Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Hiyo ndio ajabulkn cha ajabu wamesherehekea birthday juzi kati kwa kutumia christian calender na siyo hiyo ya kalenda ya kiislamu …
Of course ikiwa umevamiwa na watu 60 milioni uchumi utakuwa wapi ?? uliza kabla uvamizi uchumi ulikuwa vipi , Soma historia usikimbie shuleUshoga hata huko uarabun upo bila kusahau huko zenji maeneo ya mchambawima wete chake chake lakn mbona wana uchum mbovu
Anzeni kuziambia serikali zenu zisiombe fedha kutoka Kwa mashoga.
Wanabodi,
Kuna msemo wa kizungu usemao, "numbers don't lie" yaani numbers, haziongopi!.
Japo mimi nilipokuwa primary School nilikuwa mzuri wa hesabu, sekondari nikakutana na Additional mathematics, nilikuwa mzuri wa algebra, ila nilipoamua kufanya HGL A-Level, somo la hesabu nilipata C, sambamba na Chemistry, Physics, na Biology, zote nilipiga C!, lakini naomba kukiri, japo mimi sio mzuri kivile kwenye takwimu, lakini mtu akileta mada na kuivisha data za kimaghumashi, nina uwezo wa kubaini!.
Huko nyuma, tuliwahi kupishana na Mkuu Maalim Mohamed Said kwenye takwimu zake za idadi ya Wabunge Wakristo na Waislamu, ndani ya Bunge la JMT. Yeye alisema idadi ya wabunge Waislamu ni asilimia 6%, hii maana yake wabunge Wakristo ni asilimia 94%!, nilimbishia nikasema ni urongo!. Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.
Ubishi huo ulianzia huku Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga
Baada ya kumpinga with data estimates only kwa kutumia sampling ya wabunge wa Zanzibar tuu ndani ya Bunge la JMT ambao wote ni Waislamu, idadi hiyo ni over and above hiyo 6%! ile video ya urongo, iliondolewe kule YouTube!.
Sasa angalia takwimu hizi za matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mujibu wa Mkuu Maalim Mohamed Said
Kwenye takwimu hizi
Mkuu Maalim Mohamed Said ametoa hoja ya msingi sana na ameuliza
1. ama Waislamu wajinga
2. ama akili yao haifanyi kazi,
3. ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu,
4. ama kuna kitu.
5. Kisha akamuomba Waziri anayehusika, ajitokeze na aseme kwa hali ilivyo kama Waislamu wameumbwa wajinga.''
6. Mwisho ndipo kwenye hoja za bandiko hili, Maalim Mohamed Said amesema "huwa tunazungumza na wengi ndani ya serikali ambao wanajua kuwa hili ni tatizo ambalo ni muhali mkubwa kwa serikali kukiri kuwa ndani ya serikali kumekuwa na dhulma hizi"
Conclusion yake ni kuwa matokeo hayo kwa Waislamu ni wanafanyiwa dhulma, serikali wanajua kuhusu dhulma hiyo ila ni muhali kwa serikali kukiri kuhusu Waislamu kufanyiwa dhulma, hapa kwenye dhulma mimi ndipo nataka tuanze napo!.
Hatua ya kwanza ni authentication ya hizi data, kanuni ya kutoa data zozote ni lazima utaje source!, nauliza jee hizi data ni kweli Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71% ni Waislamu na dini nyingine zote ni asilimia 29%?.
Hizi data za asilimia za idadi ya watu wa dini fulani, zinapatikaje?, naomba mtu asiibuke na kuniambia wametumia majina!.
Katika hiyo asilimia 71 % ya Waislamu waliofanya mtihani huo wa darasa la 7, waliofaulu kwenda sekondari ni asilimia 21% tuu, hii maana yake kati ya Waislamu waliofanya mtihani wa darasa la 7, waliopasi kwenda sekondari ni asilimia 21% ya wale asilimia 71% Waislamu, na kati ya wale Wakristu asilimia 29% waliopasi kuingia sekondari ni asilimia 79%. Hii ni kweli?!.
Kama hizi data za Maalim Mohamed Said ni data za kweli, then kuna shida mahali!, kuna tatizo!, linalohitaji critical analysis kulibaini na kulitafutia ufumbuzi wa kudumu kulitatua tatizo hilo!. Watanzania ni watu wamoja, haiwezekani tujione wamoja kumbe kuna wenzetu wanafanyiwa dhulma kubwa ya kihivi!.
Niliwahi kuuliza humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.
