Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Kama chanjo zingine mfano za TB,ndio,yellow fever,n.k tunazikubali basi hata hii ya covid 19 tuikubali pia,vinginevyo huu utakuwa ni uoga wa sindano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nashauri frontliners wa kuitaka chanjo waanze wao na familizia zao, baada ya hapo wananchi wengine watakuwa wamehamsika kuipokea hiyo chanjo.Kama chanjo zingine mfano za TB,ndio,yellow fever,n.k tunazikubali basi hata hii ya covid 19 tuikubali pia,vinginevyo huu utakuwa ni uoga wa sindano.
Sasa utajuaje kama umeathirika sana Kama ugonjwa wenyewe unakuja kwa mpito alafu unapotea na mkikaa mkajisahau mara unakuja ghafla unakomba watu kiasi na kuuguza wengine unapotea tena Sasa hapo bila kuwa na taadhali huoni unaweza kuja vibaya na kuleta madhara màkubwa? Kinga ni Bora kuliko tiba hivyo lazima tuchukue taadhali mapema na mshaambiwa kuchanjwa siyo lazima, kwani mbona kuna uzazi wa Mpango wale wasiotaka kutumia huwa hawatumii wanafyatua tu lakini dawa zipo kwa taadhali na wale watakaotaka kutumia wasikwamishwe kwa kukosa dawa.