Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Wanabodi,

Kuna msemo wa kizungu usemao, "numbers don't lie" yaani numbers, haziongopi!.

Japo mimi nilipokuwa primary School nilikuwa mzuri wa hesabu, sekondari nikakutana na Additional mathematics, nilikuwa mzuri wa algebra, ila nilipoamua kufanya HGL A-Level, somo la hesabu nilipata C, sambamba na Chemistry, Physics, na Biology, zote nilipiga C!, lakini naomba kukiri, mimi sio mzuri kwenye takwimu.

Huko nyuma, tuliwahi kupishana na Mkuu Maalim Mohamed Said kwenye takwimu zake za idadi ya Wabunge Wakristo na Waislamu, yeye alisema mimi nikasema ni urongo!. Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.

Ubishi huo ulianzia huku Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Baada ya kumpinga with data estimates, ile video ya urongo, iliondolewe kule YouTube!.

Sasa angalia takwimu hizi za matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mujibu wa Mkuu Maalim Mohamed Said
Kwenye takwimu hizi nauliza jee ni kweli Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71% ni Waislamu na dini nyingine zote ni asilimia 29%?. Hizi data za asilimia za idadi ya watu wa dini fulani, zinapatikaje?, naomba mtu asiibuke na kuniambia wametumia majina!.

Katika hiyo asilimia 71 % ya Waislamu waliofanya mtihani huo wa darasa la 7, waliofaulu kwenda sekondari ni asilimia 21% tuu, hii maana yake kati ya Waislamu waliofanya mtihani wa darasa la 7, waliopasi kwenda sekondari ni asilimia 21% ya wale asilimia 71% Waislamu, na kati ya wale Wakristu asilimia 29% waliopasi kuingia sekondari ni asilimia 79%. Hii ni kweli?!.

Kama hizi data za Maalim Mohamed Said ni data za kweli, then kuna shida mahali!, kuna tatizo!, linalohitaji critical analysis kulibaini na kulitatua!.

Niliwahi kuuliza humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

Pia nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Nikauliza tena Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Na nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Nashauri tufanye utafiti wa Idadi ya Waislamu na Wakristu kwenye maeneo yafuatayo

1. Kiwango cha umasikini kati ya Wakristo na Waislamu
2. Idadi ya wafanyabiashara
3. Idadi ya matajiri
4. Ufaulu wa darasa la saba
5. Ufaulu wa kidato cha 4
6. Udahili elimu ya juu
7. Asilimia kwenye astashahada
8. Stashahada
9. Shahada
10. Shahada za uzamili
11. Shahada za uzamivu
12. Idadi wafungwa, mahabusu na uhalifu.
13. Idadi ya jobless
14. Idadi ya wale dada zetu wanaofanya ile biashara ya usiku ya kuuza naniliu
15. Idadi ya wife materials na husbands material
16. Idadi ya kuoa na kuolewa
17. Utulivu kwenye ndoa
18. Broken homes
19. Single mothers
20. Wanaume wanaotekeza watoto.

Matokeo ya tafiti hizi, japo yata surprise wengi, lakini hizo data zitatusaidia kubaini kuwa tuna tatizo, hivyo tuanze kuchukua hatua kulitatua, vinginevyo, wachochezi wa udini, watakuwa wanaendelea kutulisha matango pori kuwa kuna dini wanapendelewa na kuna dini wanabaguliwa, kumbe the actual fact ni kuna wenzetu wanashida, wana matatizo, wanahitaji msaada na tuwasaidie, tusaidiane!.

