Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Shida kubwa ni chuki


Waislamu wakifanikiwa wataongea wakikwama wataongea


Ndio maana hata sakata la DP world waliongea sana Hali ya kuwa Kuna mikataba mingi mibovu wamekaa kimya ikiwemo mikataba wao wa kinyonyaji wa mahospitali

Makafiri hamnazo sana nchi hii walidhani wataendelea kuinyonya sijui hadi lini...

Wanadhani watu hatujui uozo wao na ufisadi Tena wenye baraka hata na kanisa ndani ya Taifa hili...

Hizo MOU walizokaingia Kwa Siri na serikali walidhani ni vitu ambavyo vitakuwa Siri miaka yoote,huduma za AFYA fedha nyingi zinatoka serikalini na hata hivyo watu wanalipia hizo huduma,ila always kujiproud kwamba wao ndiyo wao utadhani wanafanya Kwa nguvu za kanisa vile pumbavu hawa
 
Kiujumla waafrica tulikosea sana kufuata mifumo ya watu weupe si wazungu Wala waarabu mifumo Yao ni yakuwa feva wao na midini Yao sishangai Leo kuona ugaidi ushoga na ufisadi ukiongezeka katika nchi za kiafrica mfano huyo papa anataka watu wawe mashoga na hao magaidi wa kiislam wanataka Dunia nzima iwe waislam Yan mambo ni ovyo ovyo tu. Wenzetu china wamefika hapo baada yakuishi mifumo Yao na tamaduni zao kwanzia lugha adi dini.
 
Kugeuzwa mashoga PAPA Ruksa kaitoa kwenu mbona unashindwa kuitumia hiyo fursa unasukumia kwetu aiseee??

Tafuta kafiri mwenzako wa kuruka nae,teh teh teh...
Mi sio mfuasi wa ukristu mi mfuasi wa dini za asili huku hakuna ushoga kama huko kwenu kwa papa na Muhammad. Rudini kwenye dini zenu za asili wacha kurukaruka
 
Anzeni kuziambia serikali zenu zisiombe fedha kutoka Kwa mashoga.
Sasa nyinyi wenye akili mnaofaulu mpo wapi mpaka nchi inaombaomba?

Ndio upumbavu wenyewe huu, unajisifu kwa ufaulu na elimu huku nchi Yako haijiwezi Kwa kila kitu



Ipi thamani ya hiyo elimu kama sio mzigo?
 
Mi sio mfuasi wa ukristu mi mfuasi wa dini za asili huku hakuna ushoga kama huko kwenu kwa papa na Muhammad. Rudini kwenye dini zenu za asili wacha kurukaruka

Na Bado tunataka twende na nyinyi makafiri bampa to bampa hadi mzikatae Imani zenu kama hivi,hadi akili ziwakae sawa makafiri
 
Hata makka wako makafiri wenzako .


Hivyo huyo ni kafiri mwenzako tu
 
Sasa nyinyi wenye akili mnaofaulu mpo wapi mpaka nchi inaombaomba?

Ndio upumbavu wenyewe huu, unajisifu kwa ufaulu na elimu huku nchi Yako haijiwezi Kwa kila kitu



Ipi thamani ya hiyo elimu kama sio mzigo?
Hakuna kitu hawa makafiri...Mimi nakueleza nchi hii ipo kwenye matatizo makubwa kutokana na mindset za hawa wanaojiita wasomi wa Kanisa,akili zao ndiyo kama hizo kuomba omba misaada tuh,hawana wanachojua zaidi ya kwenda ofisini kuiba, mwisho wa mwezi wapokee.mshahara wakanywe Pombe na kitimoto kuhonga malaya na kwenda kutoa sadaka makanisani kuungama dhambi Zao, hovyo kabisa hawa jamaa.
 
Sasa Tanzania na IQ wapi na wapi jamani si tunataka kuchekeshana hapa..!
 
Kumbe ujinga wako ulianza toka shuleni ndio maana umejaza CCC Kwenye matokeo
 
Kuna mwanasaikolojia mmoja aliwahi kusema kuwa Mtoto akianza kusoma yale maandishi yanayoanzia kulia kwenda kushoto anapungukiwa na Akili ingawa sina uhakika Sana
Maandish ya Hebrew kiyahudi yanaanzia kulia kwenda kushoto unalijuwa hilo?? Au mnaongopeana tu huko kanisani?? Tanzania ni kubwa ingefaa hii nchi ikagawanywa iwe nchi mbili,wanawakumbatia wazanzibar makusudi ili wapate pa kujifichia tulishawashtukia na kufanya dhulma yao.
 
Hapo kwenye wabunge wa Zanziber pa kujifichia na ndio maana haswa ya kujifanya tunaipenda Zanziber,kwani kama si wao Mhhhh wangeshtuka kitambo usiwaamshe watakujuwa.
 
Uarabu ndo Nini??
Nani anamtukuza muarabu??

Who is muarabu by the way,being the fact kwamba messenger of god alikuwa muarabu doesn't justify eti sisi tumtukuze muarabu, besides wapo waarabu wengi tuh ambao ni wagalatia kama wewe,wapo waarabu wengi ambao ni atheists wasioamin Mungu kabisa,Sasa sisi tumshobokee mwarabu Kwa lipi??

Iyo ya kushobokea wazungu ni nyinyi makafiri,na ndiyo maana Sasa wanawataka muwe machoko,hiyo ni juu yenu
 
Ni Bora kuwa na akili za mbuzi kuliko kuwa na akili za hawa jamaa aisee...
 
Unazungumzia talent gani?!
 
Kwani matukio ya kuchinjana na kuuana mara nyingi huwa inatokea sehemu gani hapa Tanzania?
Elimu gani mnayo wakati wengi mazezeta karne ya 21 unaabudu picha ya Brian Deacon.
Kuna hawa walokole wanakata viuno wanaweka bendera ya Israel na Marekani humo makanisani.
 
Hawa wanaotumia nguvu kulazimisha ushago kumbe ndio ukristo!
😅😅😅

Hawa wazee wa haki sana kumbe ni wakristo!? Mbona kule biblia inasema mwanamke haruhusiwi hata kuuliza swali kanisani...
Zbar hapo wamejazana waislam ila ushoga umeshamiri sana mpaka mashoga mengine yanakosa adabu yanafirana kwenye vituko vya polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…