Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Tanzania: Trade Opportunities in Comoro Go Begging
FacebookTwitterWhatsAppFlipboardLinkedInRedditEmailShare
2 JULY 2018
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
Tanzanian traders should explore business opportunities in the Comoros Islands as the existing bilateral trade is quite below its potential, the country's envoy to Comoro, Ambassador Sylvester Mabumba has said.

Ambassador Mabumba said the current volume of trade which stands at 500bn/- was low and could be improved as Comoro Islands rely on Tanzania for its food demands.

"They import almost everything such as food crops, meat, fruits, and vegetables. So, there is no need for Tanzanian traders to look for market.

The market is here," he said on the sidelines of a meeting between Tanzanian traders living in Comoro and Director General of Tanzania Ports Authority (TPA), Deusdedit Kakoko in Moroni.

The meeting was aimed at addressing challenges thwarting trade between the two countries. Grande Comore (Ngazidja) and Anjouani, the biggest islands in the Comoro, rely on imports from Tanzania to meet her food demands for about 70 per cent.

It imports rice, potatoes, vegetables, cement and other manufacturing products. Imports from Tanzania reached 172.39 million US dollars in 2016, accounting for 42 per cent of all imports, according to the United Nations COMTRADE database on international trade.

Other top import origins of Comoros China (48.3 million US dollars), the United Arab Emirates (46.6 million US dollars), France (40.7 million US dollars) and India (20.3 million US dollars).

Tanzanian traders living in the archipelago have been complaining over lack of reliable waterway transport between Dar es Salaam Port and Moroni, which leads to losses as goods are being damaged due to unreliable transport.

He encouraged Tanza- nian businesspeople to see Comoros as their trade destinations as the archipelago rely much on importation.

"Let's use this opportunity and at this time when Tanzania opened the embassy in Comoro and Tanzania has historical ties with this Island as between 1970 and 1975 our forces assisted for the country to get independence.

"It's high time for Tanzania to benefit from our sweet by exploiting business opportunities here." With a population of 795, 601 people, the Comoros is a volcanic archipelago off Africa's east coast, in the warm Indian Ocean waters of the Mozambique Channel.

The nation state's largest island, Grande Comore (Ngazidja) is ringed by beaches and old lava from active Mt. Karthala volcano.
 
Zitumike mbinu za kidiplomasia, ikishindikana kwa ustaarabu basi liundwe zengwe na vikwapuliwe kwa nguvu, maana wanasema umoja ni nguvu, ni kama Zanzibar tu ikivyonyakuliwa. Nasema hivi maana kuna kitu cha ajabu sana nimekigundua baada ya kuencounter wacomorro kadha wa kadha katika mizunguko hasa ya Kariakoo.
Kiukweli hawa watu wanajiina ni waTanzania kamili kabisa, na wanataka haki zote sawana mTanzania mwingine yeyote yule. Yaani uFaransa anatoka alikotoka kisha anakuja uwani kwetu kumiliku kisiwa, huu ni upunguani wa wapi huu?

Tunaomba tupewe historia ya Commoro kwanza ili tujue tulikwama wapi?

Moja ya manufaa makubwa sana ambayo nimeyaona kwa integration tuliyoifanya na Zanzibar ni 'huge economic, social & political cooperation', fikiria ni kwa urahisi kiasi gani Tanesco imeweza kuuza umeme mwingi sana visiwani bila vikwazo vyovyote, fikiria namna wanafunzi wanapokuja kusoma vyuo vikuu vya bara na kupata mikopo minono ya Heslb bila hiyana wala vikwazo vyovyote vile, pia ona jinsi watu toka visiwani wanavyokuja kupata ajira na kufanya biashara bara bila usumbufu, fikiria jinsi bara tunavyoagiza maziwa toka Zanzibar bila shida yeyote ile, faida ni lukuki.

