Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

hivi akina mura wanatoka mara eeh!?..ambako kuna tarime na mwitongo hukohuko!?
 
Hakuna mkristo mpumbavu wa namna yako. Yaani anaweza kuwaza kwa style yako hii. Kwani ukisema we Muislam unadhan hoja zako hazitaaminika mpaka ujidai we mkristo?


Mimi ni mkristo ila nitakueleza sifa sahihi za waislamu wa kweli.

Mwislamu wa kweli hawezi kumuabudu yeyote isipokuwa Allah na ukitaka ukweli juu ya hili angalia repoert ya mcha Mungu Proffesa Assad na mtu anayeamini katika vitisho Cidiefu.

Mwislamu wa kweli anaamini umaskini ni nusu ya ukafir hivyo unapompa mwislamu madaraka hapendi kuongoza watu waliojaa dhiki na ufukara.

Kwa kifupi Wakristo wamejaa roho mbaya na choyo.

Kwa kumalizia kujibu mada yako jeshi i huwezi kukuta muhindi wala mwarabu hawa wako bize na biashara na wanarithishana utamaduni huu.

Kihistoria kabila la mashujaa ni wahehe chini ya Chifu Mtwa Mkwawa Mkwavika.
 
Uwezekano ni MKUBWA MNO, utamlinganisha Mkristo Mkakamavu mwenye schedule nzuri ya Ibada na Mtu ambaye anashinda kwenye mkeka na kufanya Ibada Mara 5 kila siku?

Huo muda wa kufanya mazoezi thabiti na kutafakari mambo makubwa yasiyohusu Ibada unatoka wapi?

Pia Wakristo walibarikiwa na MUNGU tangu zamani.

Sio Jeshini tu, ni katika kada zote za kiuongozi na kielimu.


Wabillah Tawfiq,
Hahaha.....jidanganye

Sema tatizo kubwa ni ELIMU DUNI



Yaani we ndugu,kuna vitu vitatu vimekaa mawazoni mwako

1*Udini/ukristo pindu.....
2* ukanda/ukabila/ukaskazini
3*Uchadema/upinzani

Sehemu pekee unayopatana na makada wa C.C.M ni nyuzi zenye mlengo wa kidini.

Just my observation.
 
Yaani we ndugu,kuna vitu vitatu vimekaa mawazoni mwako

1*Udini/ukristo pindu.....
2* ukanda/ukabila/ukaskazini
3*Uchadema/upinzani

Sehemu pekee unayopatana na makada wa C.C.M ni nyuzi zenye mlengo wa kidini.

Just my observation.
Mkuu huo ni mtazamo wako tu.
 
Mkuu hebu jaribu kulinganisha watu wa dar na mwanza wapi wanafaa tuwatangulize mstari wa mbele kwenye vita utagundua watu wa mwanza ni wajasiri zaidi
Watu wa dar wanambinu nyingi kwenye harakat zao kuliko wat wa mwanza
 
Nianze kwa kusema, wote tunajua strategy ya ushindi wa Magufuli toka uchaguzi wa 2015 na hata uchaguzi huu wa 2020 imejikita kuhakikisha anazoa kura za kutosha kutoka kwa Wasukuma.

Natambua huko Kanda ya Ziwa kunajumusha pia mikoa ya Kagera na Mara ambako nadhani Lissu anaenda kufanya vizuri sana.

Wasiwasi wangu upo kwenye kuwashawishi Wasukuma wamuache yule anayejitanabaisha kama mwenzao. Kila akipata upenyo, Magufuli anakitwanga Kisukuma, na hafanyi hivi kwa bahati mbaya.

Magufuli anaweza kuwa hajui Kiingereza na hana exposure sana ya mambo ya kimataifa ila anayaelewa sana mambo ya makabila. Hata yale aliyoyakwaza amefanya hivyo akiwa anajua anawakwaza. Labda anaona hawahitaji.

Ushauri wangu kwa timu ya kampeni ya Lissu, kama muda bado unaruhusu, na nyie mkiwa mikoa hiyo yenye Wasukuma wengi, anzeni kutwanga lugha yao. Lissu jifunze maneno mawili matatu hata ya kuwachekesha tu, yatasaidia.

Kwenye issue za sera, waambieni hayo hayo mnayowaambia sasa ila katika lugha yao. Watawaamini zaidi. Waambieni pia kuna wanasiasa wanataka kuwatumia tu kama chambo.
Huu unaoshauri hapa ni ukabila mbaya, kabisa, Wasukuma sio wakabila ndio maana Usukumani tumechagua wabunge kibao ambao sio Wasukuma!.
Magufuli atachaguliwa na Watanzania kwasababu amekubalika kwa uchapakazi wake na sio kwasababu ni Msukuma!.
P
 
Huu unaoshauri hapa ni ukabila mbaya, kabisa, Wasukuma sio wakabila ndio maana Usukumani tumechagua wabunge kibao ambao sio Wasukuma!.
Magufuli atachaguliwa na Watanzania kwasababu amekubalika kwa uchapakazi wake na sio kwasababu ni Msukuma!.
P
Mmm! M-Barbaigi na Wasukuma wapi na wapi!!!
 
Back
Top Bottom