna sheria inayonilinda kwenye yafuatayo?

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Wadau wa sheria
Naomba kujuzwa sheria za Tanzania kama zipo ambazo zinanilinda katika vipengele vifuatavyo
a)Kama mtu/watu wanafuatilia mienendo yangu kupitia namba yangu simu.Hapa naamnisha mtu ananifuatilia kujua nipo wapi au eneo gani.

b)Kama mtu/watu wanafuatilia maongezi yangu ya simu.

Mkazo zaidi ni kwa hiyo ya kwanza.Naomba msaada wenu.
 
Sheria ya makosa ya mitandao.
Hilo ni kosa la jinai na unaweza kumshitaki police.
 
Back
Top Bottom