Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Umepanik sana broo kasome Quran 73:50 ndo utajua umbumbu wa Allah wenu
Mwamposa daliy anawalambisha sakafu kuwatoa mashetani mnayatoa wapi??na zile lugha anazozisema zisizoelewela zile ni lugha Gani zile?mmeshawahi kumuuliza Huwa anaongea kitu Gani pale??

Teh teh teh, makafiri mnapigwa sana
 
Mi mwnyw nawashangaa makristu na maislam mnazinyenyekea dini za weupe badala ya kubak kwenye din zenu za asili mwisho mnaishia kuwa mashoga
Unamshangaa nani,jishangae wewe.mwenyewe...

Mimi dini yangu haiwezi kunipa amri ya kuwa.choko,au kunipa amri ya kuabudu kiumbe chochote nisichokijua,pambana na Hali yako...na Bado mtanyooka tuh hadi akili ziwakae sawa
 
Wanabodi,

Kuna msemo wa kizungu usemao, "numbers don't lie" yaani numbers, haziongopi!.

Japo mimi nilipokuwa primary School nilikuwa mzuri wa hesabu, sekondari nikakutana na Additional mathematics, nilikuwa mzuri wa algebra, ila nilipoamua kufanya HGL A-Level, somo la hesabu nilipata C, sambamba na Chemistry, Physics, na Biology, zote nilipiga C!, lakini naomba kukiri, japo mimi sio mzuri kivile kwenye takwimu, lakini mtu akileta mada na kuivisha data za kimaghumashi, nina uwezo wa kubaini!.

Huko nyuma, tuliwahi kupishana na Mkuu Maalim Mohamed Said kwenye takwimu zake za idadi ya Wabunge Wakristo na Waislamu, ndani ya Bunge la JMT. Yeye alisema idadi ya wabunge Waislamu ni asilimia 6%, hii maana yake wabunge Wakristo ni asilimia 94%!, nilimbishia nikasema ni urongo!. Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.

Ubishi huo ulianzia huku Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Baada ya kumpinga with data estimates only kwa kutumia sampling ya wabunge wa Zanzibar tuu ndani ya Bunge la JMT ambao wote ni Waislamu, idadi hiyo ni over and above hiyo 6%! ile video ya urongo, iliondolewe kule YouTube!.

Sasa angalia takwimu hizi za matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mujibu wa Mkuu Maalim Mohamed Said
Kwenye takwimu hizi

Mkuu Maalim Mohamed Said ametoa hoja ya msingi sana na ameuliza
1. ama Waislamu wajinga
2. ama akili yao haifanyi kazi,
3. ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu,
4. ama kuna kitu.
5. Kisha akamuomba Waziri anayehusika, ajitokeze na aseme kwa hali ilivyo kama Waislamu wameumbwa wajinga.''
6. Mwisho ndipo kwenye hoja za bandiko hili, Maalim Mohamed Said amesema "huwa tunazungumza na wengi ndani ya serikali ambao wanajua kuwa hili ni tatizo ambalo ni muhali mkubwa kwa serikali kukiri kuwa ndani ya serikali kumekuwa na dhulma hizi"
Conclusion yake ni kuwa matokeo hayo kwa Waislamu ni wanafanyiwa dhulma, serikali wanajua kuhusu dhulma hiyo ila ni muhali kwa serikali kukiri kuhusu Waislamu kufanyiwa dhulma, hapa kwenye dhulma mimi ndipo nataka tuanze napo!.

Hatua ya kwanza ni authentication ya hizi data, kanuni ya kutoa data zozote ni lazima utaje source!, nauliza jee hizi data ni kweli Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71% ni Waislamu na dini nyingine zote ni asilimia 29%?.

Hizi data za asilimia za idadi ya watu wa dini fulani, zinapatikaje?, naomba mtu asiibuke na kuniambia wametumia majina!.