Pia nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling
Nikauliza tena Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
Na nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
Nashauri tufanye utafiti wa Idadi ya Waislamu na Wakristu kwenye maeneo yafuatayo
1. Kiwango cha umasikini kati ya Wakristo na Waislamu
2. Idadi ya wafanyabiashara
3. Idadi ya matajiri
4. Ufaulu wa darasa la saba
5. Ufaulu wa kidato cha 4
6. Udahili elimu ya juu
7. Asilimia kwenye astashahada
8. Stashahada
9. Shahada
10. Shahada za uzamili
11. Shahada za uzamivu
12. Idadi wafungwa, mahabusu na uhalifu.
13. Idadi ya jobless
14. Idadi ya wale dada zetu wanaofanya ile biashara ya usiku ya kuuza naniliu
15. Idadi ya wife materials na husbands material
16. Idadi ya kuoa na kuolewa
17. Utulivu kwenye ndoa
18. Broken homes
19. Single mothers
20. Wanaume wanaotekeza watoto.
Matokeo ya tafiti hizi, japo yata surprise wengi, lakini hizo data zitatusaidia kubaini kuwa tuna tatizo, hivyo tuanze kuchukua hatua kulitatua, vinginevyo, wachochezi wa udini, watakuwa wanaendelea kutulisha matango pori kuwa kuna dini wanapendelewa na kuna dini wanabaguliwa, kumbe the actual fact ni kuna wenzetu wanashida, wana matatizo, wanahitaji msaada na tuwasaidie, tusaidiane!.
Paskali
we jamaa dini unayoiamini imeharibu akili zako, badili mtazamo upone, umekuwa kama mwehuKama hauelewi kaa kimya!
Kuna kauli anatoa za utata sanawe jamaa dini unayoiamini imeharibu akili zako, badili mtazamo upone, umekuwa kama mwehu
huyo unayemuita nabii tito unaona ana akili timamu? Kama ana akili timamu basi anajifanya mwendawazimu kwa shughuli maalumOf course ikiwa umevamiwa na watu 60 milioni uchumi utakuwa wapi ?? uliza kabla uvamizi uchumi ulikuwa vipi , Soma historia usikimbie shule
Kumbe Nabii Tito ni mtu wa Zenj ??
🙂🙂🙂 Kila mtu na uhuru wake kama wewe humuoni ni Nabii wengine humuita hivyo kama vile wengine wanavyomuona yesu ni Mungu na kumbe hakuna biblia yoyote aliyojitangazia uungu na watu humuita hivyohuyo unayemuita nabii tito unaona ana akili timamu? Kama ana akili timamu basi anajifanya mwendawazimu kwa shughuli maalum
si ujibu hoja zake malalamiko ya kazi gani ??Kuna kauli anatoa za utata sana
"Mara hamna kitu utafanya"
yaani amekaa kishari shari sana ni mtu ambaye ni wa vurugu vurugu sana
huyu jamaa ndio wale wanaovalishwa mabomu wakajilipue waue wasioamini dini yao ili waende peponi na mungu wao afurahie kifo walichojiua wawe shahidi kupigania imani yao. Tumsaidie apone, ni mwendawazimu anayehitaji huduma ya ukombozi wa fikra zakeKuna kauli anatoa za utata sana
"Mara hamna kitu utafanya"
yaani amekaa kishari shari sana ni mtu ambaye ni wa vurugu vurugu sana
Mimi kuna rafiki/ jirani yangu analea wajukuu kadhaa....halafu mkazo ni kwenda madras...hii " ilimu" nyingine( anavyotamka yeye).....haina umuhimu shekhee.Wanabodi,
Kuna msemo wa kizungu usemao, "numbers don't lie" yaani numbers, haziongopi!.
Japo mimi nilipokuwa primary School nilikuwa mzuri wa hesabu, sekondari nikakutana na Additional mathematics, nilikuwa mzuri wa algebra, ila nilipoamua kufanya HGL A-Level, somo la hesabu nilipata C, sambamba na Chemistry, Physics, na Biology, zote nilipiga C!, lakini naomba kukiri, japo mimi sio mzuri kivile kwenye takwimu, lakini mtu akileta mada na kuivisha data za kimaghumashi, nina uwezo wa kubaini!.
Huko nyuma, tuliwahi kupishana na Mkuu Maalim Mohamed Said kwenye takwimu zake za idadi ya Wabunge Wakristo na Waislamu, ndani ya Bunge la JMT. Yeye alisema idadi ya wabunge Waislamu ni asilimia 6%, hii maana yake wabunge Wakristo ni asilimia 94%!, nilimbishia nikasema ni urongo!. Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.
Ubishi huo ulianzia huku Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga
Baada ya kumpinga with data estimates only kwa kutumia sampling ya wabunge wa Zanzibar tuu ndani ya Bunge la JMT ambao wote ni Waislamu, idadi hiyo ni over and above hiyo 6%! ile video ya urongo, iliondolewe kule YouTube!.
