Hili suala hutokea kwa watu tofauti tofauti wakati wakiandaa
ripoti hasa zinazohusiana na masuala ya Fedha.
Je? Kitaalamu lina adhari gani?
ni kiasi gani cha nyongo hutengenezwa na kuleta maumivu/madhara
kwa muandaa ripoti?
Je? inakwenda sambamba na kiasi cha Fedha
Kwa mfano.
Ripoti ya sh laki 5 maumivu yake ni kidogo kulinganisha
na report ya sh.milioni 100 vivyo hivyo kwa ripoti ya bi na tri?