Katika hiyo asilimia 71 % ya Waislamu waliofanya mtihani huo wa darasa la 7, waliofaulu kwenda sekondari ni asilimia 21% tuu, hii maana yake kati ya Waislamu waliofanya mtihani wa darasa la 7, waliopasi kwenda sekondari ni asilimia 21% ya wale asilimia 71% Waislamu, na kati ya wale Wakristu asilimia 29% waliopasi kuingia sekondari ni asilimia 79%. Hii ni kweli?!.

Kama hizi data za Maalim Mohamed Said ni data za kweli, then kuna shida mahali!, kuna tatizo!, linalohitaji critical analysis kulibaini na kulitafutia ufumbuzi wa kudumu kulitatua tatizo hilo!. Watanzania ni watu wamoja, haiwezekani tujione wamoja kumbe kuna wenzetu wanafanyiwa dhulma kubwa ya kihivi!.

Niliwahi kuuliza humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

Pia nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Nikauliza tena Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Na nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Nashauri tufanye utafiti wa Idadi ya Waislamu na Wakristu kwenye maeneo yafuatayo

1. Kiwango cha umasikini kati ya Wakristo na Waislamu
2. Idadi ya wafanyabiashara
3. Idadi ya matajiri
4. Ufaulu wa darasa la saba
5. Ufaulu wa kidato cha 4
6. Udahili elimu ya juu
7. Asilimia kwenye astashahada
8. Stashahada
9. Shahada
10. Shahada za uzamili
11. Shahada za uzamivu
12. Idadi wafungwa, mahabusu na uhalifu.
13. Idadi ya jobless
14. Idadi ya wale dada zetu wanaofanya ile biashara ya usiku ya kuuza naniliu
15. Idadi ya wife materials na husbands material
16. Idadi ya kuoa na kuolewa
17. Utulivu kwenye ndoa
18. Broken homes
19. Single mothers
20. Wanaume wanaotekeza watoto.

Matokeo ya tafiti hizi, japo yata surprise wengi, lakini hizo data zitatusaidia kubaini kuwa tuna tatizo, hivyo tuanze kuchukua hatua kulitatua, vinginevyo, wachochezi wa udini, watakuwa wanaendelea kutulisha matango pori kuwa kuna dini wanapendelewa na kuna dini wanabaguliwa, kumbe the actual fact ni kuna wenzetu wanashida, wana matatizo, wanahitaji msaada na tuwasaidie, tusaidiane!.

Paskali
Nyinyi mnaoongoza kwenye ufaulu mmefanya jambo gani la maana ikiwa hata kijiko tunaagiza china?

ni mtu mpumbavu pekee anayeweza kujisifu Kwa aina hii ya elimu ambayo asilimia kubwa ni useless theories tu
 
Ni kweli kabisa nasadiki kwani Yale maandishi yanatumiwa na majini kuwasiliana kwa mujibu wa Quran 43:38
Na hayo.majini ambayo mwamposa anawatoa huko kanisani ameyatoa wapi??

Maana kila siku mna ibada rasmi ya kutolewa mapepo,mnayatoa kwenye qur an pia makafiri?
 
Mna chuki sana na uislamu na hamjui mnataka nini Kwa waislamu

Nyinyi ndio mnalalamika mara UDOM Kuna udini (uislamu) sana

Mara Bakhresa mbaguzi anaajiri waislamu tu (mbaguzi)

Kwenye system za serikali wakichaguliwa waislamu mnapiga kelele

Mara waislamu hawafaulu

Sasa hao wachache waliokuwepo kwenye hizo system hamutaki kuwaona, unataka wafaulu wengi ili muje kulalamika tena waislamu wanapendelewa?? Wanaajiriwa sana??
 