Lakini ninachokisikia kwa chini ya kapeti ni kwamba kisiwa kimoja wapo cha Comoros kinachomilikiwa na wazungu kinatumika vibaya kutunyonya na kututikisa, mfano eti kuna wakati walikuwa wananunua ng'ombe maelfu kwa maelfu, wanapelekwa hapo kisiwani, wanachakatwa kisha nyama kupelekwa paris, lakini kiutaratibu walipaswa watengeneze kiwanda cha kuchakata hizo nyama hapa nchini kisha zisafirishwe kwenda paris tokea hapa na mapato stahiki ya kodi ya baki hapa, huo ni mfani tu.
Kingine ni Tax evasion techniques kama zile zinazofanyika visiwa vya Seychelles, ni kwamba kampuni inacheza sarakasi kwa kutumia mamlaka za visiwa zilizopo karibu na nchi yako, hivyo wanakuja kufanya biashara kwako lakini base yake anaiweka uwani kwako ambapo huwezi kumfikia sababu ni mamlaka ya mtu mwingine, hii michezo ilitaka kufanyika kwa kuitumia Zanzibar hasa katika uagizaji wa sukari na spea za pikipiki, lakini kwakuwa tuna-control na Zenji ilikuwa ni rahisi kwetu kudhibiti hali hiyo.

===============================

===============================

Likes 38 tayari [emoji3][emoji106][emoji122][emoji123]

Jitu zima,lina suggest kuvamia nchi huru iifanye nchi yake binafsi????

Na unadhani wana hamu ya kujiunga na linchi shithole kama hili!?Kwa lipi hasa?

Hivi wazima nyie?
 
Umoja ni nguvu, tujadiliane nao kidiplomasia

Kuna nchi shithole inapenda kuungana na shithole?

Hakuna ujinga huo tena!

Era ya nchi kuungana zisizokua na uchumi wa maslahi kwa mwenzake kwa kiwango kikubwa zikawa taifa moja kabisa hakuna tena!

Hiyo nchi iache kuunga na Australia iungane na linchi bovu kabisa linaloongozwa na na majitu ya CCM?

Au New Zealand kabisa!

Au South Africa kabisa!

Umoja ni lazima ujiunge na Tanzania pekee yake?

Wakiamua kujiunga na Australia which make so much sense economically!??
 
Comoros tuko nao karibu sana geographically tofauti na hizo nchi nyingine ulizotaja, pia tuna-udugu na hata lugha ya kiswahili wanaijua vyema. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, wakiungana na hao wazungu unaowataja ni kujipeleka kwenye ukoloni, na si muungano
 
Ananijua vizuri mkuu na yeye ndiye alisababishaga nile ban kubwa mno ila uzuri mimi nacheza pande zote kama kagere wakibana huku niko kule 😂😂😂
.
Na lenyewe miaka ya 2010 lilikuwa na ID nyingine kabla ya hii ya Faizafoxy
Nikujuwe we nani? Kuna id za kuzijuwa humu JF. Wewe haumo kwenye list. Nakuona ni poyoyo tu mmoja.

Wapi Yesu anasema ""Mimi Mungu"?
 
Nikujuwe we nani? Kuna id za kuzijuwa humu JF. Wewe haumo kwenye list. Nakuona ni poyoyo tu mmoja.

Wapi Yesu anasema ""Mimi Mungu"?
Mimi poyoyo wewe kiswaswadu wa kwa mfuga mbwa.
.
Nimekwambia nionyeshe mahala niliposema Yesu ni Mungu ukipakosa go eat Bacon's with your allah.
.
Alafu karibu kitimoto nyama taaamu kabisa
 
Mimi poyoyo wewe kiswaswadu wa kwa mfuga mbwa.
.
Nimekwambia nionyeshe mahala niliposema Yesu ni Mungu ukipakosa go eat Bacon's with your allah.
.
Alafu karibu kitimoto nyama taaamu kabisa
Soma hiyoo...

7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
 
Comoros tuko nao karibu sana geographically tofauti na hizo nchi nyingine ulizotaja, pia tuna-udugu na hata lugha ya kiswahili wanaijua vyema. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, wakiungana na hao wazungu unaowataja ni kujipeleka kwenye ukoloni, na si muungano

Tunapokuja kwenye economics hatujali lugha wewe mtu!

Hivi upo serious kweli wewe?

Eti umoja ni nguvu pale unapochukua your biased Tanzanian perspective wakati na wao wapo karibu zaidi na Mozambique zaidi hata ya Tanzania!

Geographical proximity ni useless kabisa!

Kiswahili sio hoja maana ni form ya Kiswahili totally different from your typical Tanzanian Swahili!

Kutokana na ukoloni Comoro wanaji identify ni more closer na France maana French ni lugha rasmi!

Kwa Kiislamu Comoros wanajitambua ni Waarabu ndio maana ni member wa Arab League although ni weusi kama mimi na wewe!

Plus,huo umoja wako unaohubiri humu eti ndio nguvu,wakijiunga na mwingine ambae sio Tanzania?Sentensi yako ina remain ni very useless!

