FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
Wazo zuri sana, tena wale hybrids wako poa sana..Mi nashauri kila mtanzania akachukue chuma (demu)pale atie mimba halafu tuunganishe koo after 5 years tunajoin kiulaini coz tutakuw ndugu tayari
Yeah, na kile kiswahili chao cha Kingazija kimenyooka mno, sio kama zile broken za Kenya, vile visiwa ni vyetu kabisa, sijui tulikwama wapi..Mkuu hii kitu niliwaza siku nyingi sana hivi visiwa ni sehemu ya Tanzania kabisa. Nakumbuka enzi hizo tunaenda Mtwara na MV Mapinduzi likipigwa kidogo tu mawimbi tunajikuta tuko Comoros.
Jaribu ujionee.Utumwa wa akili huu..
Najua wajua kinachoendelea zenji. Kuhusu ushirikiano unaweza kufanyika pasipo hata kuunganisha nchi.Ushirikiano na wetu nje ya mipaka yetu ndio lengo kuu, kwa utaratibu kama wa visiwa vya Zenji
Labda wao ndio wajionee...Jaribu ujionee.
Ni muhimu kuungana, umoja ni nguvu, interaction ya kiuchumi, kijamii na kisiasa ina interflow freely zaidi pale mnapoungana na mutual benefits zinafurahiwa kwa uhuru zaidi..Najua wajua kinachoendelea zenji. Kuhusu ushirikiano unaweza kufanyika pasipo hata kuunganisha nchi.
Jaribu tu utamfahamu aliyekutuma upeleke askari wako kule ni nani. Kama bado humjui.Labda wao ndio wajionee...
Jwtz ilitumwa na Rais wa Tanzania kwa makubaliano maalum na umoja wa mataifa.., hayo mengine ni yako.Ufaransa hana influence yeyote hasa kwa nchi imara kama Tz, labda kidogo China..Jaribu tu utamfahamu aliyekutuma upeleke askari wako kule ni nani. Kama bado humjui.
Ooh kumbe tulitumwa "kwa makubaliano maalum" na nani? Rudia tena.Jwtz ilitumwa na Rais wa Tanzania kwa makubaliano maalum na umoja wa mataifa.., hayo mengine ni yako.
Ilitumwa na Rasi wa Tanzania.Ooh kumbe tulitumwa "kwa makubaliano maalum" na nani? Rudia tena.
Duuuh...., sasa Dom si ipo ndani ya nchi, hapa tunazungumzia ushirikiano na watu wa nje ya mipaka yetu..dodoma Tu inakushinda
Na "mkataba maalum" uliousema? Au ulidanganya?Ilitumwa na Rasi wa Tanzania.
Kwani ukiwa maalum unaleta tofauti gani? Anyway hata kama tulitumwa na nani, Tz sio Comoro, nadhani ifahamike hivyo.., na awamu ya 5 sio ya 4 ile ya kuchekachekaNa "mkataba maalum" uliousema? Au ulidanganya?
Umebadili nyimbo kutoka "kuvikwapua" kuwa "ushirikiano"?Duuuh...., sasa Dom si ipo ndani ya nchi, hapa tunazungumzia ushirikiano na watu wa nje ya mipaka yetu..
Kwani Zanzibar tunashirikiana nao au la? Lakini si tumevikwapua, au sio?Umebadili nyimbo kutoka "kuvikwapua" kuwa "usgirikiano"?
Shule za kusomea ujinga hazijifichi.
Utawajuwa tu waliokutuma. Nenda kajaribu "kuvikwapua" ndiyo utawajua zaidi.Kwani ukiwa maalum unaleta tofauti gani? Anyway hata kama tulitumwa na nani, Tz sio Comoro, nadhani ifahamike hivyo.., na awamu ya 5 sio ya 4 ile ya kuchekacheka
Sawa, wacha tujaribu, japo mi sina mamlaka ya kutuma diplomatic delegation huko, wacha tuwasubiri wenye power hizo..Utawaju tu walikutuma. Nenda kajaribu "kuvikwapua" ndiyo utawajua zaidi.
Ndiyo maana juu huko nikakwambia ile siyo Unguja na Pemba. Kajaribu "kuvikwapua" uone waliokutuma watakufanya nini.Kwani Zanzibar tunashirikiana nao au la? Lakini si tumevikwapua, au sio?
Si nimeshakwambia tutajaribu, tuishie hapo basi.Ndiyo maana juu huko nikakwambia ile siyo Unguja na Pemba. Kajaribu "kuvikwapua" uone waliokutuma watakufanya nini.