Nyinyi mnaoongoza kwenye ufaulu mmefanya jambo gani la maana ikiwa hata kijiko tunaagiza china?

ni mtu mpumbavu pekee anayeweza kujisifu Kwa aina hii ya elimu ambayo asilimia kubwa ni useless theories tu
Elimu ambayo wenzetu wanajisifu nayo ni kuiba, mwisho wa siku mshahara uingie wakanywe Pombe na kitimoto,kuhonga nyingine wanaenda kutoa sadaka makanisani kuungama dhambi Zao, hovyo kabisa hawa
 
IMG_4992.jpg

IMG_4993.jpg

Alisikika waziri mmoja huko india akisema!!

Hawa watu serikali yote wameshika wao, ajira zote wao siasa wao utajiri wa nchi ni wao lakini bado wanalalamika.

Leo hii mtu analalamika hadi kwene elimu na ilihali kule watu wanaandika no cyo majina.

Uislam ni janga la dunia
 
Na hayo.majini ambayo mwamposa anawatoa huko kanisani ameyatoa wapi??

Maana kila siku mna ibada rasmi ya kutolewa mapepo,mnayatoa kwenye qur an pia makafiri?
Bob mi sio wa Kansan Wala wa mskitin mi ni wa matambiko na mizim so nawashangaa nyie mojitu mius tiii mnalialia na dini za wazungu na waarabu ndo mana mnaletewa ushoga na huyo papa na Muhammad wenu. Rudin kwenye asili yenu africa
 
Socialism has nothing to do with karl marx
Hii statement imeonyesha jinsi gani una-upeo mdogo sana
Ugeruman mashariki ilikua inchi ya kisocialism, hata spain serekali iliyopo ni ya kisocialism

Hata china socialism ipo tu kwenye siasa laki sio kwenye uchumi sababu kuna mabillionnaire

Mifumo yote ya kiutawala imetoka western upende au usipende kijana wa madrasa
Umetembea nauhakika..
 
Wanabodi,

Kuna msemo wa kizungu usemao, "numbers don't lie" yaani numbers, haziongopi!.

Japo mimi nilipokuwa primary School nilikuwa mzuri wa hesabu, sekondari nikakutana na Additional mathematics, nilikuwa mzuri wa algebra, ila nilipoamua kufanya HGL A-Level, somo la hesabu nilipata C, sambamba na Chemistry, Physics, na Biology, zote nilipiga C!, lakini naomba kukiri, japo mimi sio mzuri kivile kwenye takwimu, lakini mtu akileta mada na kuivisha data za kimaghumashi, nina uwezo wa kubaini!.

Huko nyuma, tuliwahi kupishana na Mkuu Maalim Mohamed Said kwenye takwimu zake za idadi ya Wabunge Wakristo na Waislamu, ndani ya Bunge la JMT. Yeye alisema idadi ya wabunge Waislamu ni asilimia 6%, hii maana yake wabunge Wakristo ni asilimia 94%!, nilimbishia nikasema ni urongo!. Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.

Ubishi huo ulianzia huku Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Baada ya kumpinga with data estimates only kwa kutumia sampling ya wabunge wa Zanzibar tuu ndani ya Bunge la JMT ambao wote ni Waislamu, idadi hiyo ni over and above hiyo 6%! ile video ya urongo, iliondolewe kule YouTube!.

Sasa angalia takwimu hizi za matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mujibu wa Mkuu Maalim Mohamed Said
Kwenye takwimu hizi

Mkuu Maalim Mohamed Said ametoa hoja ya msingi sana na ameuliza
1. ama Waislamu wajinga
2. ama akili yao haifanyi kazi,
3. ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu,
4. ama kuna kitu.
5. Kisha akamuomba Waziri anayehusika, ajitokeze na aseme kwa hali ilivyo kama Waislamu wameumbwa wajinga.''
6. Mwisho ndipo kwenye hoja za bandiko hili, Maalim Mohamed Said amesema "huwa tunazungumza na wengi ndani ya serikali ambao wanajua kuwa hili ni tatizo ambalo ni muhali mkubwa kwa serikali kukiri kuwa ndani ya serikali kumekuwa na dhulma hizi"
Conclusion yake ni kuwa matokeo hayo kwa Waislamu ni wanafanyiwa dhulma, serikali wanajua kuhusu dhulma hiyo ila ni muhali kwa serikali kukiri kuhusu Waislamu kufanyiwa dhulma, hapa kwenye dhulma mimi ndipo nataka tuanze napo!.

