Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Mkuu hebu jaribu kulinganisha watu wa dar na mwanza wapi wanafaa tuwatangulize mstari wa mbele kwenye vita utagundua watu wa mwanza ni wajasiri zaidi
Na kwa vile tunataka rais jasiri,
Leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
Nataman rais ambaye hata akipigwa risasi hafii kwa sababu anakitu cha tofauti ndio maana mungu hajataka afe karma
 
Wanabodi,

Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini/Kabila na ukakamavu ndani ya Majeshi yetu nchini Tanzania.?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani au Kabila Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini au Kabila Nyingine?.

Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.

Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.

Wakuu hawa ni
  1. Jenerali Mirisho Sarakikya,
  2. Jenerali Abdalah Twalipo,
  3. Jenerali David Musuguri,
  4. Jenerali Ernest Mwita Kiaro,
  5. Jenerali Robert Mboma,
  6. Jenerali George Waitara,
  7. Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa
  8. Jenerali Venance Mabeyo.
Majenerali wote hawa majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hayo ni majina tuu na haya uhusiano na dini zao kama jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, Asha Rose, au Jaji Ramadhani?.

Swali ni kwa muktadha wa nchi yetu Tanzania, je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.

Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, kuna majenerali watatu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna ubaya wowote, mfano mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau kagenerali kamoja ka kabila langu?, hata kama rank ya huyo mtuwa kabila langu ilikuwa ni rank ya chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, ili angalau na makabila mengine yatoe majenerali?, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majenerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote kuweza kuwa majenerali?.

Nawatakia Jumapili njema ya matawi.

P
Shikamoo kaka mkubwa Pascal Mayalla

Ninaomba radhi kwa kuchangia huu uzi wako leo kwa maana ndio nimekutana nao katika kuzurura kwangu humu JF.

Ninaomba kusema hivi, katika uasilia, angalia mfano wa wadudu wadogo mfano sisimizi na jamii yake, nyuki nk.

Utajifunza kuwa askari huzaliwa na hawana uhusiano wowote na udini au ukabila. Kwa nchi za Ulaya ukiwa na bahati ukaonwa na kutimiza vigezo vingine utapatiwa mafunzo.

Tunao 'askari' wengi mitaani lakini hawakubahatika kuonwa au kupata mafunzo ama vigezo havikukamilika lakini ikiwaona tu utahisi wangefaa kazi ya uaskari.

Pia jaribu kuangalia hata maisha ya wanyama kama nyoka utagundua kuna nyoka unaweza ukawabeba na kuwachezea mpaka kuwaweka shingoni ila kuna wengine kama koboko hawa hauwezi kujaribu hata kuwasogelea.

Hawa ndio wanajeshi wenyewe. Uaskari ni tabia ya kuzaliwa na haina uhusiano wowote na dini wala kabila la mtu.
 
Mkuu Infantry Soldier, asante kwa mchango wako, nakuomba ulisome tena, kuna hoja nimeuliza, sasa ukipangua hoja, pangua hoja kwa hoja na mifano.

Nimesema tangu Tanzania imepata uhuru, tumekuwa na ma CDF 8, kati yao ni mmoja tuu mwenye jina la kiashiria cha dini nyingine, tena mtoto wake ni dini tofauti na jina la mzazi, kama ili Jaji Ramadhani, au Jaji Mkuu Omari, jee watu wa dini fulani hawana sifa za kupanda kuwa ma CDF?.

Jeshini kuna watu wengi wa makabila fulani fulani, na kuna makabila mengine jeshini ni kituo cha polisi!, why?.

P
 
Hoja nzuri
Jibu hakua aina yoyote ya ukakamavu zudi ya dini fulani...
Wakina Abdallah mliwaminya kujiendeleza sasa mnaanza kuwasimanga.... Mlisahau milango ya ridhkii mtoaji ni Muumba mbingu na ardhi mkifunga mlango mmoja mingine iko wazi...
Kina abdala hawakunyimwa kujiendeleza ,wamissionary walianzia kwao.

Wakakuta Mwarabu tayari alishawajaza imani yake ya elimu akhera.
 
Wanabodi,

Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini/Kabila na ukakamavu ndani ya Majeshi yetu nchini Tanzania.?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani au Kabila Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini au Kabila Nyingine?.

Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.

Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.

Wakuu hawa ni
  1. Jenerali Mirisho Sarakikya,
  2. Jenerali Abdalah Twalipo,
  3. Jenerali David Musuguri,
  4. Jenerali Ernest Mwita Kiaro,
  5. Jenerali Robert Mboma,
  6. Jenerali George Waitara,
  7. Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa
  8. Jenerali Venance Mabeyo.
Majenerali wote hawa majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hayo ni majina tuu na haya uhusiano na dini zao kama jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, Asha Rose, au Jaji Ramadhani?.

Swali ni kwa muktadha wa nchi yetu Tanzania, je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.

Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, kuna majenerali watatu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna ubaya wowote, mfano mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau kagenerali kamoja ka kabila langu?, hata kama rank ya huyo mtuwa kabila langu ilikuwa ni rank ya chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, ili angalau na makabila mengine yatoe majenerali?, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majenerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote kuweza kuwa majenerali?.

Nawatakia Jumapili njema ya matawi.

P
Nadhani hata wewe umechoka ,inatakiwa upumzishwe .
 
Jeshini sio vyeo tu, je una ukakamavu na lipo ndani ya dna yako?

Kuna watu wengine wanalalamika vyeo ila wakipewa hata ruhusa kujiunga jeshini ikitokea kuna zoezi la kwenda kutuliza ghasia huko kongo misituni wanaogopa wanakumbia jeshu...

