bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Wakristo wasomi kwenye Ishu ya uchumi waislamu wanakimbiza so kila mmoja ana IQ kwenye eneo lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo akina Yakhe wakiingia darasani hazipandi?Vitu vingine Wala sio vya kuumiza kichwa kujadili vingine ni asili ya vilipoanzia.
Ndo kusema wakristo nao walalamike kwamba mbona wafanyabiashara wengi ni waislamu ndio wanaomiliki viwandq,mabus,malori,daladala,maduka,nyumba za kupanga,masoko.
Muislamu haihitaji kukaa darasani ili Aishi wao Wana mifumo Yao ya maisha,mfumo elimu msingi to chuo huu ni mfumo wa kimagharibu au wa Kikristo.hakuna cha hujuma yeyeto Wala nini
Wafia dini wapi dini zote hata wasio na dini wapo, muhimu ni kujibu hoja au unaona Huwezi jibu ni bora ukamezea tuWe huwajui wafia dini ya uislamu
Sio kweli mbona wasomi wengi tu waislamKwa hiyo akina Yakhe wakiingia darasani hazipandi?
Hivi Yesu, Paulo, Yohana, Mathayo, Luka walisoma vyuo vipi na walipata Degree ipi?Kwa hiyo akina Yakhe wakiingia darasani hazipandi?
Umechanganya mada♦️Elimu ni kusoma na kuelewa na sio kukariri
♦️Kama uliwahi kusoma na wale wa kukariri huishia kuangukia pua
♦️ Kuna baadhi ya dini huandaa watoto wakiwa wadogo kwa elimu ya mfumo wa kukariri (wao huita kuhifadhi ila ni kukariri kwa Kuimba na viboko)
🔹Mtihani unapokuja kwa kuchengwa kidogo tuu, mtoto anashindwa kuelewa swali na kujibu off point
Kuna jamaa mmoja humu JF nilimpa point hii kuhusu kufeli kwa wototo wa kiislamu akabisha kinoma nikaamua kuachana nae. Huu ndo ukweli.Mkuu Pascal
Kindergarten & Montessori au niseme elimu ya awali ..
Najifunza Geography, Arithmetics (Mathematics),A little philosophy (Religion) . Literature/Poetry kidogo (Arts)
Mohamed anakwenda Chuo ..
See
Anajifunza Kiarabu alphabets ..
Alif , Be ....
Toka ameanza kuweza kutembea vizuri miaka mi3,4 Mpaka 7 Kweli kweli utamlinganisha na Mimi?
Kijana wa madrasa huwezi nipangia jinsi ya kumjibu mwenzako wa madrasaWafia dini wapi dini zote hata wasio na dini wapo, muhimu ni kujibu hoja au unaona Huawei ni bora ukamezea tu
Miaka hiyo hakukua na kitu kinachoitwa degree ila walikua wamesoma ndo maana waliweza andika vitabuHivi Yesu, Paulo, Yohana, Mathayo, Luka walisoma vyuo vipi na walipata Degree ipi?
Wakristo wasomi kwenye Ishu ya uchumi waislamu wanakimbiza so kila mmoja ana IQ kwenye eneo lake
Kijana wa madrasa huwezi nipangia jinsi ya kumjibu mwenzako wa madrasa
Walisoma university ipi ??Miaka hiyo hakukua na kitu kinachoitwa degree ila walikua wamesoma ndo maana waliweza andika vitabu
Mpumbavu kumzidi mama yako anayokalia chupa?we ni mpumbavu ulioko kwenye kundi bovu
Walisoma madrasaWalisoma university ipi ??
Walisoma madrasa
unajuaje kama nina mama, au unaropoka ovyo kwa kuwa una iq ndogo?Mpumbavu kumzidi mama yako anayokalia chupa?
HAPANA. UKRISTO HAUTAWALI ULAYA.naam sasa mmeanza kuelewa kwamba falsafa ya dini ndiyo inayoleta maendeleo na utu wa binadamu, mfumo unaotawala Dunia leo hii ni western christianity hivyo yoyote ambaye hafwati christianity ( western) way of life hawezi kuendelea.
na ndio maana nchi zinafwata uislamu afrika ni shida tupu kuanzia somalia, chad, maurtania na kwingineko pakistani, irani au hata yemeni.