Je kuna ujanja wa kuzaa mapacha kwa kupenda?

Haya wanatengenezwa hivi.

BOFYA. :laser::laser::laser: How to have Twins - A quick guide on how to have twin babies Huggies.com.au
 
nimejitahidi kutafuta hao twins nimechoka maana, kila tukijaribu na wife hola hadi wamefika 5 sasa. nasema basi
 
Umejiandaa na changamoto za kulea Mapacha? au unapenda tu jina la mama/baba wawili?...just a joke!
 
nimejitahidi kutafuta hao twins nimechoka maana, kila tukijaribu na wife hola hadi wamefika 5 sasa. nasema basi

mkuu bado bana!! kufika twins npaka uzae single single safari tisa!

halafu ile ya kumi sasa ndio unapata mapacha wanne kwa pamoja!

kazi ni kwako sasa kuwalea...





hahaa!! mkuu ts a joke bana.. dont listen to this loverlover minded
 
Sisi kwetu mapacha wapo ukoo wetu wapo tele hata mimi ninapacha wangu ila tusiofanana, baba zangu wadogo ni mapacha wanaofanana. Hivyo tutengeneze dili mimi na wewe naimani mapacha utawapata.

 
Piga sana konyagi siku hiyo na uombe ngoma utapata mapacha.
 
Mimi hii mapacha hutegemea na ukoo kama hua siikubali. Mtu yeyote anaweza kupata twins atakama babu yako wa saba hakua na mapacha, kwani hizo koo zenye machapa walianzaje?
 
Jamani me nakushaur umwone doctor (specialist/gyno) atakusaidia.. Wenyewe wanajua tareh zipi za kupata mtoto wa kiume au wa kike, pia mapacha kwa kuangalia mzunguko was hedhi wa mwanamke wako.. So, try that kaka..
 
Kuna mahali nilisoma kuwa kuna sindano huwa zinadungwa za hormone hvo husababisha upevushaji wa mayai mawili kwa wakati mmoja. Pia kipande hcho kilisema wanawake wenye miaka zaid ya 35 hubahatika kupata pacha hata km ukoo wao hauna vinasaba vya pacha. All in all omba Mungu kwa neema zake atakupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…