FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #141
Na pia sijaipenda hiyo kauli yake ya mitaro, hana adabu kabisa..😆Wewe punguani kwelikweli huyo anaetajwa kwenye Yeremia 17 ni Yesu? Kawadanganye wengine...
Soma juu kidogo hapo aya ya 5...
5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.
Nadhani hizo changamoto hata huku zipo, mfano pale Azam, so ni kiasi cha kuzitatua tuKwa Nini kule kwao wakitoa matangazo ya kazi Wana limit kwamba lazima awe mkazi wa Zanzibar?Kuna manufaa gani tunayapata labda?maana kule kwao hata ukienda kuishi mtaani unatengwa au ukifungua duka hawaji kununua kwako na wanakutunga jina kukuita m'bara.
Umeshajibu "Yesu ni mwanadamu". Zibgine zite porojo hazina maana wala mpango. Kujidanganya tu.Sasa unafikiri ni nani? Yesu hajatajwa kama bwana sehemu moja nikianza kuleta mistari aliyoitwa bwana tutakesha, alianza kutabiriwa kuanzia kitabu cha mwanzo (Genesis)
Punguani mama yako.
Naaam wala hujakosea bi ajuza naona umemtaja Yesu kabisa (BWANA)
.
Yesu si mwanadamu ila alikuja kwa njia ya mwanadamu nalilikuwepo kusudi kwanza tuanze kujua mahala kwingine alikoitwa bwana.
.
Warumi 12:19-20 maandiko yana sema, Wapenzi, msijilipize kisasi, Bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; Mimi nitalipa, anena Bwana. Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyavyo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.
.
Kamjadala kalikuwa mimi nina mabwana nikakataa nikakuambia nina bwana nae ni huyu (Yesu Kristo aliyehai)
.
Haya turudi kwenye hiyo Yeremia 17:5 kwamba amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu hii ilikuwepo kabisa kumbuka Yeremia ni kitabu cha Torati watanisaidia na wengine siandiki mengi.
(Torati=Sheria za Musa kwa wana wa Israel walikataa uzima Mungu akawapa sheria ya mauti)
.
Yesu si mwanadamu ila alikuja kwa vazi la kiuanadamu ili kusudi la Mungu litimie na kusudi lake lilikuwa nini?
Bibilia inasema:"Yule amwaminiye Mwana ana uzima wa milele: na yule asiyemwamini Mwana hatauona uzima; ila ghadhabu ya Mungu hukaajuu yake.” (Yohana 3:36
.
Kusudi.
🌻🌻🌻
10:1 Basi torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zile zile wanazozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wo wote kuwakamilisha wakaribiao.
10:2 Kama ndivyo, je! Dhabihu hazingekoma kutolewa; kwa maana waabuduo, wakiisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi?
10:3 Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka.
10:4 Maana haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi.
10:5 Kwa hiyo ajapo ulimwenguni, asema,
Dhabihu na toleo hukutaka,
Lakini mwili uliniwekea tayari;
10:6 Sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi hukupendezwa nazo;
10:7 Ndipo niliposema, Tazama, nimekuja (katika gombo la chuo nimeandikiwa)
Niyafanye mapenzi yako, Mungu.
10:8 Hapo juu asemapo, Dhabihu na matoleo na sadaka za kuteketezwa na hizo za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo (zitolewazo kama ilivyoamuru torati),
10:9 ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili.
10:10 Katika mapenzi hayo mmepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu.
10:11 Na kila kuhani husimama kila siku akifanya ibada, na kutoa dhabihu zile zile mara nyingi; ambazo haziwezi kabisa kuondoa dhambi.
10:12 Lakini huyu, alipokwisha kutoa kwa ajili ya dhambi dhabihu moja idumuyo hata milele, aliketi mkono wa kuume wa Mungu;
10:13 tangu hapo akingojea hata adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake.
10:14 Maana kwa toleo moja amewakamilisha hata milele hao wanaotakaswa.
10:15 Na Roho Mtakatifu naye amshuhudia; kwa maana, baada ya kusema,
10:16 Hili ni agano nitakaloagana nao baada ya siku zile, anena Bwana,
Nitatia sheria zangu mioyoni mwao,
Na katika nia zao nitaziandika;
ndipo anenapo,
10:17 Dhambi zao na uasi wao sitaukumbuka tena kabisa.
10:18 Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi.
.
Tusiharibu uzi twende jukwaa la dini
Wewe anakusaidia huyo mtoto. Anakuona umeshindwa hoja eti kaanzisha mambo ya dini kwenye mada yako ndiyo anakusaidia.Na pia sijaipenda hiyo kauli yake ya mitaro, hana adabu kabisa..😆
Unazeeka vibaya wewe tumbotumbo nimekuambia uandae kitanda nakuja kukuharibu mtaro husikii.Umeshajibu "Yesu ni mwanadamu". Zibgine zite porojo hazina maana wala mpango. Kujidanganya tu.
Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu" au "niabuduni".
Tazama ngonjera sasa bila mpango.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Usije na mambo ya mabwana zako hapa. Hiyo ni hukohuko kwa mabwana zako.
Hiyo kikwenu ndiyo "Mimi Mungu"?Unazeeka vibaya wewe tumbotumbo nimekuambia uandae kitanda nakuja kukuharibu mtaro husikii.
.
"Yule amwaminiye Mwana ana uzima wa milele: na yule asiyemwamini Mwana hatauona uzima; ila ghadhabu ya Mungu hukaajuu yake.” (Yohana 3:36.
.
soma hiyoooo ajuza kitorondo
Zitumike mbinu za kidiplomasia, ikishindikana kwa ustaarabu basi liundwe zengwe na vikwapuliwe kwa nguvu, maana wanasema umoja ni nguvu, ni kama Zanzibar tu ikivyonyakuliwa. Nasema hivi maana kuna kitu cha ajabu sana nimekigundua baada ya kuencounter wacomorro kadha wa kadha katika mizunguko hasa ya Kariakoo.
Kiukweli hawa watu wanajiina ni waTanzania kamili kabisa, na wanataka haki zote sawana mTanzania mwingine yeyote yule. Yaani uFaransa anatoka alikotoka kisha anakuja uwani kwetu kumiliku kisiwa, huu ni upunguani wa wapi huu?
Tunaomba tupewe historia ya Commoro kwanza ili tujue tulikwama wapi?
Moja ya manufaa makubwa sana ambayo nimeyaona kwa integration tuliyoifanya na Zanzibar ni 'huge economic, social & political cooperation', fikiria ni kwa urahisi kiasi gani Tanesco imeweza kuuza umeme mwingi sana visiwani bila vikwazo vyovyote, fikiria namna wanafunzi wanapokuja kusoma vyuo vikuu vya bara na kupata mikopo minono ya Heslb bila hiyana wala vikwazo vyovyote vile, pia ona jinsi watu toka visiwani wanavyokuja kupata ajira na kufanya biashara bara bila usumbufu, fikiria jinsi bara tunavyoagiza maziwa toka Zanzibar bila shida yeyote ile, faida ni lukuki.
Lakini ninachokisikia kwa chini ya kapeti ni kwamba kisiwa kimoja wapo cha Comoros kinachomilikiwa na wazungu kinatumika vibaya kutunyonya na kututikisa, mfano eti kuna wakati walikuwa wananunua ng'ombe maelfu kwa maelfu, wanapelekwa hapo kisiwani, wanachakatwa kisha nyama kupelekwa paris, lakini kiutaratibu walipaswa watengeneze kiwanda cha kuchakata hizo nyama hapa nchini kisha zisafirishwe kwenda paris tokea hapa na mapato stahiki ya kodi ya baki hapa, huo ni mfani tu.
Kingine ni Tax evasion techniques kama zile zinazofanyika visiwa vya Seychelles, ni kwamba kampuni inacheza sarakasi kwa kutumia mamlaka za visiwa zilizopo karibu na nchi yako, hivyo wanakuja kufanya biashara kwako lakini base yake anaiweka uwani kwako ambapo huwezi kumfikia sababu ni mamlaka ya mtu mwingine, hii michezo ilitaka kufanyika kwa kuitumia Zanzibar hasa katika uagizaji wa sukari na spea za pikipiki, lakini kwakuwa tuna-control na Zenji ilikuwa ni rahisi kwetu kudhibiti hali hiyo.
===============================
===============================
Likes 23 tayari [emoji3][emoji106][emoji122][emoji123]
Tatizo linakuja kwa hawa wacomoro,wanapokuwa Tanzania wanataka wapate haki zote azipatazo mtanzaniaNdoto nzuri. Lakini kama tumeshindwa kutatua "kero za muungano" na visiwani kwa miaka yoooote, tukijiongezea visiwa vingine si ndio tutakuwa tumejiweka vibaya kabisa?
Kuna fursa kibao huko comoro,na wabongo tunaheshimika kweli kweliMkishafanikiwa mie ntahamia Comoro !kama kuna madini lakini!
Bora wengine tuhamishiwe huko jamani! tukafungue viwanda vya uongo na kweli! Bongo nux[emoji57]
Umeandika vyema,
Ila wale tutashindwana nao kitu kimoja, wao lugha yao kuu ya taifa ni Kifaransa,tutakapokua taifa moja tutapata shida kwenye mawasiliano. Tukisie tu kua asilimia ya Watanzania wasiojua kifaransa ndio hiyo ya Wa Commoro wasiojua kiengereza.
Pili wavivu sana. Naandika kupitia uzoefu. Jamaa ni wavivu ajabu. Hawajitumi wala kujishughulisha kwa mambo mengi tu. Wanategemea zaidi ndugu zao walioko Ufaransa wawasaidie, sababu ni nchi unayoruhusu dual citizenship.
