Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanesco vs Ttcl vs SerikaliBila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa genge.
Ni takribani miaka 250 tangu Benjamin Franklin na Michael Faraday walipoweka kanuni jinsi umeme unavyozalishwa na unavyofanya kazi, lakini mpaka leo Tanzania haielewi chochote hata kwa vile vinavyoonekana kwa macho, kuhusiana na umeme. Uzalishaji wa umeme ni kati ya tekinolojia rahisi za kiwaida isiyohitaji elimu na tekinolojia ya pekee, lakini kwa Tanzania, hata kufunga tu wire au kuchomeka nguzo vizuri ya umeme ardhini ili isidondoke, inaonekana ni tekinolojia ngumu sana!!!
Mtanisahihisha, lakini kwa mtazamo wangu, TANESCO ni taasisi muhimu sana ambayo ubora au ubovu wake unagusa kila mahali katika maisha ya Mtanzania. Lakini kwa bahati mbaya sana, taasisi hii iliyo muhimu kabisa, bila shaka wamepewa watu wa hovyo kabisa, wenye uelewa duni kabisa, watu wazembe kabisa ambao upeo wao wa kuona mambo unaishia kwenye vidole vyao vya miguuni. Ukiwaona mitaani ya yale makoti yao unaweza kudhani wanafanya kazi, lakini kwa kiasi kikubwa wanazurura tu bila kuleta matokeo yoyote chanya.
Kuanzia Wizarani ambako kuna waziri, mpaka huko chini kwa wahandisi na mafundi, kote kumejaa watu waongo wanaotaka kuficha ubovu wao kwa kutengeneza hadithi za uwongo. Badala ya kutumia muda mwingi kufikiria namna ya kumaliza matatizo ya umeme, wao muda wote wanafikiria namna ya kutengeneza uwongo.
Miezi miwili iliyopita niitembelea vijiji 4 ambavyo vinatumia umeme kutoka kwenye mradi uliofadhiliwa na Kanisa Katoliki. Katika mwezi mzima, nilishuhudia umeme kukatika mara 2, na mara zote, haikuzidi nusu saa. Mradi huo unaendeshwa na wanakijiji wenyewe, na viongozi na watendaji wote wa mradi, hakuna mhandisi wala mfanyakazi yeyote mwenye hata degree moja. Lakini umeme ni wa uhakika.
Kwa aina ya watu waliopo wizara ya nishati mpaka hao waliopo TANESCO, nawahakikishieni, hata bwawa la Nyerere lianze kufanya kazi, hakuna kitakachobadilika. Maana tatizo kubwa halipo kwenye vyanzo vya umeme bali aina ya watu waliopo.
Muda huu ninaoandika, nimewasiliana na watu mbalimbali na kuthibitishiwa kuwa maeneo mengi ya nchi hakuna umeme.
Tujiulize, hivi watu waliyopo huko TANESCO wana uhalali gani wa kuendelea kuwatesa Watanzania kiasi hiki? Na mamlaka za juu, kwa nini zinaamua kuwatesa Watanzania kupitia TANESCO kwa kuwaweka watu ambao kwa kipimo chochote, hawafai na ni hasara kwa Taifa zima? Na sisi wananchi tutaendelea kuwavumilia hawa watu mpaka lini?
Kuna haja ya kuandaa maandamano makubwa dhidi ya TANESCO na watawala. Watawala muda huu ambao sehemu kubwa ya nchi ipo gizani, watawala wamewashiwa generators. Hawana giza.
Ni kweli kabisa watawala wameziba masikio hawasikii na kuona shida ya wananchi.Maandamano yanaweza kuwafumbuwa macho.viongozi uzalendo kwa laia wanaoongozwa umekwisha.ina bidi tuamkeBila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa genge.
Ni takribani miaka 250 tangu Benjamin Franklin na Michael Faraday walipoweka kanuni jinsi umeme unavyozalishwa na unavyofanya kazi, lakini mpaka leo Tanzania haielewi chochote hata kwa vile vinavyoonekana kwa macho, kuhusiana na umeme. Uzalishaji wa umeme ni kati ya tekinolojia rahisi za kiwaida isiyohitaji elimu na tekinolojia ya pekee, lakini kwa Tanzania, hata kufunga tu wire au kuchomeka nguzo vizuri ya umeme ardhini ili isidondoke, inaonekana ni tekinolojia ngumu sana!!!
