kawaulize waarabuHabari za wakati huu wakuu naomba kujuzwa je kuna uhusiano wowote wa ukuaji wa haraka wa ndevu pale zinaponyolewa kwa kutumia mashine za umeme?
Na ni njia ipi sahihi ya kuzuia ukuaji wake (kusambaa kidevu kizima) bila kuleta athari za kiafya?
Mkuu nahitaji kuzuia bila kupata athari za kiafya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi kupata Mtoto Huku unalinda bikra yako
Kwa sababu hayaonekani hadharaniMbona Mavu*** hamtafuti namna ya kuyazuia?
Msahidie kijana mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi kupata Mtoto Huku unalinda bikra yako