Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

hivi akina mura wanatoka mara eeh!?..ambako kuna tarime na mwitongo hukohuko!?
 
Hakuna mkristo mpumbavu wa namna yako. Yaani anaweza kuwaza kwa style yako hii. Kwani ukisema we Muislam unadhan hoja zako hazitaaminika mpaka ujidai we mkristo?

Hahaha.....jidanganye

Sema tatizo kubwa ni ELIMU DUNI

Yaani we ndugu,kuna vitu vitatu vimekaa mawazoni mwako

1*Udini/ukristo pindu.....
2* ukanda/ukabila/ukaskazini
3*Uchadema/upinzani

Sehemu pekee unayopatana na makada wa C.C.M ni nyuzi zenye mlengo wa kidini.

Just my observation.
 
Mkuu huo ni mtazamo wako tu.
 
Mkuu hebu jaribu kulinganisha watu wa dar na mwanza wapi wanafaa tuwatangulize mstari wa mbele kwenye vita utagundua watu wa mwanza ni wajasiri zaidi
Watu wa dar wanambinu nyingi kwenye harakat zao kuliko wat wa mwanza
 
Huu unaoshauri hapa ni ukabila mbaya, kabisa, Wasukuma sio wakabila ndio maana Usukumani tumechagua wabunge kibao ambao sio Wasukuma!.
Magufuli atachaguliwa na Watanzania kwasababu amekubalika kwa uchapakazi wake na sio kwasababu ni Msukuma!.
P
 
Mmm! M-Barbaigi na Wasukuma wapi na wapi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…