Mtanisahihisha, lakini kwa mtazamo wangu, TANESCO ni taasisi muhimu sana ambayo ubora au ubovu wake unagusa kila mahali katika maisha ya Mtanzania. Lakini kwa bahati mbaya sana, taasisi hii iliyo muhimu kabisa, bila shaka wamepewa watu wa hovyo kabisa, wenye uelewa duni kabisa, watu wazembe kabisa ambao upeo wao wa kuona mambo unaishia kwenye vidole vyao vya miguuni. Ukiwaona mitaani ya yale makoti yao unaweza kudhani wanafanya kazi, lakini kwa kiasi kikubwa wanazurura tu bila kuleta matokeo yoyote chanya.
Kuanzia Wizarani ambako kuna waziri, mpaka huko chini kwa wahandisi na mafundi, kote kumejaa watu waongo wanaotaka kuficha ubovu wao kwa kutengeneza hadithi za uwongo. Badala ya kutumia muda mwingi kufikiria namna ya kumaliza matatizo ya umeme, wao muda wote wanafikiria namna ya kutengeneza uwongo.
Miezi miwili iliyopita niitembelea vijiji 4 ambavyo vinatumia umeme kutoka kwenye mradi uliofadhiliwa na Kanisa Katoliki. Katika mwezi mzima, nilishuhudia umeme kukatika mara 2, na mara zote, haikuzidi nusu saa. Mradi huo unaendeshwa na wanakijiji wenyewe, na viongozi na watendaji wote wa mradi, hakuna mhandisi wala mfanyakazi yeyote mwenye hata degree moja. Lakini umeme ni wa uhakika.
Kwa aina ya watu waliopo wizara ya nishati mpaka hao waliopo TANESCO, nawahakikishieni, hata bwawa la Nyerere lianze kufanya kazi, hakuna kitakachobadilika. Maana tatizo kubwa halipo kwenye vyanzo vya umeme bali aina ya watu waliopo.
Muda huu ninaoandika, nimewasiliana na watu mbalimbali na kuthibitishiwa kuwa maeneo mengi ya nchi hakuna umeme.
Tujiulize, hivi watu waliyopo huko TANESCO wana uhalali gani wa kuendelea kuwatesa Watanzania kiasi hiki? Na mamlaka za juu, kwa nini zinaamua kuwatesa Watanzania kupitia TANESCO kwa kuwaweka watu ambao kwa kipimo chochote, hawafai na ni hasara kwa Taifa zima? Na sisi wananchi tutaendelea kuwavumilia hawa watu mpaka lini?
Kuna haja ya kuandaa maandamano makubwa dhidi ya TANESCO na watawala. Watawala muda huu ambao sehemu kubwa ya nchi ipo gizani, watawala wamewashiwa generators. Hawana giza.
Mkuu bora Hovyo ..hao ni VIBUYU kiwango cha GEJIBila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa genge.

Hiki na ttcl ni mashirika ya kufutwa kabisa hapa tanzaniaBila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa genge.
Ni takribani miaka 250 tangu Benjamin Franklin na Michael Faraday walipoweka kanuni jinsi umeme unavyozalishwa na unavyofanya kazi, lakini mpaka leo Tanzania haielewi chochote hata kwa vile vinavyoonekana kwa macho, kuhusiana na umeme. Uzalishaji wa umeme ni kati ya tekinolojia rahisi za kiwaida isiyohitaji elimu na tekinolojia ya pekee, lakini kwa Tanzania, hata kufunga tu wire au kuchomeka nguzo vizuri ya umeme ardhini ili isidondoke, inaonekana ni tekinolojia ngumu sana!!!
