Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Tanzania haijawahi ku play dominant. Huwa siku zote tuna play victim. Ndo maana utasikia kila kukicha ni kulia, mara tumeonewa, mara tunataka kuuliwa, mara tunakopa mara tumenyinwa msaada.

Kwa hizi mindset huwezi ku dominate ardhi yoyote kama marekani anavofanya

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Tumeweza Zenj tu 😂😂
 
Kama mambo yenyewe ndio haya na Zenji, basi nimebadili mawazo
 
Nilikutana na mcomoro mmoja hapo regence hospital .
Sikujua namsalimia akajibu. Sasa kumuuliza mambo mengine naona anasema hawez kiswahili.
Basi bana nikajitia afisa uhamiaji nikaanza kumhoji.
we n mtz gan hujui kiswahili?? (hapa nikatumia kingereza)

Akaniambia yy anaongea kifaransa na anatokea comoro tz anakujaga kwa ndugu
 
Sorry Nina maana Hawaii yenyewe itatoweka kwenye uso wa dunia kwani inazama taratibu
Na sisi isije ikawa tunatamani bomu

Had ije izame ww na ukoo wako kutakua hakuna hata salia mmoja.

kina cha maji kina ongezeka cm2 kila baada ya miaka 100
 
Had ije izame ww na ukoo wako kutakua hakuna hata salia mmoja.

kina cha maji kina ongezeka cm2 kila baada ya miaka 100
Ungesema koo zote na watu wote wa sasa hatutakuwepo duniani baada ya miaka 100
Ila ni giografia tu ya dunia mkuu usiwe na wasiwasi

Mbona tunaambiwa habari za miaka milion 3 iliyopita kwani nani alikuwepo ?
 
Wacomoro wanapenda sana kuwa watanzania, kiswahili wanakijua vizuri sana. Sijui nyerere hakuona huko nako tungepachukua nchi yetu ingekuwa dola kubwa zaidi. Kama vipi tuwashawishi tu wajiunge nasi halafu watatakuwa na serikali yao kama zanzibar.
 
Huo ujinga hakuna tena, nimegundua hawa Zanzibar ni mzigo mkubwa sana baada ya mama kuingia madarakani, imagine hata umeme hawalipi..
 
Ungesema koo zote na watu wote wa sasa hatutakuwepo duniani baada ya miaka 100
Ila ni giografia tu ya dunia mkuu usiwe na wasiwasi

Mbona tunaambiwa habari za miaka milion 3 iliyopita kwani nani alikuwepo ?

ebu elewa ww tatizo unakimbilia kujibu

cm2 kila baada ya miaka 100

Ili visiwa vya comoro vizame labda itahitaji maji yafike urefu wa km1

so chukua km1 to cm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…