Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
No sio kwenye ukabila bali kwenye ukakamavu, kuna makabila ni wakakamavu, na mengine sio.
P
acha uboya wewe ujasiri wa kuiba mbuzi au kuua vikongwe, ujasiri wa kijeshi unapandikizwa kutokana na mafunzo sio kumpiga mkeo ndo uwe ujasiriMkuu hebu jaribu kulinganisha watu wa dar na mwanza wapi wanafaa tuwatangulize mstari wa mbele kwenye vita utagundua watu wa mwanza ni wajasiri zaidi
Matusi ya nini sasa we kinyagoacha uboya wewe ujasiri wa kuiba mbuzi au kuua vikongwe, ujasiri wa kijeshi unapandikizwa kutokana na mafunzo sio kumpiga mkeo ndo uwe ujasiri
Aldha bab hawana akili hata malengo yao hayajulikani stop your no senseHakuna uhusiano kati ya dini na ukakamavu bali ulichokionesha ni namna gani dini inazingatiwa katika kuchagua hao mageneral katika jeshi, mfano mzuri watazame alshabab ni watu wa dini gani na tazama impact yao Somalia.
Uwezekano ni MKUBWA MNO, utamlinganisha Mkristo Mkakamavu mwenye schedule nzuri ya Ibada na Mtu ambaye anashinda kwenye mkeka na kufanya Ibada Mara 5 kila siku?Wanabodi,
Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini/Kabila na ukakamavu ndani ya Majeshi yetu nchini Tanzania.?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani au Kabila Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini au Kabila Nyingine?.
Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.
Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.
Wakuu hawa ni
Majenerali wote hawa majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hayo ni majina tuu na haya uhusiano na dini zao kama jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, Asha Rose, au Jaji Ramadhani?.
- Jenerali Mirisho Sarakikya,
- Jenerali Abdalah Twalipo,
- Jenerali David Musuguri,
- Jenerali Ernest Mwita Kiaro,
- Jenerali Robert Mboma,
- Jenerali George Waitara,
- Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa
- Jenerali Venance Mabeyo.
Swali ni kwa muktadha wa nchi yetu Tanzania, je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.
Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, kuna majenerali watatu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna ubaya wowote, na mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau generali wa kabila langu?, hata kama rank yake ilikuwa chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, ili angalau na makabila mengine yatoe majenerali?, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majenerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote kuweza kuwa majenerali?.
Nawatakia Jumapili njema ya matawi.
P
Uwezekano ni Mkubwa.au alitumia cheti cha mtu mwingine
Hahaha, hivi Gaidi ni Mkakamavu?Hakuna uhusiano kati ya dini na ukakamavu bali ulichokionesha ni namna gani dini inazingatiwa katika kuchagua hao mageneral katika jeshi, mfano mzuri watazame alshabab ni watu wa dini gani na tazama impact yao Somalia.
Hilooooooo.....!Hoja nzuri
Jibu hakua aina yoyote ya ukakamavu zudi ya dini fulani...
Wakina Abdallah mliwaminya kujiendeleza sasa mnaanza kuwasimanga.... Mlisahau milango ya ridhkii mtoaji ni Muumba mbingu na ardhi mkifunga mlango mmoja mingine iko wazi...
Hahaha.....jidanganyetatizo kubwa la waislamu sio wachumia tumbo
Bila shaka majina ya wakuu wa Jeshi na wastafu ni watu wenye imani ya KIKIRISTO na ni Wakatoliki.
Sababu ya hawa watu wa aina hiyo kupewa cheo hicho si chengine bali ni kulinda maslahi ya dini fulani Tanzania
Nyerere alikuwa Mkatoliki, alizungukwa na Waislam walioanzisha vuguvugu ya kuomba Uhuru wa Tanganyika kutoka kwa Waingereza, baadae Nyerere aliwageuka Waislamu kiaina
Hali imendelea hivyo kwa Wakristo kuwa wakuu wa Jeshi nchini Tanzania sio kwa sababu Wakristo ni WAKAKAMAVU bali ni kwababu za kidini..
Wakati wa Vita vya Tanzania na Uganda inasemekana vikosi kutoka Zanzibar vilifanya vizuri sana..
Kuna wale wanaomkumbuka Kanal Ali Maafudh alieikomboa Msumbiji na Nchi nyengine za kusini mwa Africa, huyu jamaa Msumbiji walimuomba abaki Msumbiji, kifo chake kilihudhuriwa na viongozi wote maarufu, huyu jamaa alikuwa MZANZIBARI
Hivi sasa Uislamu imekuwa Stamped kama dini ya Kigaidi, haiwezekani kumuweka gaidi akawa Mkuu wa Majeshi katika nchi kama Tanzania inayoongozwa na Ukatoliki..
Hao majenerali watatu wangekuwa wote ni Wahaya au Wachagga hapa pangechimbika Pascal MayallaWanabodi,
Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini/Kabila na ukakamavu ndani ya Majeshi yetu nchini Tanzania.?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani au Kabila Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini au Kabila Nyingine?.
Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.
Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.
Wakuu hawa ni
Majenerali wote hawa majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hayo ni majina tuu na haya uhusiano na dini zao kama jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, Asha Rose, au Jaji Ramadhani?.
- Jenerali Mirisho Sarakikya,
- Jenerali Abdalah Twalipo,
- Jenerali David Musuguri,
- Jenerali Ernest Mwita Kiaro,
- Jenerali Robert Mboma,
- Jenerali George Waitara,
- Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa
- Jenerali Venance Mabeyo.
Swali ni kwa muktadha wa nchi yetu Tanzania, je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.
Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, kuna majenerali watatu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna ubaya wowote, na mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau generali wa kabila langu?, hata kama rank yake ilikuwa chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, ili angalau na makabila mengine yatoe majenerali?, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majenerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote kuweza kuwa majenerali?.
Nawatakia Jumapili njema ya matawi.
P
Wangapi?Na majaji wakuu nao waislamu
Mkuu Kinyungu, kwa nini pachimbike?. Muhaya the highest ranking military official alikuwa ni Luteni General, Pascal Anatoly Kamazima. Na kwa Wachagga ni Luteni General Tumainieli Kiwelu. Hawa wote wangeweza kuwa ma CDF, kwa sababu mwisho wa kupata vyeo kwa military progression ni Luteni Generali, kuwa full General ni at the pleasure of CinC.Hao majenerali watatu wangekuwa wote ni Wahaya au Wachagga hapa pangechimbika Pascal Mayalla
This is possible, kwasababu the highest female military official alikuwa ni Brigadier General Zawadi Madawili, bado hatujawahi pata Luteni Generali au Generali.Siku moja tuwe na Mkuu wa Majeshi mwanamke