Je, kuna uhusiano wowote wa ukuaji wa haraka wa ndevu pale zinaponyolewa kwa kutumia mashine za umeme?

Je, kuna uhusiano wowote wa ukuaji wa haraka wa ndevu pale zinaponyolewa kwa kutumia mashine za umeme?

Loftins

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
10,485
Reaction score
13,693
Habari za wakati huu wakuu naomba kujuzwa je kuna uhusiano wowote wa ukuaji wa haraka wa ndevu pale zinaponyolewa kwa kutumia mashine za umeme?

Na ni njia ipi sahihi ya kuzuia ukuaji wake (kusambaa kidevu kizima) bila kuleta athari za kiafya?
 
Kuna Mafuta ya Kichina unapaka eneo ambalo hupendi ziote Ila jiandae Kwa kupigwa mionzi ya Kansa maana hutaepuka
Mkuu nahitaji kuzuia bila kupata athari za kiafya
 
SASA HAUTAKI NDEVU KWELI WEWE NI M/ME? MUULIZE BLUE MWANZONI ALIKUWA MREMBO MCHECK SASA ANA UCHEBE KAMA RICK ROSS NA BADO ANAUACHIA.
BYSER.jpg

BYSER1.jpg
 
Back
Top Bottom