Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Mkuu hebu jaribu kulinganisha watu wa dar na mwanza wapi wanafaa tuwatangulize mstari wa mbele kwenye vita utagundua watu wa mwanza ni wajasiri zaidi
acha uboya wewe ujasiri wa kuiba mbuzi au kuua vikongwe, ujasiri wa kijeshi unapandikizwa kutokana na mafunzo sio kumpiga mkeo ndo uwe ujasiri
 
mi nidhani kuna kaupendeleo flani kuna makabila ambayo mkoloni aliyatumia kama jeshi kutokana na kuwa watu poli hivyo walikuwa wengi na kupata vyeo vikubwa huku wakiwa na elimu ndogo ya 7. baada ya kuongezeka kwa wasomi wamewakuta wale wazee ndio decision maker hivyo hupendelea nani apande cheo, kwa uzoefu tu anaetumia lugha/kabila lako ndio huanza(charity begins at home).
Rais Magufuli alijuwa hilo ndio maana kamchomoa Mabeyo mbali kabisa, even Sirro. kwanini wawe wakakmavu Police lakini Jeshini washindwe tatizo ni kubaniwa.
 
Hakuna uhusiano kati ya dini na ukakamavu bali ulichokionesha ni namna gani dini inazingatiwa katika kuchagua hao mageneral katika jeshi, mfano mzuri watazame alshabab ni watu wa dini gani na tazama impact yao Somalia.
Aldha bab hawana akili hata malengo yao hayajulikani stop your no sense
 
Wanabodi,

Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini/Kabila na ukakamavu ndani ya Majeshi yetu nchini Tanzania.?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani au Kabila Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini au Kabila Nyingine?.

Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.

Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.

Wakuu hawa ni
  1. Jenerali Mirisho Sarakikya,
  2. Jenerali Abdalah Twalipo,
  3. Jenerali David Musuguri,
  4. Jenerali Ernest Mwita Kiaro,
  5. Jenerali Robert Mboma,
  6. Jenerali George Waitara,
  7. Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa
  8. Jenerali Venance Mabeyo.
Majenerali wote hawa majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hayo ni majina tuu na haya uhusiano na dini zao kama jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, Asha Rose, au Jaji Ramadhani?.

Swali ni kwa muktadha wa nchi yetu Tanzania, je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.

Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, kuna majenerali watatu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna ubaya wowote, na mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau generali wa kabila langu?, hata kama rank yake ilikuwa chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, ili angalau na makabila mengine yatoe majenerali?, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majenerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote kuweza kuwa majenerali?.

Nawatakia Jumapili njema ya matawi.

P
Uwezekano ni MKUBWA MNO, utamlinganisha Mkristo Mkakamavu mwenye schedule nzuri ya Ibada na Mtu ambaye anashinda kwenye mkeka na kufanya Ibada Mara 5 kila siku?

Huo muda wa kufanya mazoezi thabiti na kutafakari mambo makubwa yasiyohusu Ibada unatoka wapi?

Pia Wakristo walibarikiwa na MUNGU tangu zamani.

Sio Jeshini tu, ni katika kada zote za kiuongozi na kielimu.

Wabillah Tawfiq,
 
Hakuna uhusiano kati ya dini na ukakamavu bali ulichokionesha ni namna gani dini inazingatiwa katika kuchagua hao mageneral katika jeshi, mfano mzuri watazame alshabab ni watu wa dini gani na tazama impact yao Somalia.
Hahaha, hivi Gaidi ni Mkakamavu?

Unajua maana ya Gaidi au ugaidi?

Magaidi ni watu wa kawaida, waoga sana wanaojua kutumia silaha wanazopewa kwakuwa hata kutengeneza hawajui.

Magaidi wangekuwa si waoga na ni wakakamavu basi wasingekuwa wanajificha na kuficha sura zao, wangeingia kwenye Battle moja kwa moja kupambana face to face.

Badala yake wanalipua mahali na kukimbia.
 
Hoja nzuri
Jibu hakua aina yoyote ya ukakamavu zudi ya dini fulani...
Wakina Abdallah mliwaminya kujiendeleza sasa mnaanza kuwasimanga.... Mlisahau milango ya ridhkii mtoaji ni Muumba mbingu na ardhi mkifunga mlango mmoja mingine iko wazi...
Hilooooooo.....!

Umeanza kulia lia....hahaha

Nilijua tu mtaanza kushusha machozi hapa.

Wakati Mnaminywa mlikuwa wapi? Mlirespond vipi?
 
Mkuu Pascal Mayalla
Kweli unaweza ukawa na hoja. Lakini ulinganifu unaweza usifanane kulingana na nyakati na mission walizofanya kwa vipindi vyao. Kuna walioongoza vita. Kuna waliofanya jeshi liwe dogo na la kisasa n.k. Ukienda jeshini, utasikia Mwamunyange ndio anasifiwa sana. Sijui alifanya nini.
Binafsi nitamsifu sana Mkuu wa Majeshi atakayehakikisha jeshi nalo linajiunga na huduma za bima ya afya (hapa nazungumzia NHIF). Ingawa jeshi wana hospitali zao bado nimekuwa ninaona wanafamilia wa wanajeshi wakipata changamoto zisizokuwa na umuhimu wanapoenda kupata huduma kwenye hospitali zisizo za kijeshi. Pia wakistaafu huwa na changamoto kubwa. Wawaige Polisi na Magereza.
 