Hatua ya kwanza ni authentication ya hizi data, kanuni ya kutoa data zozote ni lazima utaje source!, nauliza jee hizi data ni kweli Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71% ni Waislamu na dini nyingine zote ni asilimia 29%?.

Hizi data za asilimia za idadi ya watu wa dini fulani, zinapatikaje?, naomba mtu asiibuke na kuniambia wametumia majina!.

Katika hiyo asilimia 71 % ya Waislamu waliofanya mtihani huo wa darasa la 7, waliofaulu kwenda sekondari ni asilimia 21% tuu, hii maana yake kati ya Waislamu waliofanya mtihani wa darasa la 7, waliopasi kwenda sekondari ni asilimia 21% ya wale asilimia 71% Waislamu, na kati ya wale Wakristu asilimia 29% waliopasi kuingia sekondari ni asilimia 79%. Hii ni kweli?!.

Kama hizi data za Maalim Mohamed Said ni data za kweli, then kuna shida mahali!, kuna tatizo!, linalohitaji critical analysis kulibaini na kulitafutia ufumbuzi wa kudumu kulitatua tatizo hilo!. Watanzania ni watu wamoja, haiwezekani tujione wamoja kumbe kuna wenzetu wanafanyiwa dhulma kubwa ya kihivi!.

Niliwahi kuuliza humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

Pia nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Nikauliza tena Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Na nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Nashauri tufanye utafiti wa Idadi ya Waislamu na Wakristu kwenye maeneo yafuatayo

1. Kiwango cha umasikini kati ya Wakristo na Waislamu
2. Idadi ya wafanyabiashara
3. Idadi ya matajiri
4. Ufaulu wa darasa la saba
5. Ufaulu wa kidato cha 4
6. Udahili elimu ya juu
7. Asilimia kwenye astashahada
8. Stashahada
9. Shahada
10. Shahada za uzamili
11. Shahada za uzamivu
12. Idadi wafungwa, mahabusu na uhalifu.
13. Idadi ya jobless
14. Idadi ya wale dada zetu wanaofanya ile biashara ya usiku ya kuuza naniliu
15. Idadi ya wife materials na husbands material
16. Idadi ya kuoa na kuolewa
17. Utulivu kwenye ndoa
18. Broken homes
19. Single mothers
20. Wanaume wanaotekeza watoto.

Matokeo ya tafiti hizi, japo yata surprise wengi, lakini hizo data zitatusaidia kubaini kuwa tuna tatizo, hivyo tuanze kuchukua hatua kulitatua, vinginevyo, wachochezi wa udini, watakuwa wanaendelea kutulisha matango pori kuwa kuna dini wanapendelewa na kuna dini wanabaguliwa, kumbe the actual fact ni kuna wenzetu wanashida, wana matatizo, wanahitaji msaada na tuwasaidie, tusaidiane!.

Paskali
Ndugu huoni kama kuabudu sanamu la yule muigizaji na kumvaa shingoni ni tatizo (ujuha ) usio na kifani?

Huoni kwamba wewe kubarikiwa kufukuriwa tope ndio tatizo zaidi??
 