Nikurahisishie tu, Hao watu, hasa Wakurya jeshi lipo kwenye damu yao, Mkurya anaweza kukataa kazi yenye msgahara wa milioni 5 akaenda jeshini huko yupo tayari kupokuea hata laki 8.

Kumbuka vita ya uganda zilitoka nafasi elf 2 za kujiunga kila mkoa, huko mikoa mingi hasa ya pwani wengi waliogopa, kule mara hizo nafasi elf 2 zilishambuliwa kama pesa zilijaa punde zilipotangazwa tu, ikabidi mwalimu nyerere aongeze nafasi lakini bado tu watu walikuwa wengi zaidi ambao ilibidi wasafiri kwenda mikoa mingine ambayo ilikuwa na nafasi za wazi.

Sasa wewe leo unatokea kulalamika hivi na hivi wakati vita ile ilishaonesha ni watu wa aina gani wanafaa jeshini,

Tatizo wengi wanawaza vyeo tu, kwenda vitani mtaweza????
 
Kwa nyuzi nyuzi zako hizi za kipuuzi usitegemee tena kulambishwa uDC
 
Sasa Mtu tangu akiwa mdogo amekulia urojo mpaka ukubwani na kazi anayofanya ni kwenda tu marketi kununua viazi na tambi na kurudi nyumbani unategemea nini?
 
Wanabodi,

Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini/Kabila na ukakamavu ndani ya Majeshi yetu nchini Tanzania.?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani au Kabila Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini au Kabila Nyingine?.

Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.

Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.

Wakuu hawa ni
  1. Jenerali Mirisho Sarakikya,
  2. Jenerali Abdalah Twalipo,
  3. Jenerali David Musuguri,
  4. Jenerali Ernest Mwita Kiaro,
  5. Jenerali Robert Mboma,
  6. Jenerali George Waitara,
  7. Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa
  8. Jenerali Venance Mabeyo.
Majenerali wote hawa majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hayo ni majina tuu na haya uhusiano na dini zao kama jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, Asha Rose, au Jaji Ramadhani?.

Swali ni kwa muktadha wa nchi yetu Tanzania, je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.

Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, kuna majenerali watatu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna ubaya wowote, mfano mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau kagenerali kamoja ka kabila langu?, hata kama rank ya huyo mtuwa kabila langu ilikuwa ni rank ya chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, ili angalau na makabila mengine yatoe majenerali?, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majenerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote kuweza kuwa majenerali?.

Nawatakia Jumapili njema ya matawi.

P
Kuna mtu naona anapitisha pipa wazi lililojaa petrol kwenye 'open flame'!
 
Sasa Mtu tangu akiwa mdogo amekulia urojo mpaka ukubwani na kazi anayofanya ni kwenda tu marketi kununua viazi na tambi na kurudi nyumbani unategemea nini?
Unakuta mtu ana miaka ya utu uzima lakini kula ugali hawezi ashazoea tambi na urojo. Huyo kwata ataiweza kweli?
 
Wanabodi,

Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini/Kabila na ukakamavu ndani ya Majeshi yetu nchini Tanzania.?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani au Kabila Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini au Kabila Nyingine?.

Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.

Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.

Wakuu hawa ni
  1. Jenerali Mirisho Sarakikya,
  2. Jenerali Abdalah Twalipo,
  3. Jenerali David Musuguri,
  4. Jenerali Ernest Mwita Kiaro,
  5. Jenerali Robert Mboma,
  6. Jenerali George Waitara,
  7. Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa
  8. Jenerali Venance Mabeyo.
Majenerali wote hawa majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hayo ni majina tuu na haya uhusiano na dini zao kama jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, Asha Rose, au Jaji Ramadhani?.

Swali ni kwa muktadha wa nchi yetu Tanzania, je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.

Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, kuna majenerali watatu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna ubaya wowote, mfano mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau kagenerali kamoja ka kabila langu?, hata kama rank ya huyo mtuwa kabila langu ilikuwa ni rank ya chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, ili angalau na makabila mengine yatoe majenerali?, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majenerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote kuweza kuwa majenerali?.

Nawatakia Jumapili njema ya matawi.

P
Brigedia Generali Nduku Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi Mkurugenzi wa SUMA - JKT

View attachment 1791307View attachment 1791308
Huu ni uteuzi safi kabisa!. Uteuzi jeshini, unategemea ukakamavu!. CDF, kuna Ngw'anangosha mkakamavu Mabeyo, sasa na JKT mmeletewa Ngw'anangosha mkakamavu Mabele!. Wale waliokuwa wakimtuhumu Mwendazake kwa kuteua Wasukuma, mkome!. Uteuzi hauangalii kabila la mtu, unaangalia, sifa, vigezo na ukakamavu. Wasukuma, kina Ngw'anangosha ni wakakamavu sana!.

Hivyo japo nililaumiwa sana kwa hoja hii
But I was right!.
P
 
Basi kwakuwa Meja Jenerali Suleiman Mzee amechapa kazi vizuri huko Magereza na ni mpambanaji na sio mkaa ofisini, ikikupendeza tunaomba umlete tena JW na safari hii akirudi kama CDF

Viva Tanzania
Viva JWTZ
Mkuu Rapa Gentamycine , naunga mkono hoja, ila sababu yangu ni ili kuwatendea haki watu wenye majina kama hayo kushika nasafasi ya CDF. Tangu TPDF imeanzishwa, tumekuwa na ma CDF 8. Kati ya hao 8, kumetokea ni CDF mmoja tuu ndio mwenye majina ya kiashiria cha upande huo, huyu ni Generali Abdalah Twalipo. Hii ilipelekea mimi kuuliza swali hili,
Hivyo hakuna ubaya kumpata CDF wa pili wa upande huo, kuonyeshea mtu wa upande wowote anaweza kuwa CDF.
P
 
Back
Top Bottom