Je, kuna Tundu (Hollow) katika Ncha ya Kaskazini linalotoa miale ya Mwanga kutokea Ndani ya Dunia?

Tunavutana.... ushaona baloon inavyoelea kwa upepo au karai kwenye maji ingekuwa hivyo.
Kwahyo ile theory ya kuwa dunia itakuwa spherical in shape inaweza kuwa sawa co kitu kikivutwa vutwa kuna umbo linapatikana especially kama dunia ilikuwa duara kama mpira wa miguu sahv itakuwa inaumbo kama mpira wa rugby si ndio eeh????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabisa.

Najaribu kujiuliza tension iliyoigawa Pangaea si ingeligawa vipande tofauti tofauti kabisa!
 
Mkuu ukisema hawajawahi kwenda chinj hata km10 niambia trench kubwa hapa duniani ina umbali gani na imewah kufikiwa kwa kiasi gani by the way shimo refu zaidi kuchimbwa na binadamu linaurefu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumaanisha chini kupitia baharini bali kwa kuchimba ardhini. Najua kwenye Bahari ya Pacific kuna series ya Trenches ambazo zina kina kirefu duniani nzima zikiongozwa na Marianas Trench Mita zipatazo 11,000.
Lengo la kuweka estimate ya m 10,000, ni kuonyesha jinsi shughuli za kibinadamu zilivyo-restricted zaidi chini ya mita 10,000 mpaka sasa, ukiacha Kola Superdeep Borehole, lililochimbwa purposely kwa zaidi ya miaka 20 ili kufikia target ya mita 15,000 lakini ilishindikana na kuishia mita zipatazo 12,000 pekee baada ya joto kuwa kali sana, la zaidi ya nyuzi 180 centigrade tofauti na matarajio yao ya awali ya nyuzi 100 centigrade pekee.

 
Sahv kumbe hatuelei eeh tumeegemezwa kwenye nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la kuelea siyo kuelea per se bali ni kama uonavyo ganda la parachichi ambalo limeiva ama embe lililoiva. Hakuna mpaka dhahiri (discontinuity) unaoweza kuuona bali ni ukanda (layer of discontinuity) wenye upana wa hadi km 8 (Gutenberg).
Vilevile, Lithosphere (rigid block) imechukua Crust na Upper Mantle badala ya kuishia tu kwenye Moho Discontinuity, Why? Kwa nini tunasema Crust/Plate tectonics zinaelea kwenye Mantle (chini ya Moho Discontinuity) wakati Lithosphere imeingia kwa zaidi ya km 100 ndani Mantle, ambao ni umbali mrefu kuliko upana wa Crust yenyewe?


Fikiria kama Dunia inaweza ikawa na some sort of this shape inside.

 
Inawezekana core ndio kijua kidogo kinacho toa joto Kali na ncha ya kaskzini hutoke na mtoa nyizi hii amesema inasadikika inalindwa na USA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo haya ni puzzling sana kiasi kuwa, hata sisi Wataalamu wa Jiografia huwa tunajikuta tunaangukia huko. Mysteries kadhaa zinazohusisha matetemeko ya ardhi na juu ya S-Wave na P-Wave kushindwa kupita ama kupita kwa shida kwenye maeneo yenye vimiminika nazo ni za kuangaliwa sana, isije ikawa ndiyo hayo maeneo yenye Bahari kwa ndani.
Cha ajabu kuna wataalamu wengine wanadai ndani ya Dunia kuna maji mengi ambayo ni kama mara sita ya yaliyo kwenye uso wa Dunia. Fikiria ukubwa wa Bahari zetu ambazo ni 70% ya uso wa Dunia.
 
Hii pia si imetoka kwa wanzungu,una uthibitisho wa hayo uliyoyasoma!?....vipi kama hii mada ni sahihi eti!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hii theory sioni jua linasogeaje kutoka mashariki kwenda magharibi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalamu wanasema kutokana na stability ya hali ya hewa humo ndani ya Dunia, watu wake wana akili sana na ni mapande ya watu, yaani yanatuona sisi kama vitoto fulani hivi.

Hapa chini ni maelezo ya Kamanda maarufu sana katika Jeshi la Marekani, Admiral Richard Byrd, aliyejikuta akiingia kwenye Hole hilo ambapo hayo majamaa yalii-control ile ndege yake bila kuwa na uwezo (unconscious) na kui-direct pa kutua bila kitu kilichoi-control kuonekana.
Alipotua hao watu walimuonya sana kutoleta machafuko duniani baada ya incidences za Hiroshima na Nagasaki (Atomic Bombs).
Hapa amepelekwa kwa Mfalme. Angalia alivyo mdogo mbele ya hao Giants.


 
Hujajibu swali mkuu.
Mle ndani ya Dunia kuna mwanga (kajua kadogo), so swali kuwa: Jua linasogeaji kutoka Mashariki kwenda Magharibi: jibu ni kuwa, mwanga wa ndani ya Dunia, siyo huo tunaoutumia sisi tulioko nje ya Dunia.
Jua lililoko ndani ya Dunia ni kwa ajili ya waliomo humo ndani tu mzee.
Sijui kama tumeelewana or else uliza tu zaidi.
 
Kama una kitabu chake naomba msaada mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hujui kama duniani kuna viumbe wengine?
Au unaelewaje neno 'viumbe'!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…