Mna chuki sana na uislamu na hamjui mnataka nini Kwa waislamu

Nyinyi ndio mnalalamika mara UDOM Kuna udini (uislamu) sana

Mara Bakhresa mbaguzi anaajiri waislamu tu (mbaguzi)

Kwenye system za serikali wakichaguliwa waislamu mnapiga kelele

Mara waislamu hawafaulu

Sasa hao wachache waliokuwepo kwenye hizo system hamutaki kuwaona, unataka wafaulu wengi ili muje kulalamika tena waislamu wanapendelewa?? Wanaajiriwa sana??
Mna chuki sana na uislamu na hamjui mnataka nini Kwa waislamu

Nyinyi ndio mnalalamika mara UDOM Kuna udini (uislamu) sana

Mara Bakhresa mbaguzi anaajiri waislamu tu (mbaguzi)

Kwenye system za serikali wakichaguliwa waislamu mnapiga kelele

Mara waislamu hawafaulu

Sasa hao wachache waliokuwepo kwenye hizo system hamutaki kuwaona, unataka wafaulu wengi ili muje kulalamika tena waislamu wanapendelewa?? Wanaajiriwa sana??

Makafiri wanashangaza sana..

Hodari sana kukashifu waislam,mara waislam hatuna shule,sawa tumekubali...wao wenye shule Taifa wamelisaidia Nini??

Hao hao.ambao wanasema hawana shule,wakienda shule wakaonekana wakateuliwa oooh udini udiniii...

Sasa huyo bakhresa wanaposema anapendelea waislam kaajir makafiri kibao tuh,na hata akiamua kuajir waislam au hata WASIO na dini ile ni bishara yake unawezaje mpangia??

Makafiri chuki ni asili Yao mbuzi Hawa
 
Wanabodi,

Kuna msemo wa kizungu usemao, "numbers don't lie" yaani numbers, haziongopi!.

Japo mimi nilipokuwa primary School nilikuwa mzuri wa hesabu, sekondari nikakutana na Additional mathematics, nilikuwa mzuri wa algebra, ila nilipoamua kufanya HGL A-Level, somo la hesabu nilipata C, sambamba na Chemistry, Physics, na Biology, zote nilipiga C!, lakini naomba kukiri, japo mimi sio mzuri kivile kwenye takwimu, lakini mtu akileta mada na kuivisha data za kimaghumashi, nina uwezo wa kubaini!.

Huko nyuma, tuliwahi kupishana na Mkuu Maalim Mohamed Said kwenye takwimu zake za idadi ya Wabunge Wakristo na Waislamu, ndani ya Bunge la JMT. Yeye alisema idadi ya wabunge Waislamu ni asilimia 6%, hii maana yake wabunge Wakristo ni asilimia 94%!, nilimbishia nikasema ni urongo!. Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.

Ubishi huo ulianzia huku Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Baada ya kumpinga with data estimates only kwa kutumia sampling ya wabunge wa Zanzibar tuu ndani ya Bunge la JMT ambao wote ni Waislamu, idadi hiyo ni over and above hiyo 6%! ile video ya urongo, iliondolewe kule YouTube!.

Sasa angalia takwimu hizi za matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mujibu wa Mkuu Maalim Mohamed Said
Kwenye takwimu hizi

Mkuu Maalim Mohamed Said ametoa hoja ya msingi sana na ameuliza
1. ama Waislamu wajinga
2. ama akili yao haifanyi kazi,
3. ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu,
4. ama kuna kitu.
5. Kisha akamuomba Waziri anayehusika, ajitokeze na aseme kwa hali ilivyo kama Waislamu wameumbwa wajinga.''
6. Mwisho ndipo kwenye hoja za bandiko hili, Maalim Mohamed Said amesema "huwa tunazungumza na wengi ndani ya serikali ambao wanajua kuwa hili ni tatizo ambalo ni muhali mkubwa kwa serikali kukiri kuwa ndani ya serikali kumekuwa na dhulma hizi"
Conclusion yake ni kuwa matokeo hayo kwa Waislamu ni wanafanyiwa dhulma, serikali wanajua kuhusu dhulma hiyo ila ni muhali kwa serikali kukiri kuhusu Waislamu kufanyiwa dhulma, hapa kwenye dhulma mimi ndipo nataka tuanze napo!.