Paskali

♦️Elimu ni kusoma na kuelewa na sio kukariri

♦️Kama uliwahi kusoma na wale wa kukariri huishia kuangukia pua

♦️ Kuna baadhi ya dini huandaa watoto wakiwa wadogo kwa elimu ya mfumo wa kukariri (wao huita kuhifadhi ila ni kukariri kwa Kuimba na viboko)

🔹Mtihani unapokuja kwa kuchengwa kidogo tuu, mtoto anashindwa kuelewa swali na kujibu off point
 
Wakoloni walishafanya utafiti wa IQ ya makabila yote nchi nzima ya Tanganyika kabla ya uhuru. Walikuwa wakitafuta watu wa kufanya nao kazi. Ninachofahamu, Morogoro ilipata the lowest score, na huko ndiko anatoka Chief Mangungo wa Msowero, mengine utajazia kulingana na mada, though najua huko, jamii ile ina waumini wa dini ile kwa wingi, na wana ukaribu mkubwa na mikoa ya Pwani na Dsm ambako dini ile pia imetamalaki.

Chuo kikuu cha kwanza kiko Dsm, lakini huwezi kukuta wasomi wengi wakubwa kutoka mikoa ya Pwani.

Na pia ukichunguza, jamii zinazolima ndizi, kahawa, zina uwezo mkubwa sana darasani. Sijajua connection ya ndizi na uwezo wa kiakili. Lakini pia mazao hayo yalifanya wasiende mbaaali sana kulima, kwa kuwa chakula kilizunguka nyumba, tifauti na wasukuma na wasinginda, Tabora, wao ni kupanda na kung'oa kila mwaka. Mtu wa ndizi na kahawa akipanda amemaliza. Mtoto anapata muda mwingi wa kusoma.

Kanda ya ziwa ni kuzurura na mifugo kilometa kumi, unaamka saa 12, unarudi saa 2 usiku, unasomaje? Though kwa sasa haki imebadilika.

Na pia Ukerewe, inasemekana wale samaki ndio walifanya ukerewe ikawa na idadi kubwa aana ya wasomi kwa eneo moja. Kisiwa hicho hakikufaidika na wasomi kwa sababu ya imani za kishirikina na kuwekeana sumu ya mamba. Ukienda huko wazee wakakuona unataka kusonga mbele, fasta, wanaua.

Wakati Msekwa akiwa Spika, alifiwa na mzazi wake, convoy nzima ya dola ikafunga safari kwenda mazishini, wanafika Mwanza, Msekwa anawaambia hapa inatosha, ukerewe ntaenda mwenyewe, baada ya Ben kuchimba, akaambiwa huyu mzee hajajenga kwao, kuna mbavu za mbwa, ikatolewa amri nyumba ya NBC ukerewe ikarabatiwe fasta, na ndio ikawa nyumbani kwake mpaka leo, na mazishi yakafanyika.
 
naam sasa mmeanza kuelewa kwamba falsafa ya dini ndiyo inayoleta maendeleo na utu wa binadamu, mfumo unaotawala Dunia leo hii ni western christianity hivyo yoyote ambaye hafwati christianity ( western) way of life hawezi kuendelea.

na ndio maana nchi zinafwata uislamu afrika ni shida tupu kuanzia somalia, chad, maurtania na kwingineko pakistani, irani au hata yemeni.

hata tanzagiza, jiulize kwa nini awamu ya 4 na sada hivi wanazima umeme? tumeishi for 5 years bila ya shida ya umeme, tanesco ile ile inayozima umeme leo hii ndiyo iliyowasha umeme bila ya shida 2015/20, swali ni kwamba kwa nini?

tusuiogope maswali magumu tujiulize ili tuweze kusonga mbele labda tutapata suluhisho lkn ukweli ni kwamba uislamu at least wa tanzagiza haufundishi partriotism na hard work ushahidi upo kila mahali hapa tanzagiza kuanzia perfomance za watoto shuleni mpaka maofisini, angalia akina kunde walivyoifanya tanesco yetu walikuuta vizuri leo kila kitu destroyed …
Soma na uelewe Zionism na ajenda zao na mambo ya social and economic hitmans tunaendeshwa na kikundi cha watu wachache duniani wanatumia media hollywood na mengine kutengeneza propaganda kututenganisha kwa dini
 
Kuna mwanasaikolojia mmoja aliwahi kusema kuwa Mtoto akianza kusoma yale maandishi yanayoanzia kulia kwenda kushoto anapungukiwa na Akili ingawa sina uhakika Sana
Kama Hebrew au?
Acheni udini, issue ya I.Q ni 100% cultural issue
sio ya rangi wala dini. Unajua historia ya Algebra? muhasisi wa "Scientific methods"?
Wote wasomi wa kiarabu
Google "Islamic Golden Age"
 
Wanabodi,

Kuna msemo wa kizungu usemao, "numbers don't lie" yaani numbers, haziongopi!.

