Je, Kuna ukomo katika kutii mamlaka za WANADAMU ?

Lissu: Viongozi wa dini msiwaombee wezi wa kura.
 
Amina.
 
Hizi aya zimenifundisha kwamba Mungu wa mpiga kura ( Daniel) alikuwa ni Mungu wa kweli aliye hai kuliko mungu wa rais ( dario au koreshi). Pia aya hizi zinaonesha mamlaka za serikali ya wanadamu zinatoka kwa mpiga kura kama mimi au Daniel.

Sasa kama mamlaka hizo za wanadamu zinafanya uovu , nina uhuru wa kuacha kuzitii mamlaka hizo za wanadamu na kuamua kumtii Mungu wangu aliye hai.
 
Mfano ikipita Sheria kuwa USHOGA ni Haki za binadamu,

Sheria na amri hiyo una HAKI ya kuipinga na kuikataa Kwa nguvu maana Sheria yoyote duniani ni copied and pasted Toka Sheria mama ambayo ni NENO la Mungu, hivyo Sheria inayopingana na Kweli na HAKI ni ya kuikataa.
 
Sasa Hawa wanaoiba kura na tukiwauliza kwanini kuiba,

Wanatwambia kuzitii mamlaka kwamba zimetoka juu ni sawa?

Tuhakikishe Sanduku la kura linaheshimiwa , hayo ndio mapenzi ya Mungu.
Ni matumizi mabaya ya neno la Mungu.
 
Sio sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…