Habari zenu wana jukwaa. Ni matumaini yangu weekend imeenda vizuri kwetu sote. Kwa wale ambao weekend haikuwa nzuri kwao kutokana na matatizo ya kiafya basi nawaombea Dua Mungu awaponye.
Nirudi kwenye mada yetu kama inavyojieleza hapo juu.
Nianze kwa kusema kuwa nimekuwa nikikutana na hoja hii mara kwa mara baadhi ya watu wakisema kuwa ukioa kabila fulani basi hutadumu naye kwenye ndoa kwa sababu wanawake wa kabila lile hawatulii kwenye ndoa kwa sababu ni wachepukaji sana hawaridhiki na mwanaume mmoja.
Je kuna ukweli kwenye hili? Sababu hasa ni nini inayopelekea hali hiyo?
Naomba kuwasilisha!