Salaam wadau,
Nimekuwa navutiwa sana na utoaji wa elimu kwa njia ya project-based learning, kwa jinsi inavyoweza kuwajenga watoto kuwa na uelewa wa hali juu ma vitu wanavyojifunza na mazingira yao.
Mfano kama hawa 3rd graders Marekani.
STEAM + Project-Based Learning: Real Solutions From Driving Questions
Na hawa mabinti wa kenya miaka 11 na 12 wanaofundishwa nyumbani na mama yao ( home schooling)
Naomba kujua, je kuna shule yoyote Dar es salaam au Tanzania kwa ujumla inayofundisha kwa aina hii kwa wanafunzi wa primary na sekondari.
Natanguliza shukrani.