IPO, Mtibwa SC.Baada ya kufanya research Kwa muda mrefu nimekuja ku conclude kuwa hakuna timu rahisi kuiongoza kama Simba since mashabiki ni (mbumbumbu) sorry nmekosa tafsiri sahihi
Mangungu anahojiwa baada ya kukosa ubingwa yeye anajibu kuwa kwenye ligi hakuna fairness ....je alikuwa wapi ku take action
Baada ya Simba kuukosa ubingwa Viongozi, mashabiki wamekuja na kampeni ya kuilaumu TFF Kwamba yanga wanapendelewa ......Yani badala ya kewekeza nguvu sehemu Gani wamefeli kama timu....wenyewe wanatafuta unreasonable logic Kwa kujitetea eti yanga wamebebwa 😂😂😂
NB mkishindwa solve hyo puzzle......mwakani yanga bingwa tena
Mwakani mshindi wa pili ni AZAM, huku Yanga ikiwa Bingwa mara ya 6.Baada ya kufanya research Kwa muda mrefu nimekuja ku conclude kuwa hakuna timu rahisi kuiongoza kama Simba since mashabiki ni (mbumbumbu) sorry nmekosa tafsiri sahihi
Mangungu anahojiwa baada ya kukosa ubingwa yeye anajibu kuwa kwenye ligi hakuna fairness ....je alikuwa wapi ku take action
Baada ya Simba kuukosa ubingwa Viongozi, mashabiki wamekuja na kampeni ya kuilaumu TFF Kwamba yanga wanapendelewa ......Yani badala ya kewekeza nguvu sehemu Gani wamefeli kama timu....wenyewe wanatafuta unreasonable logic Kwa kujitetea eti yanga wamebebwa 😂😂😂
NB mkishindwa solve hyo puzzle......mwakani yanga bingwa tena
Umeongozwa na ushabikiNafikiri timu rahisi kuongoza ni yanga.
Kabla ya kuingia unatoa ahadi ya kujenga uwanja lakini ikifika muda wa uchaguzi mwingine ndio unaanza mchakato.
Kwenye uchaguzi viongozi wanachukuliwa fomu ili wapite bila kupingwa.
Washabiki kazi ya ni ........ mtanalizia
Ni Simba Mkuu,wale ni mbumbumbu wahed , Hivi KESI ya damaro iliishia wapi ? KESI ya ya Yanga kuchangia CCM imeishia wapi ?Nafikiri timu rahisi kuongoza ni yanga.
Kabla ya kuingia unatoa ahadi ya kujenga uwanja lakini ikifika muda wa uchaguzi mwingine ndio unaanza mchakato.
Kwenye uchaguzi viongozi wanachukuliwa fomu ili wapite bila kupingwa.
Washabiki kazi ya ni ........ mtanalizia
Sio kwamba ni mbumbumbu?Umeongozwa na ushabiki
Kesi ya Kagoma iliishia wapi na kesi ya MorisonNi Simba Mkuu,wale ni mbumbumbu wahed , Hivi KESI ya damaro iliishia wapi ? KESI ya ya Yanga kuchangia CCM imeishia wapi ?
Hahahaha 🤣 wenye Akili wawili vs Mbumbumbu FCKesi ya Kagoma iliishia wapi na kesi ya Morison