KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Mafanikio siku zote yanatesa watu wa kipato cha chini. Mungu saidia Sisi wa kipato cha chiniTilisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Kenya wamepata tenda ya kupeleka nyama Uarabuni na shehena ya kwanza ya tani 500 imeshaondoka. Kwa uwelewa wangu Tanzania ndio yenye mifugo kwa wingi kuliko nchi zote East Africa, ila baada ya kupata tenda hiyo ghafla nyama Bongo ikapanda je kuna uhusiano wowote?
Inawezekana. Wakati corona ilivyoingia, kenya walipata deal la kusupply vegetables europe. Walikuwa wanakuja tz wananunua na kupeleka kenya, ili waweze kuongezea mzigo, ukamilike.Tulisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Kenya wamepata tenda ya kupeleka nyama Uarabuni na shehena ya kwanza ya tani 500 imeshaondoka.
Kwa uelewa wangu Tanzania ndio yenye mifugo kwa wingi kuliko nchi zote East Africa, ila baada ya kupata tenda hiyo ghafla nyama Bongo ikapanda, je kuna uhusiano wowote?
Kenya huwa tunashindana naye humu kwenye key board ila katika utendaji sisi ni utopolo.
Thread Closed.Uhusuano upo kwa hivi sasa wakenya wamejaa kwenye minada ya mifugo huku Kanda ya ziwa, wamesababisha bei kupanda sana ya mifugo ukitaka kuthibitisha hili nenda mpakani tarime,Sirari malori na malori yaliyobeba mifugo yakipitishwa hapo
mhn! kama tutakuwa tayari kuvumilia njaa ya siku mbili kwa kutengeneza mfumo wa kwetu tunaweza kusogea na sivinginevyo. changamoto tulionayo watanzania hatuko tayari kubebana kwa uchanga wetu wakati wa hatua za awali. wezetu wako tayari kununua bidhaa za ndani hata kama ubora uko chini lakini sio sisi.Mafanikio siku zote yanatesa watu wa kipato cha chini. Mungu saidia Sisi wa kipato cha chini