Tanzania ni very unattractive partner to any state to even suggest any ushirikiano achilia mbali kuimeza nchi ingine!

Haina pedigree na reputation iliyokua nayo back in Nyerere time,etc

Economically ni useless,kiusalama ni useless heri Kenya,kiutamaduni ni useless maana hakuna anaetaka utamaduni wake umezwe na wapumbavu wengine kama Zanzibar inavyojitahidi isimezwe!

Democratically Tanzania ni useless as of now,ina regress to shithole status,judicial system ni useless kabisa maana kuna mtu mmoja anaamua unilaterally fate of anyone on court,which is a shithole system status!

Best option ya Comoros ni kutokujiunga na yeyote na kugeuza that swampy island into Hong Kong au Taiwan!

Kujiunga na Tanzania ni kukubali kua hold hostage just like Zanzibar!

Cooperation ya TZ na Zanzibar ni so inefficient na useless kumvutia yeyote kujiunga!

Ni so useless kabisa!

Point zako ulizoweka za ku-suggest merger ni za ajabu na hazifanyi kazi miaka hii dunia ni kijiji na globalization!
 
Tanzania tunauza nini kwenda Comoro? Tuanzie hapo..
Si umesema mwenyewe kwamba kuna wakati walikuwa wananunua ng'ombe maelfu kwa maelfu; au?! Au umesahau kwamba hapawezi kuwa na kununua pasipo na muuzaji?! And for what I know, hadi kesho Comoro ni moja ya soko la bidhaa zetu kadhaa za kilimo, hususani ng'ombe, vitunguu na mchele!
 
Soma hiyoo...

7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Kutoka katika kitabu gani na agano gani kabla sijashuka nondo.
.
Nimeshashiba saivi nashushia na K-Vant taratiiiibu nasubiri unijibu nishuke madini ushangae Bible ni mtambuka
 
Tunapokuja kwenye economics hatujali lugha wewe mtu!

Hivi upo serious kweli wewe?

Eti umoja ni nguvu pale unapochukua your biased Tanzanian perspective wakati na wao wapo karibu zaidi na Mozambique zaidi hata ya Tanzania!

Geographical proximity ni useless kabisa!

Kiswahili sio hoja maana ni form ya Kiswahili totally different from your typical Tanzanian Swahili!

Kutokana na ukoloni Comoro wanaji identify ni more closer na France maana French ni lugha rasmi!

Kwa Kiislamu Comoros wanajitambua ni Waarabu ndio maana ni member wa Arab League although ni weusi kama mimi na wewe!

Plus,huo umoja wako unaohubiri humu eti ndio nguvu,wakijiunga na mwingine ambae sio Tanzania?Sentensi yako ina remain ni very useless!

Tanzania ni very unattractive partner to any state to even suggest any ushirikiano achilia mbali kuimeza nchi ingine!

Haina pedigree na reputation iliyokua nayo back in Nyerere time,etc

Economically ni useless,kiusalama ni useless heri Kenya,kiutamaduni ni useless maana hakuna anaetaka utamaduni wake umezwe na wapumbavu wengine kama Zanzibar inavyojitahidi isimezwe!

Democratically Tanzania ni useless as of now,ina regress to shithole status,judicial system ni useless kabisa maana kuna mtu mmoja anaamua unilaterally fate of anyone on court,which is a shithole system status!

Best option ya Comoros ni kutokujiunga na yeyote na kugeuza that swampy island into Hong Kong au Taiwan!

Kujiunga na Tanzania ni kukubali kua hold hostage just like Zanzibar!

Cooperation ya TZ na Zanzibar ni so inefficient na useless kumvutia yeyote kujiunga!

Ni so useless kabisa!

Point zako ulizoweka za ku-suggest merger ni za ajabu na hazifanyi kazi miaka hii dunia ni kijiji na globalization!
Inaonyesha una stress na frustrations juu ya huu mchakato. Umeongea vingi visivyo na basis ya aina yeyote ile zaidi ya kupayuka tu kwamba Tz ni shithole, mara judicial system iko vile nk. bila kuwa na ushahidi wowote ule. Narudia, kama msumbiji na wengine unaowataja wataona inafaa kuungana na Comoros kwa mutual beneficiation basi wafanye mchakato kama tunaoufanya sisi. Sitaacha kurudia, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
 
Back
Top Bottom