Hatua ya kwanza ni authentication ya hizi data, kanuni ya kutoa data zozote ni lazima utaje source!, nauliza jee hizi data ni kweli Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71% ni Waislamu na dini nyingine zote ni asilimia 29%?.

Hizi data za asilimia za idadi ya watu wa dini fulani, zinapatikaje?, naomba mtu asiibuke na kuniambia wametumia majina!.

Katika hiyo asilimia 71 % ya Waislamu waliofanya mtihani huo wa darasa la 7, waliofaulu kwenda sekondari ni asilimia 21% tuu, hii maana yake kati ya Waislamu waliofanya mtihani wa darasa la 7, waliopasi kwenda sekondari ni asilimia 21% ya wale asilimia 71% Waislamu, na kati ya wale Wakristu asilimia 29% waliopasi kuingia sekondari ni asilimia 79%. Hii ni kweli?!.

Kama hizi data za Maalim Mohamed Said ni data za kweli, then kuna shida mahali!, kuna tatizo!, linalohitaji critical analysis kulibaini na kulitafutia ufumbuzi wa kudumu kulitatua tatizo hilo!. Watanzania ni watu wamoja, haiwezekani tujione wamoja kumbe kuna wenzetu wanafanyiwa dhulma kubwa ya kihivi!.

Niliwahi kuuliza humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

Pia nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Nikauliza tena Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Na nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Nashauri tufanye utafiti wa Idadi ya Waislamu na Wakristu kwenye maeneo yafuatayo

1. Kiwango cha umasikini kati ya Wakristo na Waislamu
2. Idadi ya wafanyabiashara
3. Idadi ya matajiri
4. Ufaulu wa darasa la saba
5. Ufaulu wa kidato cha 4
6. Udahili elimu ya juu
7. Asilimia kwenye astashahada
8. Stashahada
9. Shahada
10. Shahada za uzamili
11. Shahada za uzamivu
12. Idadi wafungwa, mahabusu na uhalifu.
13. Idadi ya jobless
14. Idadi ya wale dada zetu wanaofanya ile biashara ya usiku ya kuuza naniliu
15. Idadi ya wife materials na husbands material
16. Idadi ya kuoa na kuolewa
17. Utulivu kwenye ndoa
18. Broken homes
19. Single mothers
20. Wanaume wanaotekeza watoto.

Matokeo ya tafiti hizi, japo yata surprise wengi, lakini hizo data zitatusaidia kubaini kuwa tuna tatizo, hivyo tuanze kuchukua hatua kulitatua, vinginevyo, wachochezi wa udini, watakuwa wanaendelea kutulisha matango pori kuwa kuna dini wanapendelewa na kuna dini wanabaguliwa, kumbe the actual fact ni kuna wenzetu wanashida, wana matatizo, wanahitaji msaada na tuwasaidie, tusaidiane!.

Paskali

P,

Tatizo ni fursa na mazingira ya kusoma.

Mwaka jana nilifanikiwa kwenda kutembelea shule yangu ya O-level Ilboru Arusha. Nilienda jumamosi wanafunzi wakaniambia kuanzia saa 9. Mchana mpaka saa 12 jioni ni lazima waende prep kusoma kwa masaa matatu narudia ni lazima. Sasa nikarudi Dar nikaenda kumsalimia ndugu yangu wiki mmoja baada ya hapo nikamkuta binti yake anapika na kufanya usafi nyimbani badala ya kusoma. Nilagundua watoto wa Ilboru pamoja na vipaji wanatumia masaa mengi kusoma kuliko wenzao. Kuna mabweni, maji ya chem chem , chakula n.k hakuna cha kupanda mabasi …. Kila wiki kuanzia saa mmoja mpaka saa tatu usiku ni lazima waende kusoma. Lakini wakishidwa naswali kuna makundi ya kusoma tofauti na nyumbani. Hakuna mambo mengi ya kuchanganya watoto. Hii ndiyo advantage kubwa. Hasa watoto wa kike nyumbani sio sehemu nzuri ya shule kuna utamaduni wa kuwafanyisha kazi watoto wa kike. Sasa utamaduni kama wa Zanzibar na utamaduni dume ni mbaya sana kwa wasichana hasa kwenye masomo wangeweka boarding school na watoto wa kike wasijione kama elimu sio muhimu
 
