Nimeisoma Jiografia A-Level vizuri na naifahamu vyema na layers zake zote. But still uelewe kuwa, mwanadamu hajawahi kwenda chini ya km hata 10. Hivyo hata hiyo layer ya Crust hajafika hata robo ya upana wake, japokuwa Crust ndo kembamba zaidi. So utakuta kuwa, theory ya uwepo wa moving molten materials kwenye Mantle nayo ni debatable tu still. Na uelewe pia kuwa ukiacha Crust, layers za Mantle na Core, ziligundulika material compositions kupitia movement ya mawimbi ya matetemeko ya ardhi. Pasipo matetemeko tusingejua for sure materials ya ndani ya Dunia zaidi ya kutegemea
vulcanicity na
volcano.
View attachment 817472
Hivyo kwa muktadha huo, Dunia inaweza kuwa hollow kwa ndani but still mawimbi ya matetemeko yakapita kwenye maeneo mengine ya milima iliyomo ndani ya Dunia.
Issue hii wazee tukubali kuwa inafikirisha. Na nimeongea haya nikiwa pia mtaalamu wa jiografia.
Ndiyo maana nikaileta tuchanganye akili za kuambiwa na za kwetu.