Sasa angalia takwimu hizi za matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mujibu wa Mkuu Maalim Mohamed Said
Kwenye takwimu hizi
Mkuu Maalim Mohamed Said ametoa hoja ya msingi sana na ameuliza
1. ama Waislamu wajinga
2. ama akili yao haifanyi kazi,
3. ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu,
4. ama kuna kitu.
5. Kisha akamuomba Waziri anayehusika, ajitokeze na aseme kwa hali ilivyo kama Waislamu wameumbwa wajinga.''
6. Mwisho ndipo kwenye hoja za bandiko hili, Maalim Mohamed Said amesema "huwa tunazungumza na wengi ndani ya serikali ambao wanajua kuwa hili ni tatizo ambalo ni muhali mkubwa kwa serikali kukiri kuwa ndani ya serikali kumekuwa na dhulma hizi"
Conclusion yake ni kuwa matokeo hayo kwa Waislamu ni wanafanyiwa dhulma, serikali wanajua kuhusu dhulma hiyo ila ni muhali kwa serikali kukiri kuhusu Waislamu kufanyiwa dhulma, hapa kwenye dhulma mimi ndipo nataka tuanze napo!.
Hatua ya kwanza ni authentication ya hizi data, kanuni ya kutoa data zozote ni lazima utaje source!, nauliza jee hizi data ni kweli Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71% ni Waislamu na dini nyingine zote ni asilimia 29%?.
Hizi data za asilimia za idadi ya watu wa dini fulani, zinapatikaje?, naomba mtu asiibuke na kuniambia wametumia majina!.
Katika hiyo asilimia 71 % ya Waislamu waliofanya mtihani huo wa darasa la 7, waliofaulu kwenda sekondari ni asilimia 21% tuu, hii maana yake kati ya Waislamu waliofanya mtihani wa darasa la 7, waliopasi kwenda sekondari ni asilimia 21% ya wale asilimia 71% Waislamu, na kati ya wale Wakristu asilimia 29% waliopasi kuingia sekondari ni asilimia 79%. Hii ni kweli?!.
Kama hizi data za Maalim Mohamed Said ni data za kweli, then kuna shida mahali!, kuna tatizo!, linalohitaji critical analysis kulibaini na kulitafutia ufumbuzi wa kudumu kulitatua tatizo hilo!. Watanzania ni watu wamoja, haiwezekani tujione wamoja kumbe kuna wenzetu wanafanyiwa dhulma kubwa ya kihivi!.
Niliwahi kuuliza humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.
Pia nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling
Nikauliza tena Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
Na nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
Nashauri tufanye utafiti wa Idadi ya Waislamu na Wakristu kwenye maeneo yafuatayo
1. Kiwango cha umasikini kati ya Wakristo na Waislamu
2. Idadi ya wafanyabiashara
3. Idadi ya matajiri
4. Ufaulu wa darasa la saba
5. Ufaulu wa kidato cha 4
6. Udahili elimu ya juu
7. Asilimia kwenye astashahada
8. Stashahada
9. Shahada
10. Shahada za uzamili
11. Shahada za uzamivu
12. Idadi wafungwa, mahabusu na uhalifu.
13. Idadi ya jobless
14. Idadi ya wale dada zetu wanaofanya ile biashara ya usiku ya kuuza naniliu
15. Idadi ya wife materials na husbands material
16. Idadi ya kuoa na kuolewa
17. Utulivu kwenye ndoa
18. Broken homes
19. Single mothers
20. Wanaume wanaotekeza watoto.
Matokeo ya tafiti hizi, japo yata surprise wengi, lakini hizo data zitatusaidia kubaini kuwa tuna tatizo, hivyo tuanze kuchukua hatua kulitatua, vinginevyo, wachochezi wa udini, watakuwa wanaendelea kutulisha matango pori kuwa kuna dini wanapendelewa na kuna dini wanabaguliwa, kumbe the actual fact ni kuna wenzetu wanashida, wana matatizo, wanahitaji msaada na tuwasaidie, tusaidiane!.
Paskali
Kwani hao wanatumia kalenda ya nani kupata miaka?Kuna Imani Fulani wanasema kuwa wao wapo mwaka 1400 na sio 2024
We huwajui wafia dini ya uislamusi ujibu hoja zake malalamiko ya kazi gani ??
Kesho wanafeli alafu lawama wanapelekewa mfumo kristoMimi kuna rafiki/ jirani yangu analea wajukuu kadhaa....halafu mkazo ni kwenda madras...hii " ilimu" nyingine( anavyotamka yeye).....haina umuhimu shekhee.
Naunga mkonoKama Hebrew au?
Acheni udini, issue ya I.Q ni 100% cultural issue
sio ya rangi wala dini. Unajua historia ya Algebra? muhasisi wa "Scientific methods"?
Wote wasomi wa kiarabu
Google "Islamic Golden Age"