Tatu hawana utajiri wa kihivyo kusema tukiwachukua tutafaidika labda na kitu fulani. Moroni kidogo pana kaunafuu, lakini Anjouani na Moheli hakuna kitu. Kisiwa cha nne cha Mayote mfaransa alijimilikisha kutambo tu. Kwanza wao wakija hapa bongo au wakienda Madagascar ndo kama vile bongo unapoenda kula bata Dubai hivi au majuu. Shopping yenyewe wanafanyia Kariakoo. Nikiwa kule, kuna jamaa aliniambia wako katika nchi 10 masikini duniani.
Nne ni nchi chafu ajabu, yaani katikati ya mji kuna uchafu kila mahali. Nilipata kwenda kwenye "Kariakoo" yao, wenyewe wanaaita Volovolo Market, ni kama Uwanja wa Fisi hivi pale tandale. Na hakuna anaekerwa na huo uchafu.
Tano tuna tamaduni tofauti na wao. Kidogo Zanzibar wangeweza kuendana nao. Sababu hata Wangazija ndio kabila asilimia kubwa zaidi kule, hawa Wapo pia Zanzibar. Shida itakuja Wale wanaungana na sie, sio Zanzibar. Hatutoelewana kabisa. Hata vyakula ni tofauti. Nilishangaa kukuta eti paja la kuku wanakula matajiri wakati vipapatio (wanaita mabawa) ndio vinauzwa uswahilini. Yaan tuko nao tofauti sana.
Wahenga walisema "Ukitaka kula Nguruwe, chagua alienona", ili hata ukija kuta ni dhambi basi uandikiwe dhambi huku nawe ukiwa umefaidi. Na Ukitaka kuchepuka basi tafuta demu alie bomba, hata siku ukishikwa ugoni wengine waseme kweli kwa kifaa kile ilikua halali yako kuchepuka. Yanini kuanza kugombana na Jumuia za Kimataifa kwa ka nchi kama kale?
Zuri lao la kwanza sio wakorofi, wako humble and charming Sana. Pili Lugha yao ina kiswahili kwa mbali, labda 10% ~ 15% ya maneno yao ni kiswahili. Pia bongo flava yetu wanaipenda Sana.
Tanzakoduuu!! jina litakuwa refu sana halafu gumu kutamkika
Unanichosha tu go to your allah who eats bacon and ribs blah blah blahHiyo kikwenu ndiyo "Mimi Mungu"?
Unazidi kudhihiridha ulivyo poyoyo.
Tutatue changamoto za ndoa za sasa na mwenza wetu Zanzibar kabla ya kukimbilia ''kuongeza mke''
TEna wazuri warembo kama waznzWacomorro Wanazungumza kiswahili safi kuliko hata waKenya
[emoji23][emoji23][emoji23] tumpe talaka halafu tumwoe comoro. Mwenza gani tangu tuoane ugomvi hauishi
Yeah, kuna mchanganyiko wa orientals kule..T
TEna wazuri warembo kama waznz
Trust me hakuna tutakachofaidika ambacho sasa hakipo Mkuu. Sijui hata kwanini hela yao inatuzidi value mara 5. Lakini ni nchi ya ajabu Sana. Kwanza kile kisiwa cha Moroni kwa Mfano watu wanaishi pembezoni kuzunguka kisiwa sababu katikati ni muinuko ambao pia ni miamba itokanayo na milipuko ya volcano.Hizo zote ulizotaja kwangu mimi ni even a bigger reason kuwa-ssimilate, mfaransa amevichakaza vibaya sana vile visiwa kwa maslahi yake, ni wakati wa sasa wa ku unlock full potential tuliyonayo kama wa-Afrika kwa kushirikiana kwa kuungana hasa hasa kwa mtindo wa muungano na Zanzibar jinsi ulivyofanyika.
Kuna faida za muda mrefu, usiangalie kesho pekee, angalia miaka 10 au 20 ihayoTrust me hakuna tutakachofaidika ambacho sasa hakipo Mkuu. Sijui hata kwanini hela yao inatuzidi value mara 5. Lakini ni nchi ya ajabu Sana. Kwanza kile kisiwa cha Moroni kwa Mfano watu wanaishi pembezoni kuzunguka kisiwa sababu katikati ni muinuko ambao pia ni miamba itokanayo na milipuko ya volcano.
Imagine hapa chini ni barabara iliyoko City Centre kabisa kama vile Posta hivi. Yaan ndo pahali palipoendelea angalau angalau
View attachment 1183754
Si mbaya kuongeza 'mke' wa piliKwaiyo tunataka ''ladha'' mpya ?
Ladha mpya itakua na vurumai jipya
Si mbaya kuongeza 'mke' wa pili