Je Kuna Ukweli Hapa?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Habari za usiku wanandugu!

Kuna hali moja unakuta ukitumia jina fulani unakuwa maarufu haraka na unafanikiwa haraka, Halafu kuna jina ukitumia unakuta hufanikiwi na kama unafifia Flani hivi!

Kwa mfano Mimi Jina langu Official Japo ni Zuri ila watu hawalikubali kihivo, kinyume chake wananikubali kwa Nickname yangu, Hata alokuwa ananifahamu kwa Jina Official akianza kusikia Nickname lazima aanze kutumia Nickname!

Je Kuna ukweli katika Hili au ni imani tu?

Bro!
Khan
 
Ni mambo ya setting za Bongo za watu tu,,,,, mengine ni ubaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…