Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

JF siku hizi hakuna critical thinkers hivi tatizo ni wafanya kazi wa Tanesco au powerfull external interests zinazonufaika na hii crisis za electricity shortages
 
Maombi makali sana yanahitajika kuzuia mianya inayotumika kuharibu hili shirika.
 
1. Serikali ingeacha ku-interfere na kuitumia TANESCO kisiasa inawezekana kabisa mipango mkakati ya kuwa na huduma nzuri na umeme wa uhakika ikatekelezeka

2. Watumishi wa hili shirika wanahitaji utawala wenye njozi from top management ili kuwe na culture change. Wengi ni viburi, huduma mbovu, kutojali as long as sifukuzwi na mshahara nalipwa, hata tujenge mabwawa ya mabilioni hawa watumishi ni shida.

3. Kwa mfumo wa utawala uliopo TANESCO ni kubwa mno ivunjwe kwenye layers za uzalishaji na usambazaji kuwepo na akili tofauti za kutatua matatizo.
 
Tanesco vs Ttcl vs Serikali


Hizo taasisi zote hakuna kitu
 
Ni kweli kabisa watawala wameziba masikio hawasikii na kuona shida ya wananchi.Maandamano yanaweza kuwafumbuwa macho.viongozi uzalendo kwa laia wanaoongozwa umekwisha.ina bidi tuamke
 
Mkuu bora Hovyo ..hao ni VIBUYU kiwango cha GEJI
 
Hiki na ttcl ni mashirika ya kufutwa kabisa hapa tanzania
 
Kuna maamuzi magumu Mungu anatakiwa kuyafanya kuokoa Mama Tanzania.
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba licha ya madudu yooote hayo, TANESCO ni moja za taasisi zinazolipa mishahara minono!!
 
sasa fikiria badala ya kuongeza nguvu kumaliza utengezaji wa bwawa la umeme, wanakimbilia kung'oa nguzo imara za miti wanaweka zege. Hawa ni wa kuchapa viboko
 
Yaani ulivyoniambia relax, ndio nikaacha kusoma coment yako. Unakumbuka umeme ulikuwa unapatikana kwa 27,000 pesa za kitanzania. Dada yako kaja na zama zake kweli na bado kwa spid hii mpaka 2030 kutakuwa na mgawa. Sasa hizi nguzo imata za miti mnazotoa mnapeleka wapi? kuni au?
 
nafurahi umerelax na umerudi polepole kwa umakini zaid.....

narejea kunukuu alichowahi kusema rais wa awamu ya2...

"kila zama na kitabu chake"
Fulani alifanya vile na fulani kafanya hivi, ndio maana ya nukuu hiyo...

nimefurahi zaid kwa jinsi unavyofuatilia kwa ukaribu sana, jitihada za serikali katika kulifanyia kazi jambo hili la umeme nchini....

suala la nguzo za miti zitapelekwa wapi baada ya replacement kukamilika kama unavyoshuhudia, ni muhimu sana kua na subra acha kazi ya ifanyike na ikamilike hilo la kama nguzo zinazotolewa zitakua kuni kama unavyohoji ama vinginevyo....
 
Kama Magu aliweza Mama yenu anakwama wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…