Mtanisahihisha, lakini kwa mtazamo wangu, TANESCO ni taasisi muhimu sana ambayo ubora au ubovu wake unagusa kila mahali katika maisha ya Mtanzania. Lakini kwa bahati mbaya sana, taasisi hii iliyo muhimu kabisa, bila shaka wamepewa watu wa hovyo kabisa, wenye uelewa duni kabisa, watu wazembe kabisa ambao upeo wao wa kuona mambo unaishia kwenye vidole vyao vya miguuni. Ukiwaona mitaani ya yale makoti yao unaweza kudhani wanafanya kazi, lakini kwa kiasi kikubwa wanazurura tu bila kuleta matokeo yoyote chanya.
Kuanzia Wizarani ambako kuna waziri, mpaka huko chini kwa wahandisi na mafundi, kote kumejaa watu waongo wanaotaka kuficha ubovu wao kwa kutengeneza hadithi za uwongo. Badala ya kutumia muda mwingi kufikiria namna ya kumaliza matatizo ya umeme, wao muda wote wanafikiria namna ya kutengeneza uwongo.
Miezi miwili iliyopita niitembelea vijiji 4 ambavyo vinatumia umeme kutoka kwenye mradi uliofadhiliwa na Kanisa Katoliki. Katika mwezi mzima, nilishuhudia umeme kukatika mara 2, na mara zote, haikuzidi nusu saa. Mradi huo unaendeshwa na wanakijiji wenyewe, na viongozi na watendaji wote wa mradi, hakuna mhandisi wala mfanyakazi yeyote mwenye hata degree moja. Lakini umeme ni wa uhakika.
Kwa aina ya watu waliopo wizara ya nishati mpaka hao waliopo TANESCO, nawahakikishieni, hata bwawa la Nyerere lianze kufanya kazi, hakuna kitakachobadilika. Maana tatizo kubwa halipo kwenye vyanzo vya umeme bali aina ya watu waliopo.
Muda huu ninaoandika, nimewasiliana na watu mbalimbali na kuthibitishiwa kuwa maeneo mengi ya nchi hakuna umeme.
Tujiulize, hivi watu waliyopo huko TANESCO wana uhalali gani wa kuendelea kuwatesa Watanzania kiasi hiki? Na mamlaka za juu, kwa nini zinaamua kuwatesa Watanzania kupitia TANESCO kwa kuwaweka watu ambao kwa kipimo chochote, hawafai na ni hasara kwa Taifa zima? Na sisi wananchi tutaendelea kuwavumilia hawa watu mpaka lini?
Kuna haja ya kuandaa maandamano makubwa dhidi ya TANESCO na watawala. Watawala muda huu ambao sehemu kubwa ya nchi ipo gizani, watawala wamewashiwa generators. Hawana giza.
Kuna maamuzi magumu Mungu anatakiwa kuyafanya kuokoa Mama Tanzania.Bila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa genge.
Ni takribani miaka 250 tangu Benjamin Franklin na Michael Faraday walipoweka kanuni jinsi umeme unavyozalishwa na unavyofanya kazi, lakini mpaka leo Tanzania haielewi chochote hata kwa vile vinavyoonekana kwa macho, kuhusiana na umeme. Uzalishaji wa umeme ni kati ya tekinolojia rahisi za kiwaida isiyohitaji elimu na tekinolojia ya pekee, lakini kwa Tanzania, hata kufunga tu wire au kuchomeka nguzo vizuri ya umeme ardhini ili isidondoke, inaonekana ni tekinolojia ngumu sana!!!
Mtanisahihisha, lakini kwa mtazamo wangu, TANESCO ni taasisi muhimu sana ambayo ubora au ubovu wake unagusa kila mahali katika maisha ya Mtanzania. Lakini kwa bahati mbaya sana, taasisi hii iliyo muhimu kabisa, bila shaka wamepewa watu wa hovyo kabisa, wenye uelewa duni kabisa, watu wazembe kabisa ambao upeo wao wa kuona mambo unaishia kwenye vidole vyao vya miguuni. Ukiwaona mitaani ya yale makoti yao unaweza kudhani wanafanya kazi, lakini kwa kiasi kikubwa wanazurura tu bila kuleta matokeo yoyote chanya.
