Sasa utajuaje kama umeathirika sana Kama ugonjwa wenyewe unakuja kwa mpito alafu unapotea na mkikaa mkajisahau mara unakuja ghafla unakomba watu kiasi na kuuguza wengine unapotea tena Sasa hapo bila kuwa na taadhali huoni unaweza kuja vibaya na kuleta madhara màkubwa? Kinga ni Bora kuliko tiba hivyo lazima tuchukue taadhali mapema na mshaambiwa kuchanjwa siyo lazima, kwani mbona kuna uzazi wa Mpango wale wasiotaka kutumia huwa hawatumii wanafyatua tu lakini dawa zipo kwa taadhali na wale watakaotaka kutumia wasikwamishwe kwa kukosa dawa.