Je, kuna simu inayoonesha saa na sekunde?

Je, kuna simu inayoonesha saa na sekunde?

HOPEfull

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
1,882
Reaction score
2,313
Wadau wa sayansi habarini.

Hivi kuna simu yenye kuonesha saa na sekunde kwenye screen?

Kama ipo picha tafadhali.
 
Screenshot_20210521-085016_One UI Home.jpg
 
Saa za Simu ni App... so tafuta App ya Saa yenye kuonesha na Sec uinstall katika simu yako yoyote ile iliyo Janja!!

Google: Watch Apps
with Second Displayed.
 
samsung yangu inaonesha sekunde ikiwa katika sleep mode
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Sm A105F
Mambo hy yapo kwny smartphone sio smart callculator..mfano tecno hizo ndo una download app.
Lkn smartphone ipo tu bila msaada wa app yeyote.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Simu zote za Android zinaweza onyesha mda pale juu na sekunde zake.
Ingia kwenye Developer settings na uchague System UI tuner then Status bar then badili sehem ya mda ioneshe sekunde.
Kma hujui mambo ya developer settings then download hii app ya System UI Tuner Shortcut: System UI Tuner - launcher shortcut - Apps on Google Play
Hii itakupeleka directly kwenye system ui tuner bila kutafta kwenye developer settings.
Screenshot_20210521-111511.jpg
View attachment 1792561
 
Back
Top Bottom