Unaongea pumba tupu. Miaka zaid ya 60 ya uhuru mnadanganyana ovyo huko misktn kwenu na maliwato badala ya kuwasisitiza watoto wasome elim Dunia awakwamue kimaisha nyie mnazd kuwasisitiza kusoma mielimu ya waarabu yenye ushetwan na uzezeta matokeo yake mfumo unawakataa.
Unaongea upuuzi sana

Elimu gani ya kukukwamua na maisha?

Elimu hii ambayo Kila siku watu wanalia ajira??
 
Makafiri wanashangaza sana..

Hodari sana kukashifu waislam,mara waislam hatuna shule,sawa tumekubali...wao wenye shule Taifa wamelisaidia Nini??

Hao hao.ambao wanasema hawana shule,wakienda shule wakaonekana wakateuliwa oooh udini udiniii...

Sasa huyo bakhresa wanaposema anaendelea waislam kaajir makafiri kibao tuh,na hata aliamua kuajir waislam au hata WASIO na dini ile ni bishara yake unawezaje mpangia??

Makafiri chuki ni asili Yao mbuzi Hawa
Shida kubwa ni chuki

Waislamu wakifanikiwa wataongea wakikwama wataongea

Ndio maana hata sakata la DP world waliongea sana Hali ya kuwa Kuna mikataba mingi mibovu wamekaa kimya ikiwemo mikataba wao wa kinyonyaji wa mahospitali
 
Paskali tunataka ulete mada nyingi kama hizi ili tupate platforms ya kuwaanika makafiri wenzako na kuwaacha uchi kabisa,tunakusihi kila siku lete mada kama hizi na usiache kukutagi kabisa... makafiri mna mengi ya hovyo ndani ya nchi hii ambayo mnastahili kuambiwa
 
Kwahiyo watu wasisomee udaktari wakasomee kupiga dufu na kugeuzana mashoga sio.....ama unawazim ww

Kugeuzwa mashoga PAPA Ruksa kaitoa kwenu mbona unashindwa kuitumia hiyo fursa unasukumia kwetu aiseee??

Tafuta kafiri mwenzako wa kuruka nae,teh teh teh...
 
Kwahiyo watu wasisomee udaktari wakasomee kupiga dufu na kugeuzana mashoga sio.....ama unawazim ww
Tatizo la kudandia basi Kwa mbele

Kwa mujibu wa uislamu, ikitokea watu wote katika mji hakuna mtaalamu wa jambo fulani muhimu basi watu wanapata dhambi Kwa kutosomea jambo hilo muhimu

Google maana ya faradhi kifaya
 
Shida kubwa ni chuki

Waislamu wakifanikiwa wataongea wakikwama wataongea

Ndio maana hata sakata la DP world waliongea sana Hali ya kuwa Kuna mikataba mingi mibovu wamekaa kimya ikiwemo mikataba wao wa kinyonyaji wa mahospitali

Makafiri hamnazo sana nchi hii walidhani wataendelea kuinyonya sijui hadi lini...

Wanadhani watu hatujui uozo wao na ufisadi Tena wenye baraka hata na kanisa ndani ya Taifa hili...

Hizo MOU walizokaingia Kwa Siri na serikali walidhani ni vitu ambavyo vitakuwa Siri miaka yoote,huduma za AFYA fedha nyingi zinatoka serikalini na hata hivyo watu wanalipia hizo huduma,ila always kujiproud kwamba wao ndiyo wao utadhani wanafanya Kwa nguvu za kanisa vile pumbavu hawa
 
Back
Top Bottom