Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
binamu hujambo?naomba appoitment nawe...
poa binamu any time hauna haja ya kuomba appointment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
binamu hujambo?naomba appoitment nawe...
hivi wale ma nuns wanapataga hayo magonjwa wao si hawaruhusiwi kufanya hayo makitu
poa binamu any time hauna haja ya kuomba appointment
Mimi mwenyewevunanisumbua sana,mpaka namhurumia mtu wangu maana namtesa sanaWakati nasoma sekondari kuna dada alikuwa hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu.
AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikuwa tunamsindikiza) japo tulikuwa bweni.
Kwa uoga tulisema HANA lakini alikuwa nao na akigombana na one of them ndo anaumwa na kujaamiiina ilikuwa kawaida sana kwake.
Sasa basi juzi nikaambiwa mtu fulani muacheni tu awe hata na watoto maana hawezi lala bila kujamiina.
SASA NIKABAKI NA SWALI JE HUO NI UGONJWA au nikujiendekeza?