Hakika lo
Umewahi kuhudhuria vikao vya michango?Kuchanga sioni kama kuna anayelazimishwa.
Hiyo sio sawa.Umewahi kuhudhuria vikao vya michango?
Watu wanalazimishwa kuchangia na wanaambiwa kabisa usipochanga hawatashiriki mambo yako mengine kama vile ugonjwa,misiba nk.
Kulazimishwa kupo sana.
Binafsi kuna watu kadhaa sikuwachangia Arusi zao.Hiyo sio sawa.
Wanalazimisha sana, labda kama hujawahi kuchangishwaKuchanga sioni kama kuna anayelazimishwa.
Hata ungechangia sio garentii kuwa mahusiano baina yenu hayawezi kupunguaBinafsi kuna watu kadhaa sikuwachangia Arusi zao.
Uhusiano wangu na wao umepungua kwa zaidi ya 70%.
Rudia kusoma na soma kwa makini zaidiHata ungechangia sio garentii kuwa mahusiano baina yenu hayawezi kupungua
Michango ni utaratibu wa kibinaadamu tu wakawaida wakusaidiana ila tatizo linakuja kwa muhusika mimi kwenye harusi mtu akiweka kiwango sichangii maana mimi sio mwanafamilia yao ila kutoa chochote ulichonacho ni sahihi mkuu ila ukianza kima chini elfu 50 umenikosa kama hujajipanga unakuja kusumbua watu tu wakati wewe ndio muhusika.Embu tujadili na kuangalia umuhimu/ulazima wa hii michango ya harusi .Tunaishi kijamaa ndani ya mifumo ya kipepari,tuna vipato vya kawaida sana hasa kwa ndugu zangu wafanyakazi.
Wafanyakazi wanakipato kidogo mno hakiendani na uhalisia wa maisha,na pale anapoishi kijamaa kwa kushiriki hizi shughul za ndoa anaweza akajikuta ana kadi hata kumi kwa mwaka ambazo zote zimeweka angalizo, single ni 80,000/= sasa mfanyakazi mtanzania anamudu vipi maisha haya?
1. Hii michango ni lazima kuendelea kutuumia
2. Mbadala wake iwe ni nini
3. Nani wa kumchangia na nani wa kutomchangia?
Tujadili mawazo yenu
Mimi kuna washikaji wawili hata ukiwatumia text hawajibu kisa sikuwachangia kiufupi we don't talk anymore.Binafsi kuna watu kadhaa sikuwachangia Arusi zao.
Uhusiano wangu na wao umepungua kwa zaidi ya 70%.
Mimi binafsi nimeshachangiwa na kuchanga lakini mara nyingi kama nina/tunafanya shughuli hupanga shughuli hiyo kuwa ndani ya uwezo wa "inner circle" ili simu za michango na jumbe fupi zisiwe za usumbufu. So mtu achange au asichange tunakuwa na uhakika wa kufanikisha kile kilichokusudiwa.Wanalazimisha sana, labda kama hujawahi kuchangishwa