Je, kuna ugonjwa wa hamu ya kufanya mapenzi?

Ni kweli,wengine huwa na tabia ya kuchekacheka kama mapunguani hasa shule za boarding zenye girls watupu wanaofungiwa sana.

na ndio wanawawekea mafuta ya taa kwenye chakula eeh?
 
dah,nahisi ni ugonjwa maana mi nicpomit na mpnz wangu 2 weeks alaf namuona ile wiki ya 3 naumwaga hasa ucku mpk nahis kichaa,au aje anipe amsha amsha dah naombaga game mwenyew.
 
ndio naruhusiwa kwa raha zangu
Hahahahahaaa!
Uongo mtupu! Muone vile! Embu inua macho unipe konyezo!

Unejiruhusu mwenyewe kama wanavyojiruhusu hao nuns! Kuna karule kanasema 'Controling something is upon the holder of that thing'!

Btw. Nimekumisi kweli! Ivi umzima weye?
 
dah,nahisi ni ugonjwa maana mi nicpomit na mpnz wangu 2 weeks alaf namuona ile wiki ya 3 naumwaga hasa ucku mpk nahis kichaa,au aje anipe amsha amsha dah naombaga game mwenyew.

Ngekuwa na mchuchu ka ww nge enjoy kwel yan!
 
Hahahahahaaa!
Uongo mtupu! Muone vile! Embu inua macho unipe konyezo!

Unejiruhusu mwenyewe kama wanavyojiruhusu hao nuns! Kuna karule kanasema 'Controling something is upon the holder of that thing'!

Btw. Nimekumisi kweli! Ivi umzima weye?

mie mzima ndugu sijui wewe........
 
Unaitwa LAWALAWA-ki FIRIGISI kinakuwa kinawasha muda wote......
 
mmmh vipi kuhusu masister

nan kasema mtu anaweza kukaa maisha yake yote bila kuwa na ashiki?
game inapigwa kama kawaidai , kwani hujawahi hata sikia ma-Padri ana watoto nje?
...
 
nan kasema mtu anaweza kukaa maisha yake yote bila kuwa na ashiki?
game inapigwa kama kawaidai , kwani hujawahi hata sikia ma-Padri ana watoto nje?
...

sijawahi kusikia wewe umewahi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…