Kuanzia Wizarani ambako kuna waziri, mpaka huko chini kwa wahandisi na mafundi, kote kumejaa watu waongo wanaotaka kuficha ubovu wao kwa kutengeneza hadithi za uwongo. Badala ya kutumia muda mwingi kufikiria namna ya kumaliza matatizo ya umeme, wao muda wote wanafikiria namna ya kutengeneza uwongo.
Miezi miwili iliyopita niitembelea vijiji 4 ambavyo vinatumia umeme kutoka kwenye mradi uliofadhiliwa na Kanisa Katoliki. Katika mwezi mzima, nilishuhudia umeme kukatika mara 2, na mara zote, haikuzidi nusu saa. Mradi huo unaendeshwa na wanakijiji wenyewe, na viongozi na watendaji wote wa mradi, hakuna mhandisi wala mfanyakazi yeyote mwenye hata degree moja. Lakini umeme ni wa uhakika.
Kwa aina ya watu waliopo wizara ya nishati mpaka hao waliopo TANESCO, nawahakikishieni, hata bwawa la Nyerere lianze kufanya kazi, hakuna kitakachobadilika. Maana tatizo kubwa halipo kwenye vyanzo vya umeme bali aina ya watu waliopo.
Muda huu ninaoandika, nimewasiliana na watu mbalimbali na kuthibitishiwa kuwa maeneo mengi ya nchi hakuna umeme.
Tujiulize, hivi watu waliyopo huko TANESCO wana uhalali gani wa kuendelea kuwatesa Watanzania kiasi hiki? Na mamlaka za juu, kwa nini zinaamua kuwatesa Watanzania kupitia TANESCO kwa kuwaweka watu ambao kwa kipimo chochote, hawafai na ni hasara kwa Taifa zima? Na sisi wananchi tutaendelea kuwavumilia hawa watu mpaka lini?
Kuna haja ya kuandaa maandamano makubwa dhidi ya TANESCO na watawala. Watawala muda huu ambao sehemu kubwa ya nchi ipo gizani, watawala wamewashiwa generators. Hawana giza.
Bora hata ttcl na udart vina mbadala siyo monopolyIpo TTCL UDART laiti TTCL ingekuwa peke yake sokoni mvua ikinyesha kungekua hakuna mawasiliano
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba licha ya madudu yooote hayo, TANESCO ni moja za taasisi zinazolipa mishahara minono!!Bila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa genge.
Ni takribani miaka 250 tangu Benjamin Franklin na Michael Faraday walipoweka kanuni jinsi umeme unavyozalishwa na unavyofanya kazi, lakini mpaka leo Tanzania haielewi chochote hata kwa vile vinavyoonekana kwa macho, kuhusiana na umeme. Uzalishaji wa umeme ni kati ya tekinolojia rahisi za kiwaida isiyohitaji elimu na tekinolojia ya pekee, lakini kwa Tanzania, hata kufunga tu wire au kuchomeka nguzo vizuri ya umeme ardhini ili isidondoke, inaonekana ni tekinolojia ngumu sana!!!
Mtanisahihisha, lakini kwa mtazamo wangu, TANESCO ni taasisi muhimu sana ambayo ubora au ubovu wake unagusa kila mahali katika maisha ya Mtanzania. Lakini kwa bahati mbaya sana, taasisi hii iliyo muhimu kabisa, bila shaka wamepewa watu wa hovyo kabisa, wenye uelewa duni kabisa, watu wazembe kabisa ambao upeo wao wa kuona mambo unaishia kwenye vidole vyao vya miguuni. Ukiwaona mitaani ya yale makoti yao unaweza kudhani wanafanya kazi, lakini kwa kiasi kikubwa wanazurura tu bila kuleta matokeo yoyote chanya.
Kuanzia Wizarani ambako kuna waziri, mpaka huko chini kwa wahandisi na mafundi, kote kumejaa watu waongo wanaotaka kuficha ubovu wao kwa kutengeneza hadithi za uwongo. Badala ya kutumia muda mwingi kufikiria namna ya kumaliza matatizo ya umeme, wao muda wote wanafikiria namna ya kutengeneza uwongo.
