Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?

Breezyman

Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
70
Reaction score
60
Nimepokea ujumbe huu,

"CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una guarantee ya kupas interview. nitakupigia simu nikitoka kikaoni tuongee"

Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?
 
Kwa mpangilio huo jamaa ni tapeli .
 
Tena alisisitiza nitume mwisho saa kumi leo... nikamuambia mbona sijapewa bado taarifa ya kuwa shortlisted!!? So saa ngapi mnatuma taarifa! Akasema io sio kazi yako nikasema samahani koz aliongea kwa ukali.

Nikamuambia naomba unipe namba ya huyo mtu wa maswali nimuambie hio hela nimeikosa koz sina jambo... bado akasisitiza nitume hata advance 😦 nikashangaa kumuona money oriented.
 
Baadaye mnakujaga kulialia humu! Anyway kama wewe ni risk taker tuma kisha utupe mrejesho.
 
Ukiibiwa kwa style hii utakuwa m. jin.ga
 
Nimepokea ujumbe huu
"CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una guarantee ya kupas interview. nitakupigia simu nikitoka kikaoni tuongee"

Je kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwaajili ya maswali na majibu ya mchujo?
Hii meseji mara ya kwanz kuiona ilikuwa 2013.
Mpaka sasa hivi wanaendeeza utapeli
 
Mimi nlitumiwagwa hyo msg na sikuwa nimefanya application yoyote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nlipogundua n matapeli Wala sikuwaacha salama. Tulienda sambamba hadi wakajua wao ndo wanakaribia kutapeliwa
 
Kazi yoyote ukiambiwa utoe hata elfu 1 ya fomu ay kulipia ukumbi wa usaili. Ujue huo ni utapeli
Jaman na Hawa vipi nshaurin nsije nkapigwa kahela kangu ka mchicha
Screenshot_20200608-081517.jpg
 
Jaman na Hawa vipi nshaurin nsije nkapigwa kahela kangu ka mchichaView attachment 1471886
Siku zote mtego wa tapeli upo kwenye malipo ya awali atakupa ahadi nyingi kama alivyo kupa wepesi utamlipa 30% mara tu ukapo ajiliwa alafu ghalfa amekurudisha mtegoni kwa kusema utatakiwa ulipe sh 13000 eti kwaajili ya kuprint cv, barua na mawasiliano.
HUYO NI TAPELI COMPLETELY
 
Changa
Nimepokea ujumbe huu,

"CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una guarantee ya kupas interview. nitakupigia simu nikitoka kikaoni tuongee"

Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?

Changa!!
 
Back
Top Bottom