Hii meseji mara ya kwanz kuiona ilikuwa 2013.Nimepokea ujumbe huu
"CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una guarantee ya kupas interview. nitakupigia simu nikitoka kikaoni tuongee"
Je kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwaajili ya maswali na majibu ya mchujo?
Kazi yoyote ukiambiwa utoe hata elfu 1 ya fomu ay kulipia ukumbi wa usaili. Ujue huo ni utapeliShukrani sana ndugu zangu kwa kunifungua ufahamu
Jaman na Hawa vipi nshaurin nsije nkapigwa kahela kangu ka mchichaKazi yoyote ukiambiwa utoe hata elfu 1 ya fomu ay kulipia ukumbi wa usaili. Ujue huo ni utapeli
Siku zote mtego wa tapeli upo kwenye malipo ya awali atakupa ahadi nyingi kama alivyo kupa wepesi utamlipa 30% mara tu ukapo ajiliwa alafu ghalfa amekurudisha mtegoni kwa kusema utatakiwa ulipe sh 13000 eti kwaajili ya kuprint cv, barua na mawasiliano.Jaman na Hawa vipi nshaurin nsije nkapigwa kahela kangu ka mchichaView attachment 1471886
Nimepokea ujumbe huu,
"CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una guarantee ya kupas interview. nitakupigia simu nikitoka kikaoni tuongee"
Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?
Changa!!
Unapigwa mkuu.Jaman na Hawa vipi nshaurin nsije nkapigwa kahela kangu ka mchichaView attachment 1471886