Miezi miwili iliyopita niitembelea vijiji 4 ambavyo vinatumia umeme kutoka kwenye mradi uliofadhiliwa na Kanisa Katoliki. Katika mwezi mzima, nilishuhudia umeme kukatika mara 2, na mara zote, haikuzidi nusu saa. Mradi huo unaendeshwa na wanakijiji wenyewe, na viongozi na watendaji wote wa mradi, hakuna mhandisi wala mfanyakazi yeyote mwenye hata degree moja. Lakini umeme ni wa uhakika.
Kwa aina ya watu waliopo wizara ya nishati mpaka hao waliopo TANESCO, nawahakikishieni, hata bwawa la Nyerere lianze kufanya kazi, hakuna kitakachobadilika. Maana tatizo kubwa halipo kwenye vyanzo vya umeme bali aina ya watu waliopo.
Muda huu ninaoandika, nimewasiliana na watu mbalimbali na kuthibitishiwa kuwa maeneo mengi ya nchi hakuna umeme.
Tujiulize, hivi watu waliyopo huko TANESCO wana uhalali gani wa kuendelea kuwatesa Watanzania kiasi hiki? Na mamlaka za juu, kwa nini zinaamua kuwatesa Watanzania kupitia TANESCO kwa kuwaweka watu ambao kwa kipimo chochote, hawafai na ni hasara kwa Taifa zima? Na sisi wananchi tutaendelea kuwavumilia hawa watu mpaka lini?
Kuna haja ya kuandaa maandamano makubwa dhidi ya TANESCO na watawala. Watawala muda huu ambao sehemu kubwa ya nchi ipo gizani, watawala wamewashiwa generators. Hawana giza.
sasa fikiria badala ya kuongeza nguvu kumaliza utengezaji wa bwawa la umeme, wanakimbilia kung'oa nguzo imara za miti wanaweka zege. Hawa ni wa kuchapa vibokoYawezekana hakuna!
Tatizo 99% ya taasisi za serikali ziko HOVYO!
Kufanya kazi kwa mazoea..
Nidhamu, ukiritimba, uvivu, hawako creative katika uboreshaji wao wa kazi, hawataki mabadiliko ya aina yoyote kufanya kazi yao iwe rahisi na kumsaidia raia...
Sababu ya kutokuwa na performance review na targets basi wanaingia job na kutoka watakavyo, bila uwajibikaji wa aina yoyote ile!
They are just LUCKY PEOPLE KWA KULIPWA MISHAHARA BILA PRESSURE YA AINA YOYOTE ILE!
Yaani ulivyoniambia relax, ndio nikaacha kusoma coment yako. Unakumbuka umeme ulikuwa unapatikana kwa 27,000 pesa za kitanzania. Dada yako kaja na zama zake kweli na bado kwa spid hii mpaka 2030 kutakuwa na mgawa. Sasa hizi nguzo imata za miti mnazotoa mnapeleka wapi? kuni au?Rais wa awamu ya 2 aliwahi kusema,
namnukuu...
"Kila zama na kitabu chake"
maana yake kila jamii, jumuiya au familia ina utaratibu wake wakufanya mambo yake...
Huwezi tamani uwe na familia ya watoto 10 kama ya Fulani wakati ata kupata mtoto 1 huwezi kuzalisha 🐒
Relax,
Wizara ilishaeleza nini tatizo, Rais alishatoa maagizo na maelekezo kwenye hili, muhimu ni kuwa na subra,wastahimilivu na wangwana.
wakubwa zenu waliwaelekeza mfanye maandamano juzi hili hawakuliona la muhimu kwasabb wanajua linashughulikiwa....
kama umenena yote hayo ili kutoa dukuduku la moyoni na kupata relief, well and good nadhan uko sahihi kabisaaaa, big up sana 🐒
But issue inashughulikiwa na bilashaka unajua...
nafurahi umerelax na umerudi polepole kwa umakini zaid.....Yaani ulivyoniambia relax, ndio nikaacha kusoma coment yako. Unakumbuka umeme ulikuwa unapatikana kwa 27,000 pesa za kitanzania. Dada yako kaja na zama zake kweli na bado kwa spid hii mpaka 2030 kutakuwa na mgawa. Sasa hizi nguzo imata za miti mnazotoa mnapeleka wapi? kuni au?