Japo mimi nilipokuwa primary School nilikuwa mzuri wa hesabu, sekondari nikakutana na Additional mathematics, nilikuwa mzuri wa algebra, ila nilipoamua kufanya HGL A-Level, somo la hesabu nilipata C, sambamba na Chemistry, Physics, na Biology, zote nilipiga C!, lakini naomba kukiri, mimi sio mzuri kwenye takwimu.

Huko nyuma, tuliwahi kupishana na Mkuu Maalim Mohamed Said kwenye takwimu zake za idadi ya Wabunge Wakristo na Waislamu, yeye alisema mimi nikasema ni urongo!. Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.

Ubishi huo ulianzia huku Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Baada ya kumpinga with data estimates, ile video ya urongo, iliondolewe kule YouTube!.

Sasa angalia takwimu hizi za matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mujibu wa Mkuu Maalim Mohamed Said
Kwenye takwimu hizi nauliza jee ni kweli Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71% ni Waislamu na dini nyingine zote ni asilimia 29%?. Hizi data za asilimia za idadi ya watu wa dini fulani, zinapatikaje?, naomba mtu asiibuke na kuniambia wametumia majina!.

Katika hiyo asilimia 71 % ya Waislamu waliofanya mtihani huo wa darasa la 7, waliofaulu kwenda sekondari ni asilimia 21% tuu, hii maana yake kati ya Waislamu waliofanya mtihani wa darasa la 7, waliopasi kwenda sekondari ni asilimia 21% ya wale asilimia 71% Waislamu, na kati ya wale Wakristu asilimia 29% waliopasi kuingia sekondari ni asilimia 79%. Hii ni kweli?!.

Kama hizi data za Maalim Mohamed Said ni data za kweli, then kuna shida mahali!, kuna tatizo!, linalohitaji critical analysis kulibaini na kulitatua!.

Niliwahi kuuliza humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

Pia nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Nikauliza tena Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Na nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Nashauri tufanye utafiti wa Idadi ya Waislamu na Wakristu kwenye maeneo yafuatayo

1. Kiwango cha umasikini kati ya Wakristo na Waislamu
2. Idadi ya wafanyabiashara
3. Idadi ya matajiri
4. Ufaulu wa darasa la saba
5. Ufaulu wa kidato cha 4
6. Udahili elimu ya juu
7. Asilimia kwenye astashahada
8. Stashahada
9. Shahada
10. Shahada za uzamili
11. Shahada za uzamivu
12. Idadi wafungwa, mahabusu na uhalifu.
13. Idadi ya jobless
14. Idadi ya wale dada zetu wanaofanya ile biashara ya usiku ya kuuza naniliu
15. Idadi ya wife materials na husbands material
16. Idadi ya kuoa na kuolewa
17. Utulivu kwenye ndoa
18. Broken homes
19. Single mothers
20. Wanaume wanaotekeza watoto.

Matokeo ya tafiti hizi, japo yata surprise wengi, lakini hizo data zitatusaidia kubaini kuwa tuna tatizo, hivyo tuanze kuchukua hatua kulitatua, vinginevyo, wachochezi wa udini, watakuwa wanaendelea kutulisha matango pori kuwa kuna dini wanapendelewa na kuna dini wanabaguliwa, kumbe the actual fact ni kuna wenzetu wanashida, wana matatizo, wanahitaji msaada na tuwasaidie, tusaidiane!.

Paskali
Ni suala la civilizations tofauti aka ustaarabu tofauti. Siyo kwamba waumini wa dini moja wana akili zaidi ya waumini wa dini nyingine. Kama waumini wa dini fulani hawathamini elimu ya kisasa ya darasani haimaanishi kuwa hawana akili au wana IQ ndogo.
 
Nafikiri aliyeeleza kuhusu utamaduni jinsi unavyoathiri IQ ya mtu ndio yupo Sahihi kabisa.

Kama dini inachangia mila na desturi kwa kulijua uwezo na ubunifu wa akili ni rahisi Watu wa dini fulani kuonekana hawana IQ kubwa kuliko watu wa dini nyingine.

Intelligence quotient (IQ) ikiwa juu Emotional intelligence (EI) inakuwa Chini.
Kikawaida Watu wanaoendeshwa na mihemko IQ zao zipo chini
Kwa sababu akili na hisia haziwezi kufanya kazi kwa wakati mmoja. Na mtu anayeongozwa na hisia basi akili yake inakuwa ipo chini.

Fikiria mtu anaua mtu mwingine kisa Dini au imani yake. Kumbuka imani ni moja ya mambo yanayojenga Hisia.

Mtu mwenye IQ kubwa hawezi kuua mtu mwingine kisa Dini
 
Soma na uelewe Zionism na ajenda zao na mambo ya social and economic hitmans tunaendeshwa na kikundi cha watu wachache duniani wanatumia media hollywood na mengine kutengeneza propaganda kututenganisha kwa dini

kuna ukweli ya ulichokisema na ninaelewa kuhusu zionism na kwanza zianism inaona christianity ni threat kwa sababu christianity uplifts mankind out of poverty na ndiyo maana wana destroy au wanjaribu kudestroy christianity, zionism iki defeat christianity then dunia nzima tutakuwa watumwa …
 
Hapo ndipo mataifa ya kiafrika yanapokosa simuluzi zinazounganisha taifa.

Yaani umoja haupo kila kakikundi kiwe cha kiimani, kikabila na kikanda wana simulizi zao za umoja katika uchache wao.

Lini nchi itakuwa na simulizi ya kitaifa kama USA, RUSSIA, CHINA, JAPAN n.k kadhalika.

Moja ya stori ya umoja ingeletwa na makabrasha yanayoelezea Tanzania yenye makabila mengi, imani tofauti pia jamii zikiwemo za kisomali, kihindi, kijerumani, kigiriki ziliungana chini ya jemedari mkuu mwalimu Nyerere kwenda kumpiga, kumfukuza na kumtupa mvamizi nduli nyoka Iddi Amin Dada nje ya mipaka yetu .....

Tatizo stori hizi za ushujaa wa jamii yetu tunazifanya ni siri kubwa na maveterani kama jenerali David Musuguri, makamanda na maofisa, wapiganaji na mgambo wapo lakini hatuoni kuwa vita ya Kagera ni moja ya simulizi ya umoja wetu katika mchanganyiko wetu kama taifa.

Nchi kama USA ama Russia simulizi hizi za umoja kupitia kumshinda adui mvamizi hutumika ktk mitaala ya shule, tamthilia, movie, mahojiano katika media House n.k kuonesha jambo lililofanyika kwa umoja mfano vita dhidi ya mvamizi Hitler, Napoleon n.k

A national narrative rationalizes and is supported by the nation's identity

Waandishi nguli, wanahistoria, wakutubi, wataalamu wa makumbusho na mali kale, watayarishaji movie, chuo cha ulinzi wa Taifa NDC, wizara ya utamaduni, elimu n.k wanaweza kabisa kuandaa dokumentari ndefu ikiwa na star Jenerali David Musuguri lakini imelenga kubeba ujumbe kama jamii yote moja iliweza kipindi fulani kushinda mvamizi kutoka nje

View: https://m.youtube.com/watch?v=BveT5bVV9p4
 
Kama Hebrew au?
Acheni udini, issue ya I.Q ni 100% cultural issue
sio ya rangi wala dini. Unajua historia ya Algebra? muhasisi wa "Scientific methods"?
Wote wasomi wa kiarabu
Google "Islamic Golden Age"
Baghdad ikiwa ni kitovu cha elimu miaka hiyo
 
Back
Top Bottom