Bila shaka majina ya wakuu wa Jeshi na wastafu ni watu wenye imani ya KIKIRISTO na ni Wakatoliki.

Sababu ya hawa watu wa aina hiyo kupewa cheo hicho si chengine bali ni kulinda maslahi ya dini fulani Tanzania

Nyerere alikuwa Mkatoliki, alizungukwa na Waislam walioanzisha vuguvugu ya kuomba Uhuru wa Tanganyika kutoka kwa Waingereza, baadae Nyerere aliwageuka Waislamu kiaina

Hali imendelea hivyo kwa Wakristo kuwa wakuu wa Jeshi nchini Tanzania sio kwa sababu Wakristo ni WAKAKAMAVU bali ni kwababu za kidini..

Wakati wa Vita vya Tanzania na Uganda inasemekana vikosi kutoka Zanzibar vilifanya vizuri sana..

Kuna wale wanaomkumbuka Kanal Ali Maafudh alieikomboa Msumbiji na Nchi nyengine za kusini mwa Africa, huyu jamaa Msumbiji walimuomba abaki Msumbiji, kifo chake kilihudhuriwa na viongozi wote maarufu, huyu jamaa alikuwa MZANZIBARI

Hivi sasa Uislamu imekuwa Stamped kama dini ya Kigaidi, haiwezekani kumuweka gaidi akawa Mkuu wa Majeshi katika nchi kama Tanzania inayoongozwa na Ukatoliki..
 
Na majaji wakuu nao waislamu
Bila shaka majina ya wakuu wa Jeshi na wastafu ni watu wenye imani ya KIKIRISTO na ni Wakatoliki.

Sababu ya hawa watu wa aina hiyo kupewa cheo hicho si chengine bali ni kulinda maslahi ya dini fulani Tanzania

Nyerere alikuwa Mkatoliki, alizungukwa na Waislam walioanzisha vuguvugu ya kuomba Uhuru wa Tanganyika kutoka kwa Waingereza, baadae Nyerere aliwageuka Waislamu kiaina

Hali imendelea hivyo kwa Wakristo kuwa wakuu wa Jeshi nchini Tanzania sio kwa sababu Wakristo ni WAKAKAMAVU bali ni kwababu za kidini..

Wakati wa Vita vya Tanzania na Uganda inasemekana vikosi kutoka Zanzibar vilifanya vizuri sana..

Kuna wale wanaomkumbuka Kanal Ali Maafudh alieikomboa Msumbiji na Nchi nyengine za kusini mwa Africa, huyu jamaa Msumbiji walimuomba abaki Msumbiji, kifo chake kilihudhuriwa na viongozi wote maarufu, huyu jamaa alikuwa MZANZIBARI

Hivi sasa Uislamu imekuwa Stamped kama dini ya Kigaidi, haiwezekani kumuweka gaidi akawa Mkuu wa Majeshi katika nchi kama Tanzania inayoongozwa na Ukatoliki..
 
Wanabodi,

Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini/Kabila na ukakamavu ndani ya Majeshi yetu nchini Tanzania.?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani au Kabila Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini au Kabila Nyingine?.

Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.

Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.

Wakuu hawa ni
  1. Jenerali Mirisho Sarakikya,
  2. Jenerali Abdalah Twalipo,
  3. Jenerali David Musuguri,
  4. Jenerali Ernest Mwita Kiaro,
  5. Jenerali Robert Mboma,
  6. Jenerali George Waitara,
  7. Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa
  8. Jenerali Venance Mabeyo.
Majenerali wote hawa majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hayo ni majina tuu na haya uhusiano na dini zao kama jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, Asha Rose, au Jaji Ramadhani?.

Swali ni kwa muktadha wa nchi yetu Tanzania, je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.

Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, kuna majenerali watatu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna ubaya wowote, na mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau generali wa kabila langu?, hata kama rank yake ilikuwa chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, ili angalau na makabila mengine yatoe majenerali?, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majenerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote kuweza kuwa majenerali?.

Nawatakia Jumapili njema ya matawi.

P
Hao majenerali watatu wangekuwa wote ni Wahaya au Wachagga hapa pangechimbika Pascal Mayalla
 
Mkuu Kinyungu, kwa nini pachimbike?. Muhaya the highest ranking military official alikuwa ni Luteni General, Pascal Anatoly Kamazima. Na kwa Wachagga ni Luteni General Tumainieli Kiwelu. Hawa wote wangeweza kuwa ma CDF, kwa sababu mwisho wa kupata vyeo kwa military progression ni Luteni Generali, kuwa full General ni at the pleasure of CinC.
P.
 
Back
Top Bottom