Mgambilwa ni mntu JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 2,869 Reaction score 3,187 Aug 22, 2018 Thread starter #101 Bahati furaha said: Kwani hujui kama duniani kuna viumbe wengine? Au unaelewaje neno 'viumbe'!? Click to expand... Nilimaanisha viumbe jamii ya binadamu ndugu, possibly hujafuatilia mjadala tangu mwanzo. Labda ni kwa sababu ninakosa kiswahili kizuri cha viumbe jamii ya binadamu (humanoids). So usi-complicatishe bure mzee.
Bahati furaha said: Kwani hujui kama duniani kuna viumbe wengine? Au unaelewaje neno 'viumbe'!? Click to expand... Nilimaanisha viumbe jamii ya binadamu ndugu, possibly hujafuatilia mjadala tangu mwanzo. Labda ni kwa sababu ninakosa kiswahili kizuri cha viumbe jamii ya binadamu (humanoids). So usi-complicatishe bure mzee.