Je, kuna ugonjwa wa hamu ya kufanya mapenzi?

Je, kuna ugonjwa wa hamu ya kufanya mapenzi?

ugonjw htar sana huo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Wakati nasoma sekondari kuna dada alikuwa hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu.

AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikuwa tunamsindikiza) japo tulikuwa bweni.

Kwa uoga tulisema HANA lakini alikuwa nao na akigombana na one of them ndo anaumwa na kujaamiiina ilikuwa kawaida sana kwake.

Sasa basi juzi nikaambiwa mtu fulani muacheni tu awe hata na watoto maana hawezi lala bila kujamiina.

SASA NIKABAKI NA SWALI JE HUO NI UGONJWA au nikujiendekeza?
Mimi mwenyewevunanisumbua sana,mpaka namhurumia mtu wangu maana namtesa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom