Je kuna Solar Inaweza kuendesha Freezer?

JourneyMan

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
42
Reaction score
50
Wataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme?

Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji kuweka fridge(SIO FREEZER) ya 340 ltr, umeme kuufikisha ni kipengele...

Je naweza funga Solar power? Ipi/aina gani, naipata wapi?
Kama haiwezekani Bila kupepesa Lugha nisanue tuu, nisije nikayakanyaga, maana kama hili haiwezekani, hio biashara kwa kiasi kikubwa imekwama.

Specifications
Power Input: 240W
Rated Current: 1.4A
Voltage: 220-240V
Daily Power Consumption: 1.5kwh
 
Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji kuweka freezer ya 280 ltr, umeme kuufikisha ni kipengele...

Je naweza funga Solar power? Ipi/aina gani, naipata wapi?
Kama haiwezekani Bila kupepesa Lugha nisanue tuu, nisije nikayakanyaga, maana kama hili haiwezekani, hio biashara kwa kiasi kikubwa imekwama.
Power consumption ya hio freezer ni Watts ngapi ?
 
Hivi wanasayansi wameshindwa kuja na technolojia ya kuhifadhi/tunza umeme?
 
Kujaribu kuhifadhi umeme ni sawa na kujaribu kuhifadhi upepo halafu ukifungua utoke tena kama upepo, inawezekana?

Kama ilivyo upepo,
Nguvu ya umeme inaletwa na vile unavyojongea, Sasa wewe unaufungia kwenye boksi tena???
Elewa neno CURRENT tu, hutouliza hilo swali tena.

Njia pekee ya kuhifdhi umeme ni kuubadilisha kuupeleka katika mfumo wa kemikali na kuuhifadhi kwenye chemical cells za battery halafu baadae kwenye matumizi unatoka kama umeme.
 
Nunua solar yenye watt Kubwa na Inveter kwa ajili ya kustep up volteg coz betrii ina Dc na Freezer ina Ac
 
Power consumption ya hio freezer ni Watts ngapi ?
Sorry Boss sikujibu sababu nilikua sijalinunua,
Nimeshalinunua la lita 340.
Hizi ndio specifications zake

Power Input: 240W.
Rated Current: 1.4A.
Voltage: 220-240V.
Daily Power Consumption: 1.5kwh/24h, MAX.
Hua niki set temperature ya kawaida linatumia 0.9-1.0kwh/24h.
 
Wataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme?

Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji kuweka fridge(SIO FREEZER) ya 340 ltr, umeme kuufikisha ni kipengele...

Je naweza funga Solar power? Ipi/aina gani, naipata wapi?
Kama haiwezekani Bila kupepesa Lugha nisanue tuu, nisije nikayakanyaga, maana kama hili haiwezekani, hio biashara kwa kiasi kikubwa imekwama.

Specifications
Power Input: 240W
Rated Current: 1.4A
Voltage: 220-240V
Daily Power Consumption: 1.5kwh
Unachekesha ujue
 
Hivi wanasayansi wameshindwa kuja na technolojia ya kuhifadhi/tunza umeme?
Watu wa minara ya mawasiliano wanaelewa zaidi hii, huwa wanatumia power bank kukabiliana dharura ya kukatika kwa umeme

Pia wanatumia solar power au umeme jua kama chanzo cha nishati ya kuendeshea minara seheme zisizo na umeme

Hivyo basi kama nishati ya umeme jua inatumika ktk miradi mbali mbali vijijini kama kusukuma maji (RUWASA), mitandao ya mawasiliano nk basi uwezekano wa kutumia kuendesha friji ni mkubwa pia

Muhimu tafuta mtaalamu akushauri kulingana na mahitaji au matumizi yako

JourneyMan
njinjo
whatsapp-image-2022-08-18-at-5-30-14-pm.jpeg
images (9).jpeg
5hp-solar-water-pumping-system-services-and-maintenance-500x500.jpg
 
Nunua friji zinazosapot solar sasa jichanganye ununue frij afu ndio ufunge solar ila gharama yake lazima ufurahi maana ni umeme mkubwa hio
 
Wataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme?

Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji kuweka fridge(SIO FREEZER) ya 340 ltr, umeme kuufikisha ni kipengele...

Je naweza funga Solar power? Ipi/aina gani, naipata wapi?
Kama haiwezekani Bila kupepesa Lugha nisanue tuu, nisije nikayakanyaga, maana kama hili haiwezekani, hio biashara kwa kiasi kikubwa imekwama.

Specifications
Power Input: 240W
Rated Current: 1.4A
Voltage: 220-240V
Daily Power Consumption: 1.5kwh
Siyo friji tu, zipo mpaka zinazoweza kutumika kwa welding. Ni hela yako tu. Kama upo Arusha, awatafute kampuni ya GADGETRONIX, au unaweza nikakutumia namba zao. Wanaweza kukufuata hata mikoani, ila hela yako isiwe ya "mawazo".
 
Wataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme?

Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji kuweka fridge(SIO FREEZER) ya 340 ltr, umeme kuufikisha ni kipengele...

Je naweza funga Solar power? Ipi/aina gani, naipata wapi?
Kama haiwezekani Bila kupepesa Lugha nisanue tuu, nisije nikayakanyaga, maana kama hili haiwezekani, hio biashara kwa kiasi kikubwa imekwama.

Specifications
Power Input: 240W
Rated Current: 1.4A
Voltage: 220-240V
Daily Power Consumption: 1.5kwh
Habari mkuu!
Inawezekana, na itajutoa kwenye shida ya umeme na bill zake.

Note: 1. Ni gharama kuweka(installation) Ila ukishaweka hakuna gharama, zaidi ya service ndogo ndogo Tu, tena za kawaida kabisa
2. Ili uwe na mfumo Bora, utaitaji vifaa Bora hususani, upande wa betri, makadilio Bora na ufungwaji wa kitaalamu,

Mkuu, Mungu akipenda, jioni hapo, hapahapa jukwaani, ntaolozesha vifaa vya kununua, na kampuni nzuri na Bora... ntakupigia hesabu ya makadilio ya gharama za vifaa na vinapopatikana. NAOMBA UNIJULISHE, KAMA UTAONGEZA KITU KINGINE ZAIDI, IDADI YA MASAA UTAKATOKUWA UNATUMIA FRIJI, ENEO ULILOPO(MKOA)...hii ni kwa sababu ya utofauti wa kimazingira, mfano, tunadesign mfumo wa kutumia panel ya watt 200, kutakuwa na utofauti kidogo kati ya MTU aliyepo mbeya na Dar es salaam.

SHUKRANI
 
Back
Top Bottom